Uzuri na kasoro za gari aina ya subaru impreza 2007

sucher

Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
53
Reaction score
12
Habari wakuu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, Napenda kujuzwa kwa wale ambao wanajua na wameshawahi kutumia Aina ya gari Subaru impreza 2007 ni cc 1500 napenda tufahamishane juu ya ulaji wa mafuta. upatiikanaji wa spea, ubora na uimara kwenye barabara zetu hizi za bongo pia uimara na kasoro zake kwa ujumla.

Naomba msaada kwa wanaofahamu.

1602042752001.png

Subaru Impreza 2007
 
hivi humu hakuna wajuzi au wamiliki wa impreza watupe uzoefu wa hiyo gari
 
kwa kukusaidia zaid kabla ya wadau wenye ujuzi wao hawajafika kwanza tembelea link nilioweka hapo chini

Nataka kuagiza Subaru Forester naombeni ushauri

in general bila kujali model gani Gari za subaru kwa ujumla wake ni moja kati ya brand ambazo ni roho ya ninaweza nikaifananisha na Peagout kipindi kile, ndo maana unakuta zinatumika sana kwenye rally hasa hizo imprezza na legacy, maana yake ni kuwa they have been built to last longer and zinavumilia barabara ama aina mbali mbali za uendeshaji. si unajua gari za rally zinavyokuwa abused. hata kama mtu akinunua imprezza ya kwawaida bas anaweza akabadili vitu vichache ikawa iko tayar kwa rally tofaut na gar kama toyota allteza wengi wanaiona kama sport car ila ki ukweli haiweze kuhimili mikiki ya barabara mbovu na uendeshaj mbovu kwa mda mrefu kama subaru.

SPARE PARTS.

spare expensive ila zinalast longer, nyingi kama sio zote ni genuine na hata used bado ni bora pia , Subaru hatoi gari kama Toyota kila mwez model mpya, Subaru anatumia majina model hizo za zamani anabadil vitu vidogo ndo maana unaona kuna imprezza toka 90's na had ya 2017. na bado mjini utapata spare part ya imprezza ya 90's. sina hakina kama unaweza pata spare part ya maark II box body ama corrola zile za 90's achilia mbali kuziona mjini zikitembea.

ENGINE AND FUEL CONSUMPTION:

Subaru wanatumia Engine zinazoitwa Boxer, wanadesign na kutengeneza wenyewe, ukigoogle utapata maeleo ya ubora wa Engine za boxer na kwa nini wameziita boxer, ila kwa nyongeza ni kuwa ziko flat kw ajili ya usalama, na pia Subaru zilizotengenezwa kuanzika 96 kama sijakosea zote zimekuja na AWD manaa yake bila kujali model kuanzia imprezza ya 1.5CC had SUV Forester zote ni AWD (All wheel Drive) . angalia kwa nini Subaru wanaita AWD na sio 4WD, na angalia ubora wa AWD za gar ya aina ya Subaru na nyinginezo.

contrary to what ppl believe, Gar za subaru hazili mafuta, kwa kifupi Subaru ya CC2000 ni sawa na Carina TI cc2000 kwa manaa ya unywaj mafuta, ikiwa una Subaru ya cc2000 au 1.5cc na hupat walau 8 - 10km/L bas kuna shida kwenye gar, nimesema 8 - 10km/l kwa maana inategemea stail ya uendeshaj wako na matumiz ya AC, ila uendeshaj wa kawaida wa mjin lazima upate hapo na ukiwa high way unatakiwa upate around 13-15km/L

ni hayo tu ngoja wajuvi wa mambo waje kutumwagia mengine, kwa nyongeza ni kuwa so far gar ambazo nimeziona kwa wing hapa mjini ODODmeter ikisomeka 200K+ ni Subaru na NISSAN, na hapo engine ni ileile toka zero milage,

kwa kifupi kwa subaru utakuwa na kazi ya kurudia rangi, labda service iwe sifuri ndo utaiua

