Uzoefu wangu wa kwenda kwa Waganga kwa Mwaka mmoja

Je mizimu ya ukoo inaweza ikamkwamisha mtu asiweze fanikiwa?
 
Mm najamaangu alikuwa na kesi nkapata waganga 3 wote hamna kitu.ila sasa nina mgodi kuna mzee mlozi nataka nimtumie.nilimpataje? Kuna kimke cha mtu huwa na mm napiga piga .ila ni kimalaya kabisa nimekikula toka usichana kwa hiyo tumejenga urafiki wenye maslahi ya kibandar.siku moja alifumaniwa live bila chenga na mumewe uchi na njemba moja .jamaa pale pale alinyanganya simu na kumtupia vilago nje .demu akanambia anaenda kwa mganga kigoma ujiji akirudi ndoa imerudi.demu kurudi jamaa alienda mwenyewe kumpokea na hadi leo jamaa anaishi nae kwa amani.nikaomba aniunge na huyo mbabu mzee kanifurahisha kasema hataki hela hadi mgodi uteme.ntawaletea mrejesho maana nampeleka wiki ijayo
 
[emoji1]

Ova
 
Nifanyie mazuri mkuu pm
 
Dah kuna scenario nimeikumbuka baada ya kuusoma huu uzi
 
Wewe ndio poyoyo kabisa, unatafuta mganga manzese? Kibaha?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh..
 
Kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kwenye utajiri.
 
Kwahyo umeloga mwaka mmoja tu umetoa hitimisho😂😂 mm hapa naandika nipo kwa mganga na mambo yanaenda kama upepo. Sihitaji mtu pm maana mnapenda sana ushirikina
 
Kuna mganga mmoja anaitwa Yesu wa Nazareti huyo hashindwi na kitu mawakala wake ni Wachungaji wa makanisa ya kilokole uzuri wake yeye haitaji damu Bali alishatoa damu yake inafuta laana na mikosi yote
Asilimia 95 ya walokole ni masikini wa kutupwa.wale wa gwajima wanakosaga hadi nauli ya daladala.kilichopo ukitaka uchawi wa yesu uikane dhambi kiukweli ambapo 85% ya walokole wanawake na wanaume tunapishana malodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…