Uzuri na kasoro za gari aina ya subaru impreza 2007

Gari zinatembea mpaka unasikia raha
 
Uzuri wa hizi gari ni AWD symmetrical...
Kanyaga twende hakuna cha tope wala mlima uchundo.
Unaangalia mshale wa mafuta na umbali kati ya ulipo na sheli over.
 
Uzuri wa hizi gari ni AWD symmetrical...
Kanyaga twende hakuna cha tope wala mlima uchundo.
Unaangalia mshale wa mafuta na umbali kati ya ulipo na sheli over.
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
 
Mafuta inakunywaje? Victor
Aina ya uendeshaji, service, kiasi cha afuta yaliyopo na matumizi ya Ac vinatawala sana unywaji wa mafuta.
Briefly bado sijaipa mapigo ya vijana nione ila kwa siku hizi chache naona kawaida tu.
Labda sindano haijaingia vizuri
 
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
'Gari nyingi za umeme' unamanisha nini hapo?
 
Aina ya uendeshaji, service, kiasi cha afuta yaliyopo na matumizi ya Ac vinatawala sana unywaji wa mafuta.
Briefly bado sijaipa mapigo ya vijana nione ila kwa siku hizi chache naona kawaida tu.
Labda sindano haijaingia vizuri
Ndio maana nakwambia toa ECO weka SPORT Mode mzee baba ule upepo.
 
" I always like to live in my dream in whatever circumstances." in another words it means being yourself... do not let "Mob psychology" tells you what to do, do not be a "story teller", be the "fact......"

enjoy your new ride.... as Subaru Slogan says....Confidence in Motion...

Trust me hautajuta... on what ever the circumstance....
 
Thank you Brethren...I wish I could see you and give you heavy five plus any soft drink of whatever price you like.
Be blessed.
 
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
Subaru zote zina mfumo wa AWD symmetrical na sio 4WD, ndio alichomaanisha huyo jamaa hapo juu
 
Subar Impreza ipo vizur saana tuu
Niliwah Drive kutoka Dar to Mbeya nikoona inaperform vizur tuh

Ila sasa wakat narud nikabadilishana na rafiki yangu tuliokuwa tumeenda kwenye Semina hapa Mbeya hivyo nikachukua Mnyama BMW 320i (Germany Product) chombo intembea 260km/hr with 2000cc mafuta lita 1 kwa km 16 coMfortability niliyoipata sitosahau kamwe Niliingia Dar Mapema sana na tulipishana masaa 2.

bravoooo BMW 320i
 
Lita ngapi za mafuta uliotumia kwenye Subie Mkuu
 
Wengi sana wamekaririshwa hii kesi ya kuunguza gasket which contrary kabisa. These arr stories kuwatisha watu msinunue subaru. Ila Subaru is the best. Mwenyew niko na wrx sti...ni kazi kazi, sijawah sikiza mambo ya kuunguza gasket. Na inapiga kazi kazii, racing sanaa tu
 
Hii wrx sti ndio uliinunua kwa mil 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…