nawakilisha

natumia LEGACY B4, cc2000, MT, 10L/km, commute driving
 
in general bila kujali model gani Gari za subaru kwa ujumla wake ni moja kati ya brand ambazo ni roho ya ninaweza nikaifananisha na Peagout kipindi kile, ndo maana unakuta zinatumika sana kwenye rally hasa hizo imprezza na legacy, maana yake ni kuwa they have been built to last longer and zinavumilia barabara ama aina mbali mbali za uendeshaji. si unajua gari za rally zinavyokuwa abused. hata kama mtu akinunua imprezza ya kwawaida bas anaweza akabadili vitu vichache ikawa iko tayar kwa rally tofaut na gar kama toyota allteza wengi wanaiona kama sport car ila ki ukweli haiweze kuhimili mikiki ya barabara mbovu na uendeshaj mbovu kwa mda mrefu kama subaru....
You have said it all
 
Habari wakuu
Rejea kichwa cha habari hapo juu, Napenda kujuzwa kwa wale ambao wanajua na wameshawahi kutumia Aina ya gari Subaru impreza 2007 ni cc 1500..napenda tufahamishane juu ya ulaji wa mafuta,upatiikanaji wa spea,ubora na uimara kwenye barabara zetu hizi za bongo pia uimara na kasoro zake kwa ujumla..,,naomba msaada kwa wanaofahamu.
Jibu hili hapa
kwa kukusaidia zaid kabla ya wadau wenye ujuzi wao hawajafika kwanza tembelea link nilioweka hapo chini

Nataka kuagiza Subaru Forester naombeni ushauri

in general bila kujali model gani Gari za subaru kwa ujumla wake ni moja kati ya brand ambazo ni roho ya ninaweza nikaifananisha na Peagout kipindi kile, ndo maana unakuta zinatumika sana kwenye rally hasa hizo imprezza na legacy, maana yake ni kuwa they have been built to last longer and zinavumilia barabara ama aina mbali mbali za uendeshaji. si unajua gari za rally zinavyokuwa abused. hata kama mtu akinunua imprezza ya kwawaida bas anaweza akabadili vitu vichache ikawa iko tayar kwa rally tofaut na gar kama toyota allteza wengi wanaiona kama sport car ila ki ukweli haiweze kuhimili mikiki ya barabara mbovu na uendeshaj mbovu kwa mda mrefu kama subaru.

SPARE PARTS.

spare expensive ila zinalast longer, nyingi kama sio zote ni genuine na hata used bado ni bora pia , Subaru hatoi gari kama Toyota kila mwez model mpya, Subaru anatumia majina model hizo za zamani anabadil vitu vidogo ndo maana unaona kuna imprezza toka 90's na had ya 2017. na bado mjini utapata spare part ya imprezza ya 90's. sina hakina kama unaweza pata spare part ya maark II box body ama corrola zile za 90's achilia mbali kuziona mjini zikitembea.

ENGINE AND FUEL CONSUMPTION:

Subaru wanatumia Engine zinazoitwa Boxer, wanadesign na kutengeneza wenyewe, ukigoogle utapata maeleo ya ubora wa Engine za boxer na kwa nini wameziita boxer, ila kwa nyongeza ni kuwa ziko flat kw ajili ya usalama, na pia Subaru zilizotengenezwa kuanzika 96 kama sijakosea zote zimekuja na AWD manaa yake bila kujali model kuanzia imprezza ya 1.5CC had SUV Forester zote ni AWD (All wheel Drive) . angalia kwa nini Subaru wanaita AWD na sio 4WD, na angalia ubora wa AWD za gar ya aina ya Subaru na nyinginezo.

