moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Una umri gan?Huko ni uhuni tu. Me nilipewa dawa ya mpenzi nikaambiwa demu mwenyewe atanitafuta tena walikuwa mademu wawili.
Wiki ya tatu hii bado nasikilizia ila sioni dalili.
Nahesabu nimepigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una umri gan?Huko ni uhuni tu. Me nilipewa dawa ya mpenzi nikaambiwa demu mwenyewe atanitafuta tena walikuwa mademu wawili.
Wiki ya tatu hii bado nasikilizia ila sioni dalili.
Nahesabu nimepigwa
Acha ujinga,huyo Glad wako kanipenda mwenyewe. Acha mambo ya kupuliza.My evidence research Kuna nguvu ya giza ilitumika ushahidi ninao
Ha ha ha.ikawaje sasa mkuu?Jamaa; Mganga naomba nisaidie kuangalia mwanangu wamemfanya nini,sana anaumwa maradhi ya ajabu ajabu tukienda hospital hatuoni ugonjwa wowote na sawa hazimsaidii..usiku halali
Msaidie kijana wangu
Mganga: mzee,mizimu inaonesha kijana wako amelala na mke wa mtu mwenye mke kamroga.
Jamaa: heee!!mwanangu Ni mtoto mchanga wa mwaka mmoja..
Mganga:...........
Kijana wanawake wanavutwa kwa pesa na chakula kitamu tu mitishamba haitasidia kama huna pesaHuko ni uhuni tu. Me nilipewa dawa ya mpenzi nikaambiwa demu mwenyewe atanitafuta tena walikuwa mademu wawili.
Wiki ya tatu hii bado nasikilizia ila sioni dalili.
Nahesabu nimepigwa
Ndugu yanguSalam,
Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa."
Hali hiyo nimeipitia kipindi cha nyuma, mambo yangu yalikuwa hayaendi kabisa nimebanwa hasa. Mshauri akaja akaniambia atanipeleka Kibaha kwa mganga, kweli nilienda kwa mganga. Hiyo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza katika maisha, niliogopa sana siku hiyo lakini nikasema haina jinsi.
Mganga yule ni mmama maarufu sana pale Kibaha, baada ya kufika nikapanga foleni maana kulikuwa na watu wengi kidogo. Hatimaye zamu yangu ilifika ya kumuona mtaalamu, nilipofika akasema utaniambia shida yako au nikwambie mimi?
Nikaomba aniambie, akapandisha majini pale akaanza kufunguka aliniambia vitu vingi ambavyo vyote ni vya kweli. Nikasema hapa ndio penyewe sasa, akaniambia tatizo lako ndani ya wiki moja litakuwa limeisha. Akanipa dawa za kuoga, nyingine nilioga pale pale na nyingine nilienda kuoga nyumbani.
Ikaisha wiki hamna kitu, wiki mbili mpaka mwezi tatizo bado. Ukipiga simu kuuliza akasema watu wanatofautiana, wengine dawa hufanya kazi haraka na wengine huchelewa kwa hiyo uwe mvumilivu. Mara kadhaa pia nilikuwa naenda pale kwa ajili ya kuongezewa dozi.
Baada ya miezi miwili nikaona labda tatizo langu kashindwa na hapo ka roho kwa kupenda waganga kaliniingia, nikaanza kuzunguka sehemu mbali pamoja na kuuliza watu waganga nitawapata wapi. Nilipata waganga maeneo mbalimbali; Manzese, Magomeni, Bagamoyo, Morogoro, Tanga, Iringa na Musoma.
Nilichogundua waganga wengi sana wanakwambia mambo ya kila siku ambayo hata wewe unaweza kumwambia mtu mwingine. Mganga anasema; hapa naona pesa kwako haikai (wakati hilo ni swala la kawaida kabisa) au unapishana pishana na mke wako/mume wako, huko kazini kuna watu wanakuchukia nk.
