GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana
6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.
7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.
Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.
Kazi ipo......!!!!!!