contrary to what ppl believe, Gar za subaru hazili mafuta, kwa kifupi Subaru ya CC2000 ni sawa na Carina TI cc2000 kwa manaa ya unywaj mafuta, ikiwa una Subaru ya cc2000 au 1.5cc na hupat walau 8 - 10km/L bas kuna shida kwenye gar, nimesema 8 - 10km/l kwa maana inategemea stail ya uendeshaj wako na matumiz ya AC, ila uendeshaj wa kawaida wa mjin lazima upate hapo na ukiwa high way unatakiwa upate around 13-15km/L

ni hayo tu ngoja wajuvi wa mambo waje kutumwagia mengine, kwa nyongeza ni kuwa so far gar ambazo nimeziona kwa wing hapa mjini ODODmeter ikisomeka 200K+ ni Subaru na NISSAN, na hapo engine ni ileile toka zero milage,

kwa kifupi kwa subaru utakuwa na kazi ya kurudia rangi, labda service iwe sifuri ndo utaiua

nawakilisha

natumia LEGACY B4, cc2000, MT, 10L/km, commute driving
 
kwa kukusaidia zaid kabla ya wadau wenye ujuzi wao hawajafika kwanza tembelea link nilioweka hapo chini

Nataka kuagiza Subaru Forester naombeni ushauri

in general bila kujali model gani Gari za subaru kwa ujumla wake ni moja kati ya brand ambazo ni roho ya ninaweza nikaifananisha na Peagout kipindi kile, ndo maana unakuta zinatumika sana kwenye rally hasa hizo imprezza na legacy, maana yake ni kuwa they have been built to last longer and zinavumilia barabara ama aina mbali mbali za uendeshaji. si unajua gari za rally zinavyokuwa abused. hata kama mtu akinunua imprezza ya kwawaida bas anaweza akabadili vitu vichache ikawa iko tayar kwa rally tofaut na gar kama toyota allteza wengi wanaiona kama sport car ila ki ukweli haiweze kuhimili mikiki ya barabara mbovu na uendeshaj mbovu kwa mda mrefu kama subaru.

SPARE PARTS.

spare expensive ila zinalast longer, nyingi kama sio zote ni genuine na hata used bado ni bora pia , Subaru hatoi gari kama Toyota kila mwez model mpya, Subaru anatumia majina model hizo za zamani anabadil vitu vidogo ndo maana unaona kuna imprezza toka 90's na had ya 2017. na bado mjini utapata spare part ya imprezza ya 90's. sina hakina kama unaweza pata spare part ya maark II box body ama corrola zile za 90's achilia mbali kuziona mjini zikitembea.

ENGINE AND FUEL CONSUMPTION:

Subaru wanatumia Engine zinazoitwa Boxer, wanadesign na kutengeneza wenyewe, ukigoogle utapata maeleo ya ubora wa Engine za boxer na kwa nini wameziita boxer, ila kwa nyongeza ni kuwa ziko flat kw ajili ya usalama, na pia Subaru zilizotengenezwa kuanzika 96 kama sijakosea zote zimekuja na AWD manaa yake bila kujali model kuanzia imprezza ya 1.5CC had SUV Forester zote ni AWD (All wheel Drive) . angalia kwa nini Subaru wanaita AWD na sio 4WD, na angalia ubora wa AWD za gar ya aina ya Subaru na nyinginezo.

contrary to what ppl believe, Gar za subaru hazili mafuta, kwa kifupi Subaru ya CC2000 ni sawa na Carina TI cc2000 kwa manaa ya unywaj mafuta, ikiwa una Subaru ya cc2000 au 1.5cc na hupat walau 8 - 10km/L bas kuna shida kwenye gar, nimesema 8 - 10km/l kwa maana inategemea stail ya uendeshaj wako na matumiz ya AC, ila uendeshaj wa kawaida wa mjin lazima upate hapo na ukiwa high way unatakiwa upate around 13-15km/L

ni hayo tu ngoja wajuvi wa mambo waje kutumwagia mengine, kwa nyongeza ni kuwa so far gar ambazo nimeziona kwa wing hapa mjini ODODmeter ikisomeka 200K+ ni Subaru na NISSAN, na hapo engine ni ileile toka zero milage,

kwa kifupi kwa subaru utakuwa na kazi ya kurudia rangi, labda service iwe sifuri ndo utaiua

