Uzur wa mwanamke unaweza changia kuolewa ila tabia ndo itaamua

Uzur wa mwanamke unaweza changia kuolewa ila tabia ndo itaamua

Hata na sisi tunapenda mahandsome[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu kumbadilisha mtu tabia ni lazima uwe na akili ya ziada!!
Mkuu kabla hatujafika mbali naomba kuuliza wewe ni mwanaume wa dar? Maana naona


Samahan lakin nimeuliza tu sijatukana
 
Hili ni kweli na halina mjadala. Wanaume wakati mwingine huoa kwa mihemuko ya ngono. Mihemuko ikizoeleka mwanaume anaangali tabia maana ndiyo itampa amani ya moyo. Mwanamke hata kama ni mzuri vipi akishaanza kuboa mwanaume hujikuta anaanza kutouona huo urembo wake. Nakubaliana na wewe mkuu.
Umeongea point tupu mkuu
 
Tabia ina badilika sura haibadiriki mwanamke kila kitu sura ,tabia, tako sio muhim kwang mm as long as ana weza kukaa kwenye kiti it ok.
sio unaoa mtu ana sura iso kufrahisha kisa anatabia nzur , ndio utampenda lkn utaishia kutaman wengine wa nje wenye sura nzur na misambwanda.
 
Sio mwanaume wa Dar..
Mbona una mawazo kama ya wanaume wa dar?


Lakin mkuu umekaa sana dar

Umekaa dar kwa mda gan mkuu nataka kujua ili niunganishe dot fulan hapa nipate jibu


Samahan lakin nauliza tu
 
Huyo mdada hapo sio mzuri ni wakawaida kbs...ila mke mwenye tabia njema ni hazina kubwa ambayo mwanaume utajivunia...huna stress kbs yan...unaishi kwa raha
 
Afadhali kutambua kuwa mke ni tabia sio umbile, wengine utawasikia wanakelele sana na kwa mwanaume akishagundua una kelele basi anakukwepa anajua huyu taabu sana. Hizo kelele ndio huwa zinaashiria tabia yake kuanzia kupambana na ww ndani hadi ukarimu kwa ndugu na wengine...
 
Mbona una mawazo kama ya wanaume wa dar?


Lakin mkuu umekaa sana dar

Umekaa dar kwa mda gan mkuu nataka kujua ili niunganishe dot fulan hapa nipate jibu


Samahan lakin nauliza tu

Mawazo kama yapi yanatofanana na wanaume wa Dar!?
 
Mkuu twende kwenye point utatumia njia zip kumubadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya

Kwa mwanaume halisi hawezi kuuliza swali la namna hiyo!!

Mwanaume ndio kichwa cha familia, lazima uhakikishe yale unayoyataka ndani ya nyumba yanafuatwa..
 
mtoa uzi hv na wewe huwa ni wale wa wanaotokea nje "wabeba maboksi" ?!!!!
 
tupo zungumzia tabia tuna maana ya tabia zipi ? ukweli ni kwamba wanadamu hatufanani kwa lolote kwa maana yakua kila mmoja ana tabia yake isipo kua kuna tabia pendwa au tabia rafki, hii ina tegemea na mtu anae kaa na mwanamke mwenyewe, mleta mada rabda ungetueleza ni tabia zipi ambazo ni kusudio kwa kudumisha ndoa,usicho kipenda wewe mwenzako ana kipenda ,mleta uzii una maana yakua tabia ni kwa mwanamke tuu ? mwanamee c muhimu? mkuu una maana yakua ndoa kudumu ni kwa tabia ya kina mama zetu tuu ? mwana ume awezi achwa hata akawa na tabia mbovuu,? mkuu una taka kuniambia walio na tabia mbovu wasiolewe kwa kua ndoa hazita dumuu au waolewe na walio na tabia sawiya? kiupande wangu mm watu wawili kukosana mpaka kuachana mara nyingi ni kwa tabia ilio jitokeza wala c tabia asilia, neno langu kwa wana jf si wanawake pekee kwa tabia zao ndo usababisha kusto dumu kwa mausiano hata wanaume pia[emoji1488]
..mwanke mwenye tabia nzuri humcontrol mumewe!
 
Nawakumbusha mwanamke kutulia na wewe mwanaume ni uamuzi wake na km mwanaume lazima ujue wanawake ndo wavumilivu sana kwenye mahusiano
 
Nawakumbusha mwanamke kutulia na wewe mwanaume ni uamuzi wake na km mwanaume lazima ujue wanawake ndo wavumilivu sana kwenye mahusiano
Kwahiyo wanawake ni wavumilivu kushinda wanaume
 
Back
Top Bottom