Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Uzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
mnachanganya uzuri na kumpenda mtu hivi ni vitu viwili tofauti. Watu hatupendi uzuri tunapenda vingine zaidi ya uzuri. Pesa,tabia,status,charm ya mtu,ushawishi unaweza kumpenda mtu kisa kakushawishi mdomoni tu.