Mganga alikuwa akiniambia hayo mambo ya kawaida nilikuwa naachana nae namwambia ntarudi kupata tiba.
Kwa kipindi chote cha mwaka na kitu, sehemu zote nilizoenda ambaye aliweza kunipa taarifa sensitive ambazo najua hizi hazijui mtu ni sehemu moja tu hapo Kibaha lakini naye hakuweza kutatua matatizo yangu.
Hivyo, binafsi naona waganga hawana uwezo wa kutatua shida za watu bali wamejawa na uongo na utapeli. Huo ndio uzoefu wangu mimi kwa kipindi cha mwaka mmoja kwenda kwa waganga, kama una uzoefu tofauti share na wewe.
Ni mwezi umepita napiga gambe, asbh nina stress nakutana na mganga..tukakubaliana akajinadi paleee nikasema sawa subiri nitamtafuta, akaja sema nimtumie elfu 5 aanze kazi nikatuma..Salam,

Kwani umri ni tatizo? Au we una wazo gani juu ya umri wangu?Una umri gan?
tena wanao jua hasaWaganga wa kweli wapo
mkuu kuna waganga wanajua na wanajua tena na tena ila ni wachache na wanafahamianaWaganga na wapandisha mashetani na majini wengi wana uwezo tu wa kukwambia kilichokwisha kukutokea lakini si kijacho ama suluhu yake..
Na hicho kilichokwiahatokea kiroho tunaita ni tendo mfu lilishakamilika na linajulikana hivyo halina madhara tena
Hawa matatibu wanachofanya sio kutibu mzizi wa tatizo bali ni kutafuta tu kukupa unafuu ama kubahatisha
Tiba halisi za kichawi ni kutumia formula ileile iliyotumika kukuroga ili upate codes na tracking mpaka tatizo lilipoanzia. Tofauti na hapo ni story tuu..
Kama kucha ama nywele zako zilifungwa na kufukiwa mahali ni mpaka mtaalam avipate hivyo vitu avifukue avifubaze .. Akishindwa kufanya hivyo hakuna tiba hapo
Shida inayowakumba wengi ni kupata ile formula na mahali kitu kilipowekwa.. Kwakuwa kama kuna kitu kiko complicated kwenye ushirikina ni njia iliyotumika kukuroga
DuhSalam,
Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa."
Hali hiyo nimeipitia kipindi cha nyuma, mambo yangu yalikuwa hayaendi kabisa nimebanwa hasa. Mshauri akaja akaniambia atanipeleka Kibaha kwa mganga, kweli nilienda kwa mganga. Hiyo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza katika maisha, niliogopa sana siku hiyo lakini nikasema haina jinsi.
Mganga yule ni mmama maarufu sana pale Kibaha, baada ya kufika nikapanga foleni maana kulikuwa na watu wengi kidogo. Hatimaye zamu yangu ilifika ya kumuona mtaalamu, nilipofika akasema utaniambia shida yako au nikwambie mimi?
Nikaomba aniambie, akapandisha majini pale akaanza kufunguka aliniambia vitu vingi ambavyo vyote ni vya kweli. Nikasema hapa ndio penyewe sasa, akaniambia tatizo lako ndani ya wiki moja litakuwa limeisha. Akanipa dawa za kuoga, nyingine nilioga pale pale na nyingine nilienda kuoga nyumbani.
Ikaisha wiki hamna kitu, wiki mbili mpaka mwezi tatizo bado. Ukipiga simu kuuliza akasema watu wanatofautiana, wengine dawa hufanya kazi haraka na wengine huchelewa kwa hiyo uwe mvumilivu. Mara kadhaa pia nilikuwa naenda pale kwa ajili ya kuongezewa dozi.
Baada ya miezi miwili nikaona labda tatizo langu kashindwa na hapo ka roho kwa kupenda waganga kaliniingia, nikaanza kuzunguka sehemu mbali pamoja na kuuliza watu waganga nitawapata wapi. Nilipata waganga maeneo mbalimbali; Manzese, Magomeni, Bagamoyo, Morogoro, Tanga, Iringa na Musoma.
