Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 si useme nzuri kwa madanga nani asiyekujua michezo yako ya machogo pyreeeeHapo kisiwani sehemu ya watoto wazuri Sana kuingia ni rahisi sana ni Moja ya nchi nzuri sana
System ya kizamani sana. Siku hizi pesa zinaenda kimtandao zaidi.Ukweli ni kwamba siku unayoingia
airport unatakiwa declaration Kwa customs pesa uliyonayo na siku ukitaka kutoka tena wanaweza wakakukaguwa na kujuwa pesa ulizokuwa nazo..
Kwa kifupi kama unaingia na magumashi jiandae kisaikolojia.
Na kama utakuwa na pesa zaidi ya ulivyoingia basi suspect ya kujihusisha na biashara haramu itaanzia hapo.
Na utakuwa unafatiliwa na watu wa usalama nyendo zako zote bila wewe kujuwa kuanzia unapoungia inchini hadi watakapojiridhisha wenyewe.
Wapi utapokea au kutuma pesa chafu?System ya kizamani sana. Siku hizi pesa zinaenda kimtandao zaidi.
Pesa chafu zote zinatumwa kwenye Bitcoin.Wapi utapokea au kutuma pesa chafu?
Labda bongo sio pale.
Mkuu hizo Bitcoin utazituma wapi? Wacha ubishani,,Pesa chafu zote zinatumwa kwenye Bitcoin.
Haya mambo ya kukaguana mabegi yamepitwa na wakati.
Mkuu,Mkuu hizo Bitcoin utazituma wapi? Wacha ubishani,,
Watu wanakwenda jela Kwa pesa chafu usipokuwa makini.
Mkuu huo muda wa mtu kutuma Bitcoin anautoa wp?Mkuu,
Hujui bitcoin zinatumwa wapi?
Unajua bitcoin ni nini?
Hao ni biashara haramu za mataputapu.Mkuu huo muda wa mtu kutuma Bitcoin anautoa wp?
Unajuwa watu wa mambo haramu pesa zao wanalipwaje?
Unapewa kibunda chako ukafe nacho mbele huko.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza kinene!! endelea kulala mkuuHao ni biashara haramu za mataputapu.
Hujajibu hoja unaleta methali tu.Usilolijuwa ni usiku wa kiza kinene!! endelea kulala mkuu