Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujidanganya
Foolgood
Hebu eleza mbinu zako hapa mkuu
Umeongea point tupu mkuuHili ni kweli na halina mjadala. Wanaume wakati mwingine huoa kwa mihemuko ya ngono. Mihemuko ikizoeleka mwanaume anaangali tabia maana ndiyo itampa amani ya moyo. Mwanamke hata kama ni mzuri vipi akishaanza kuboa mwanaume hujikuta anaanza kutouona huo urembo wake. Nakubaliana na wewe mkuu.
Mkuu kabla hatujafika mbali naomba kuuliza wewe ni mwanaume wa dar? Maana naona
Samahan lakin nimeuliza tu sijatukana
Mbona una mawazo kama ya wanaume wa dar?
Lakin mkuu umekaa sana dar
Umekaa dar kwa mda gan mkuu nataka kujua ili niunganishe dot fulan hapa nipate jibu
Samahan lakin nauliza tu
Mkuu twende kwenye point utatumia njia zip kumubadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya
..mwanke mwenye tabia nzuri humcontrol mumewe!tupo zungumzia tabia tuna maana ya tabia zipi ? ukweli ni kwamba wanadamu hatufanani kwa lolote kwa maana yakua kila mmoja ana tabia yake isipo kua kuna tabia pendwa au tabia rafki, hii ina tegemea na mtu anae kaa na mwanamke mwenyewe, mleta mada rabda ungetueleza ni tabia zipi ambazo ni kusudio kwa kudumisha ndoa,usicho kipenda wewe mwenzako ana kipenda ,mleta uzii una maana yakua tabia ni kwa mwanamke tuu ? mwanamee c muhimu? mkuu una maana yakua ndoa kudumu ni kwa tabia ya kina mama zetu tuu ? mwana ume awezi achwa hata akawa na tabia mbovuu,? mkuu una taka kuniambia walio na tabia mbovu wasiolewe kwa kua ndoa hazita dumuu au waolewe na walio na tabia sawiya? kiupande wangu mm watu wawili kukosana mpaka kuachana mara nyingi ni kwa tabia ilio jitokeza wala c tabia asilia, neno langu kwa wana jf si wanawake pekee kwa tabia zao ndo usababisha kusto dumu kwa mausiano hata wanaume pia[emoji1488]