Nilichogundua waganga wengi sana wanakwambia mambo ya kila siku ambayo hata wewe unaweza kumwambia mtu mwingine. Mganga anasema; hapa naona pesa kwako haikai (wakati hilo ni swala la kawaida kabisa) au unapishana pishana na mke wako/mume wako, huko kazini kuna watu wanakuchukia nk.
Mganga alikuwa akiniambia hayo mambo ya kawaida nilikuwa naachana nae namwambia ntarudi kupata tiba.
Kwa kipindi chote cha mwaka na kitu, sehemu zote nilizoenda ambaye aliweza kunipa taarifa sensitive ambazo najua hizi hazijui mtu ni sehemu moja tu hapo Kibaha lakini naye hakuweza kutatua matatizo yangu.
Hivyo, binafsi naona waganga hawana uwezo wa kutatua shida za watu bali wamejawa na uongo na utapeli. Huo ndio uzoefu wangu mimi kwa kipindi cha mwaka mmoja kwenda kwa waganga, kama una uzoefu tofauti share na wewe.
He is a problem solver.Jesus is Lord [emoji1783]
Tuwekee na walipo asa mwanza apa😁mkuu kuna waganga wanajua na wanajua tena na tena ila ni wachache na wanafahamiana
kuna waganga unaenda anakwambia tiba yako inaweza chukua hata mwaka mzima sasa chagua azime moto (akufungie mambo yako haraka haraka ) ama aanze mdg mdg kuchimbua tatizo
cha kuchosha kwenye kuchimbua tatizo anaibua mengi mnoo na kuna wakati unaanza kudhoofika wakati anakutibu
na wale wabaya wako wakifahamu umeanza shughulikiwa wanakupa roho ya kukataa kuendelea na tiba (mara nyingi mganga wa kweli hakubembelezi anakuacha uende ) wewe hapa utasema alikutapeli (huwa hawachukui hela)
waganga wakweli mara nyingi hawapendi kutibu ila hulazimishwa na maruhani wao/majini na mara nyingi hutibu watu wa familia/koo zao na marafiki wachache
kuhusu kutibu kutokana na ulivyo rogwa ndivyo tiba huwa, huwa wanawavuta wale walio kuloga na kuwaagiza walete kama ni kucha, kutambaa ama kitu kilichofukiwa sehemu. inakuwa(ga) kimbembe kuleta vile vitu maana kuna baadhi ya washiriki kukuloga wanakuwa hawataki kuvitoa ila wanalazimishwa na wanatoa ndio mambo yako yanatengenezwa
tutabishana sana ila kuna waganga wapo wanajua na wanajua tena
hapa natoa ushuhuda tu wa ninayo fahamuTuwekee na walipo asa mwanza apa😁
Duuh ata kuelekeza tu ni kuvunja masharti kaz kweli kwelihapa natoa ushuhuda tu wa ninayo fahamu
kuhusu kumpeleka mtu, siwezi mpeleka mtu yoyote wa humu maana moja ya sharti la huko
ukimpeleka mtu akaharibu basi adhabu huwa hadi kwako kwa uliye mpeleka. pia unaweza kuwa na haraka ya tiba ukaona ni uongo maana muhusika ana haraka ya kutibu
Sasa unakwendaje kwa mganga halafu usimuamini?...Mtume muhammad (s.a.w) anasema"atakeyekwenda kwa mganga au kuhani na akamuamini basi amekufuru na kujivua uislam wake,
na atakayekwenda na asimuamini basi swala zake za siku arubaini hazikubaliki..na atakayemshirikisha mwenyezi mungu basi motoni milele....akifa hvyo.
Dini ya kiislam imekemea vikali sana sana vitendo vya kishirikina