Uzuri na kasoro za gari aina ya subaru impreza 2007

Uzuri na kasoro za gari aina ya subaru impreza 2007

Nishachukua Subaru Legacy Bl 5 nipo nayo hapa naenjoy music na Ac kwanza. Kuna Mdogo wangu ameniambia kuwa tayari hii ni ndoa ya Kikristo nimejibu sawa tu kama gari ni Mke basi hii ni Mke wangu katika shida na raha.
I always like to live in my dream in whatever circumstances.
Gari zinatembea mpaka unasikia raha
 
Uzuri wa hizi gari ni AWD symmetrical...
Kanyaga twende hakuna cha tope wala mlima uchundo.
Unaangalia mshale wa mafuta na umbali kati ya ulipo na sheli over.
 
Uzuri wa hizi gari ni AWD symmetrical...
Kanyaga twende hakuna cha tope wala mlima uchundo.
Unaangalia mshale wa mafuta na umbali kati ya ulipo na sheli over.
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
 
Mafuta inakunywaje? Victor
Aina ya uendeshaji, service, kiasi cha afuta yaliyopo na matumizi ya Ac vinatawala sana unywaji wa mafuta.
Briefly bado sijaipa mapigo ya vijana nione ila kwa siku hizi chache naona kawaida tu.
Labda sindano haijaingia vizuri
 
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
'Gari nyingi za umeme' unamanisha nini hapo?
 
Aina ya uendeshaji, service, kiasi cha afuta yaliyopo na matumizi ya Ac vinatawala sana unywaji wa mafuta.
Briefly bado sijaipa mapigo ya vijana nione ila kwa siku hizi chache naona kawaida tu.
Labda sindano haijaingia vizuri
Ndio maana nakwambia toa ECO weka SPORT Mode mzee baba ule upepo.
 
Nishachukua Subaru Legacy Bl 5 nipo nayo hapa naenjoy music na Ac kwanza. Kuna Mdogo wangu ameniambia kuwa tayari hii ni ndoa ya Kikristo nimejibu sawa tu kama gari ni Mke basi hii ni Mke wangu katika shida na raha.
I always like to live in my dream in whatever circumstances.

" I always like to live in my dream in whatever circumstances." in another words it means being yourself... do not let "Mob psychology" tells you what to do, do not be a "story teller", be the "fact......"

enjoy your new ride.... as Subaru Slogan says....Confidence in Motion...

Trust me hautajuta... on what ever the circumstance....
 
Thank you Brethren...I wish I could see you and give you heavy five plus any soft drink of whatever price you like.
Be blessed.
 
Gari nyingi za umeme za miaka hii zinakuja ni 4WD. Sababu ya efficiency ya driving system.

Hata IST za sasa zinakuja 4WD
Subaru zote zina mfumo wa AWD symmetrical na sio 4WD, ndio alichomaanisha huyo jamaa hapo juu
 
Habari wakuu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, Napenda kujuzwa kwa wale ambao wanajua na wameshawahi kutumia Aina ya gari Subaru impreza 2007 ni cc 1500 napenda tufahamishane juu ya ulaji wa mafuta. upatiikanaji wa spea, ubora na uimara kwenye barabara zetu hizi za bongo pia uimara na kasoro zake kwa ujumla.

Naomba msaada kwa wanaofahamu.

View attachment 1592645
Subaru Impreza 2007
Subar Impreza ipo vizur saana tuu
Niliwah Drive kutoka Dar to Mbeya nikoona inaperform vizur tuh

Ila sasa wakat narud nikabadilishana na rafiki yangu tuliokuwa tumeenda kwenye Semina hapa Mbeya hivyo nikachukua Mnyama BMW 320i (Germany Product) chombo intembea 260km/hr with 2000cc mafuta lita 1 kwa km 16 coMfortability niliyoipata sitosahau kamwe Niliingia Dar Mapema sana na tulipishana masaa 2.

bravoooo BMW 320i
 
Lita ngapi za mafuta uliotumia kwenye Subie Mkuu
 
Wengi sana wamekaririshwa hii kesi ya kuunguza gasket which contrary kabisa. These arr stories kuwatisha watu msinunue subaru. Ila Subaru is the best. Mwenyew niko na wrx sti...ni kazi kazi, sijawah sikiza mambo ya kuunguza gasket. Na inapiga kazi kazii, racing sanaa tu
Brother nina Legacy ya 2002, manual gear shift, imeingia ikiwa na 110,000 km, na ilikotoka haikuwa kubadilishwa Gasket na ninapoandika hii msg Odometer inasoma 195,000km.. hopefully by december nitagota 200,000km. Sijawahi badili gasket achilia mbali kugusa hata Plugs. Service Yangu ni chini tu kwenye vitu vya kureplace ( Bush, na kadhalika) CV joint nimebadili once toka 2015, Shockup toka imeingia 2015 ndo nimebadili za mbele juzi september december nabadili ya nyuma maana moja imeanza kuvuja. by the way nimeweka zote used.

Nimei abuse hii gari God knows how... maana ndo gari zetu za kimaskini wakat mwingine unapata safari ya lazima kwenda huko unakoishia kuvuma upepo inabidi uipeleke hiyo hiyo maana ndo usafiri uliopo.. njia ya kupeleka ma Offroad Mkonge unaipeleka Legacy 2002 B4. na bado gari inatoboa ukirudi service yako Kurudia rangi chini kulikochubuka... nilishawah kunasa na Hardbody nikatumia 4 hours kutoka mahali ambapo nilipita na Legacy nikanasa na kutumia 30min kutoka . ndo utofaut wa AWD ya Subaru na Other Brands

Kesi za kuunguza Gasket nimeziona online huko nchi za watu, ingawa sidhani ni kwa wingi huo. hata hapa TZ garage zote nilizotembelea sijasikia kama kesi hizo ni kidonda Sugu.

I am entitled to my opinion kwa Subaru maana nina Experience nayo kubwa tu, kwangu ni Gari ya alinunua Babu hadi mjukuu atatumia.
 
Wengi sana wamekaririshwa hii kesi ya kuunguza gasket which contrary kabisa. These arr stories kuwatisha watu msinunue subaru. Ila Subaru is the best. Mwenyew niko na wrx sti...ni kazi kazi, sijawah sikiza mambo ya kuunguza gasket. Na inapiga kazi kazii, racing sanaa tu
Hii wrx sti ndio uliinunua kwa mil 6?
 
Back
Top Bottom