ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Wahabeshi sio yanga kumbuka......usiwachukulie poaTuwe wakweli. Kwa game ile waliyocheza na wahabeshi, basi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahabeshi sio yanga kumbuka......usiwachukulie poaTuwe wakweli. Kwa game ile waliyocheza na wahabeshi, basi tu.
Mamelod ni yanga???Mtaongea maneno mengi sana ya kujifariji Al Hillaly wamebondwa juzi tu hapo bao 4 nyumbani na Mamelody sundowns
Umeshawapa sababu za kujitetea baada ya kutolewa..naona hapo wamescreen shot1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana
6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.
7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.
Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.
Kazi ipo......!!!!!!
Makamasi1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili

Sasa hivi Wabongo tumewekeza chuki na roho mbaya.Kweli miaka imeenda, zamani hao Wasudan walikuwa wanazihofia timu za Tanzania mno...
Wakikua kuna Yanga au Simba mbele yao, walikuwa wanajua kuna kufa au kupona...
Hujui hata Yanga inacheza na timu gani unajaza uchafu tu humu.Utopolo hawana uwezo wa kumtoa Al Ahly. Kwanza Ibenge anaijua bendi yote ya wacheza ndomboloo wote hapo utopoloni
Formula ilikuwepo Kaizer Chiefs, mlipigwa 4 bila Soweto na Kaizer Chiefs walimaliza ile mechi pale.Vipi JWANENG GALAXY hiyo Formula haikuwepo??
Mbona hao walipigwa na TP Mazembe 3 bila hapo hapo Sudan, kama haujui haujui tu, km unajua unajua tu1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana
6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.
7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.
Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.
Kazi ipo......!!!!!!
Hilo lipo wazi mjubauto hawana dhamana wanaweza wakapigwa nje ndani
maana ndo kawaida yao
Yanga ni mazembeMbona hao walipigwa na TP Mazembe 3 bila hapo hapo Sudan, kama haujui haujui tu, km unajua unajua tu
Mbona st george sikusikia wamefanyiwa ayo unayoyasema, yote kwa yote boli litapigwa tena litatembezwa hasa mwenye uwezo ndio atakwenda hatua inayofata, mambo ya kutishana ayana nafasi kwa sasa wataandaliwa stahiki yao wanayostahili akuna cha msalia mtume hapo, afe kipa afe beki lazima yanga atinge makundi1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana
6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.
7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.
Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.
Kazi ipo......!!!!!!
Alafu wakapata kigoli cha penalti dk ya 85 alafu kuna kenge zinanyanyua midomo eti "thimu atari iyoooo" yaani timu hatari imepita kwa faida ya goli la ugenini? Imebutuliwa 2 kwa moja ugenini na timu legelege ya st george iliyocheza na simba hapa mechi ya kirafiki na bado ikashindwa kupata goli la mipango uwanjani ikasubilia ipewe hisani ya penalt na mwamuzi, hivi kwa hali ya kawaida kikosi cha st george na yanga ni kikosi kipi kiko bora zaidi ya kingine? Sasa kama st george kapata matokeo kwa hal hilal yanga na ubora wao ndo washindwe?Kama St George walipitia vyote na wakawasumbua mpaka dakika ya 80+ basi hayo yote uliyoyaandika hayana msaada kwao. Yanga ni kupanga kikosi vyema hasa hasa kwenye kiungo na beki imara. Hiyo timu haina cha ajabu kama wameenyeshwa na Wa Ethiopia kiasi kile
Jipeni moyoHao Al hilal tunawapiga nje ndani, hii siyo Yanga ya kina Ditram Nchimbi ndio mnategemea awape ushindi.
Yanga inakwenda kuonesha Kwa vitendo nini maana ya uwekezaji na wachezaji kama Aziz Ki wanakwenda kuonesha dhahiri thamani yao.
Mamelod ndio kipimo chenu ?Mtaongea maneno mengi sana ya kujifariji Al Hillaly wamebondwa juzi tu hapo bao 4 nyumbani na Mamelody sundowns
Last year yanga ilipangwa kundi gan champion league?Kama St George walipitia vyote na wakawasumbua mpaka dakika ya 80+ basi hayo yote uliyoyaandika hayana msaada kwao. Yanga ni kupanga kikosi vyema hasa hasa kwenye kiungo na beki imara. Hiyo timu haina cha ajabu kama wameenyeshwa na Wa Ethiopia kiasi kile