Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Naitamani sana hii biashara. Natamani nipate eneo kariakoo
 
Tunazo mashine za miwa za kutumia umeme kwa M1.5.
Na zakutumia mikono ni laki 8
 
Je hivi hakuna mashine ya kukwangua maganda ya miwa?
 
Kwa wale ambao hawana mitaji, na wanajua eneo na wanajua kufanya biashara hii waje inbox, nitawanunulia hesabu 20,000
 
Weka picha 2zione za mkono na umeme, soko huria
Mkuu hizo hauna shida ya kusumbuka sana, huwa zinatengeza na mafundi welding, au veta,
ila kama hapo ulipo hakuna hao mafundi, basi tunaweza kufanya biashara, au nikakuuzia Spare ili iwe rahisi kusafirisha, so wewe ukipata spare unakwenda kwa mafundi wanakuunganishia tu
 
Hiyo moja ni umeme na manual na ya pili ni umeme peke yake zote ni kilo 350 ya miwa kila siku
 
Anayehitaji mashine, banners glass na chupa resealable au chochote kuhusu hii biashara piga 0714504937
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…