Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Habari wana jf hongereni na majukumu ya kazi naenda direct kwenye mada baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya udereva ilibidi nianze kujipa uzoefu wa reverse sasa Jana nimeazima gari aina ya sienta wakati narudi nyuma nikabana upande mmoja na kukwaruza rangi ya gari na kuchunguza vizuri na kuta hydrolic inavuja sasa wataalamu naomba ushauri wa jumla za gharama za matengenezo yake.nawasilisha