Uzoefu wako nchini Mauritius

Uzoefu wako nchini Mauritius

Hapo kisiwani sehemu ya watoto wazuri Sana kuingia ni rahisi sana ni Moja ya nchi nzuri sana
😹😹😹 si useme nzuri kwa madanga nani asiyekujua michezo yako ya machogo pyreeee
 
Ukweli ni kwamba siku unayoingia
airport unatakiwa declaration Kwa customs pesa uliyonayo na siku ukitaka kutoka tena wanaweza wakakukaguwa na kujuwa pesa ulizokuwa nazo..
Kwa kifupi kama unaingia na magumashi jiandae kisaikolojia.

Na kama utakuwa na pesa zaidi ya ulivyoingia basi suspect ya kujihusisha na biashara haramu itaanzia hapo.

Na utakuwa unafatiliwa na watu wa usalama nyendo zako zote bila wewe kujuwa kuanzia unapoungia inchini hadi watakapojiridhisha wenyewe.
 
System ya kizamani sana. Siku hizi pesa zinaenda kimtandao zaidi.
 
Hata mimi nina plan ya kwenda huko. Ngoja nione comment za waungwana hapa.
 
Pesa chafu zote zinatumwa kwenye Bitcoin.

Haya mambo ya kukaguana mabegi yamepitwa na wakati.
Mkuu hizo Bitcoin utazituma wapi? Wacha ubishani,,
Watu wanakwenda jela Kwa pesa chafu usipokuwa makini.
 
Mkuu,

Hujui bitcoin zinatumwa wapi?

Unajua bitcoin ni nini?
Mkuu huo muda wa mtu kutuma Bitcoin anautoa wp?
Unajuwa watu wa mambo haramu pesa zao wanalipwaje?
Unapewa kibunda chako ukafe nacho mbele huko.
 
Mkuu huo muda wa mtu kutuma Bitcoin anautoa wp?
Unajuwa watu wa mambo haramu pesa zao wanalipwaje?
Unapewa kibunda chako ukafe nacho mbele huko.
Hao ni biashara haramu za mataputapu.
 
Usilolijuwa ni usiku wa kiza kinene!! endelea kulala mkuu
Hujajibu hoja unaleta methali tu.

Methali unaweza kuweka yoyote tu hata nje ya muktadha.

Ukweli ni kwamba watu wanaojielewa wanaofanya biashara haramu wanatumia cryptocurrency.

Ukipekua mabegi kutafuta pesa mpaka leo ushapigwa bao.

Huja address hoja hii unaleta methali kama muimba taarabu tu.
 
Back
Top Bottom