Uzoefu wa kuchuna rangi za magari ya watu.

Uzoefu wa kuchuna rangi za magari ya watu.

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Habari wana jf hongereni na majukumu ya kazi naenda direct kwenye mada baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya udereva ilibidi nianze kujipa uzoefu wa reverse sasa Jana nimeazima gari aina ya sienta wakati narudi nyuma nikabana upande mmoja na kukwaruza rangi ya gari na kuchunguza vizuri na kuta hydrolic inavuja sasa wataalamu naomba ushauri wa jumla za gharama za matengenezo yake.nawasilisha
 
Brother taratibu. Kabla hujachuna rangi inamaana hukuchunguza?
 
Kama nmekuelewa vizuri kuna matatizo mawili kuchubuka rangi na hydraulic kuvuja, rangi inategemea na fundi ila siyo chini ya laki 2. hydraulic kuvuja sina uzoefu
 
hydraulic ya wapi inayovuja? kama ulikuwa unarudi reverse na hyo hydraulic inavujia kwa nyuma kuna either ikawa siyo hydraulic bali ni brake fluid...it need to be fixed then add fluid to the recomended level

au kama wakati unarudi reverse ulipanda kwenye kitu kigumu ukagonga shock absorber ikapasuka basi inayovuja ni ile hydraulic ya kwenye shock absorber( it need to be replaced) the whole set (two)

kama hyo fluid inavujia uvunguni usawa wa engine basi inaweza ikawa siyo hydraulic bali bi engine oil na ulipasua SUMP GUARD (it need to be fixed then add oil to recomended level)

pia unaweza washa gari na ukachezesha mskania ukiona umekuwa mgumu basi ujue kuna pipe ya hydraulic ya steering imekatika (it need to be fixed then add to recomended level)

kuhusu rangi kwa fundi mzuri si chini ya laki 2.3 kwa upande
 
Habari wana jf hongereni na majukumu ya kazi naenda direct kwenye mada baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya udereva ilibidi nianze kujipa uzoefu wa reverse sasa Jana nimeazima gari aina ya sienta wakati narudi nyuma nikabana upande mmoja na kukwaruza rangi ya gari na kuchunguza vizuri na kuta hydrolic inavuja sasa wataalamu naomba ushauri wa jumla za gharama za matengenezo yake.nawasilisha
Pole mzee kwa ajali
 
Back
Top Bottom