nawakilisha

natumia LEGACY B4, cc2000, MT, 10L/km, commute driving
Asante
 
Very inspirational argument..
Sitabadili wazo langu la kununua subaru tena. Kuna wajuba wamekuwa wakinitisha sana mpaka natamani kubadili wazo ila kwa hoja hii.
I must have my dream car this moon. And that car is Subaru legacy
 
kwa kukusaidia zaid kabla ya wadau wenye ujuzi wao hawajafika kwanza tembelea link nilioweka hapo chini....
In short,Subaru siyo reliable Car. Kama unataka kumshauri vyema mwelezee mhusika na changamoto ya kuunguza head gasket kila mara ila awe na taarifa kamili;Unless otherwise uniambie hujawah kuimiliki.
 
Brother nina Legacy ya 2002, manual gear shift, imeingia ikiwa na 110,000 km, na ilikotoka haikuwa kubadilishwa Gasket na ninapoandika hii msg Odometer inasoma 195,000km.. hopefully by december nitagota 200,000km. Sijawahi badili gasket achilia mbali kugusa hata Plugs. Service Yangu ni chini tu kwenye vitu vya kureplace ( Bush, na kadhalika) CV joint nimebadili once toka 2015, Shockup toka imeingia 2015 ndo nimebadili za mbele juzi september december nabadili ya nyuma maana moja imeanza kuvuja. by the way nimeweka zote used.

Nimei abuse hii gari God knows how... maana ndo gari zetu za kimaskini wakat mwingine unapata safari ya lazima kwenda huko unakoishia kuvuma upepo inabidi uipeleke hiyo hiyo maana ndo usafiri uliopo.. njia ya kupeleka ma Offroad Mkonge unaipeleka Legacy 2002 B4. na bado gari inatoboa ukirudi service yako Kurudia rangi chini kulikochubuka... nilishawah kunasa na Hardbody nikatumia 4 hours kutoka mahali ambapo nilipita na Legacy nikanasa na kutumia 30min kutoka . ndo utofaut wa AWD ya Subaru na Other Brands

Kesi za kuunguza Gasket nimeziona online huko nchi za watu, ingawa sidhani ni kwa wingi huo. hata hapa TZ garage zote nilizotembelea sijasikia kama kesi hizo ni kidonda Sugu.

I am entitled to my opinion kwa Subaru maana nina Experience nayo kubwa tu, kwangu ni Gari ya alinunua Babu hadi mjukuu atatumia.
 
Kumbe tuko wengi. Legacy B4 Sport. Kila nikilala na kuamka nawaza hii gari tu!!
Nishachukua Subaru Legacy Bl 5 nipo nayo hapa naenjoy music na Ac kwanza. Kuna Mdogo wangu ameniambia kuwa tayari hii ni ndoa ya Kikristo nimejibu sawa tu kama gari ni Mke basi hii ni Mke wangu katika shida na raha.
I always like to live in my dream in whatever circumstances.
 
Attachments

  • 20201006_173718.jpg
    20201006_173718.jpg
    103.3 KB · Views: 149
Nishachukua Subaru Legacy Bl 5 nipo nayo hapa naenjoy music na Ac kwanza. Kuna Mdogo wangu ameniambia kuwa tayari hii ni ndoa ya Kikristo nimejibu sawa tu kama gari ni Mke basi hii ni Mke wangu katika shida na raha.
I always like to live in my dream in whatever circumstances.

Nenda kaiweke full tank bas kwanza mzee
 
Nishachukua Subaru Legacy Bl 5 nipo nayo hapa naenjoy music na Ac kwanza. Kuna Mdogo wangu ameniambia kuwa tayari hii ni ndoa ya Kikristo nimejibu sawa tu kama gari ni Mke basi hii ni Mke wangu katika shida na raha.
I always like to live in my dream in whatever circumstances.
Jaza wese toa hio ECO mode weka Sport Mode then jiachie jombaa.
 
Back
Top Bottom