Uzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
Uzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.
mnachanganya uzuri na kumpenda mtu hivi ni vitu viwili tofauti. Watu hatupendi uzuri tunapenda vingine zaidi ya uzuri. Pesa,tabia,status,charm ya mtu,ushawishi unaweza kumpenda mtu kisa kakushawishi mdomoni tu.
Haha mkuu umenikomalia asee.Kwani ili upende nini kinaanza?
Hahaha na wanasema mwingine anaweza kua mzuri na asiwe na mvuto.... yaan muacheni binaadam aitwe binaadamHebu niacheni mimi😀😀😀 Mnanichanganya tuu mara mrembo mara ohoo mzuli MIMI NATAKA MVUTO TU hapo baaaasiii😱😱😱😱😱
Haha mkuu umenikomalia asee.
Hakuna formula kwamba ukipenda lazima kianze kitu fulani. Chochote kinaweza kuanza.
Labda Tenganisha kupenda na Uzuri wa mtu.
Unaweza kupenda kwa sababu unapewa misaada na mtu. Unaweza kupenda kwasababu umeshawishiwa na mtu mdomoni tu. Unaweza kupenda kwa kuangalia uzuri wake. N.k
Sio lazima uwe uzuri.... sasa mdogo wangu ni mzuri kuna haja ya mimi kumpenda kimapenzi wakati akiwa sio mzuri nampenda tu na kama ni mzuri ni mzuri hata nisipompenda kimapenzi?Kwani ili upende nini kinaanza?
Mkuu Tuache maana hata vyama vipo vingi kila kimoja na sera zake na wafuasi wake.Stick kwenye uzuri mkuu swali lolote context uzuri
Sio lazima uwe uzuri.... sasa mdogo wangu ni mzuri kuna haja ya mimi kumpenda kimapenzi wakati akiwa sio mzuri nampenda tu na kama ni mzuri ni mzuri hata nisipompenda kimapenzi?
Mkuu Tuache maana hata vyama vipo vingi kila kimoja na sera zake na wafuasi wake.
[Ila stand yangu ni binadamu wazuri kuzidi na wengine wapo].
Huo ulikuwa mfano tu mzee huenda hata sina dogo wa kike.Kwahiyo wewe ukijaji nasisi tufuate jajimenti yako kwasababu unayemjaji mdogo wako Mkuu?
Wewe mjaji uzuri wake kwa maono na mtazamo wako.....
Na sisi wengine tutamjaji kivyetu...
Hao wajuu wakipata hela wanaweza kuwa kama huyo mwingine? Na huyo mwingine angekulia mazingira ya hao wengine kuna uwezekano angekuwa mbaya kulio waoHahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
Watu wanaweka love affection. Tujijibu bila hisia za kimahusianoUzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.
mnachanganya uzuri na kumpenda mtu hivi ni vitu viwili tofauti. Watu hatupendi uzuri tunapenda vingine zaidi ya uzuri. Pesa,tabia,status,charm ya mtu,ushawishi unaweza kumpenda mtu kisa kakushawishi mdomoni tu.
Watu wanaweka love affection. Tujijibu bila hisia za kimahusiano
Jibu ni kwambaa kuna watu wazuri kuzidi wengine.Watu wanaweka love affection. Tujijibu bila hisia za kimahusiano
Hao wakipata hela hawawezi kua kama huyo lakini haina maana kama wao ni wabaya maana kuna wengine wanawaona ma handsome balaa,Hao wajuu wakipata hela wanaweza kuwa kama huyo mwingine? Na huyo mwingine angekulia mazingira ya hao wengine kuna uwezekano angekuwa mbaya kulio wao