Uzuri ni nini? kipi kimpendezeshacho mtu?

Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
Uzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.

mnachanganya uzuri na kumpenda mtu hivi ni vitu viwili tofauti. Watu hatupendi uzuri tunapenda vingine zaidi ya uzuri. Pesa,tabia,status,charm ya mtu,ushawishi unaweza kumpenda mtu kisa kakushawishi mdomoni tu.
 
Kwani ili upende nini kinaanza?
 
Hebu niacheni mimi😀😀😀 Mnanichanganya tuu mara mrembo mara ohoo mzuli MIMI NATAKA MVUTO TU hapo baaaasiii😱😱😱😱😱
 
Kwani ili upende nini kinaanza?
Haha mkuu umenikomalia asee.

Hakuna formula kwamba ukipenda lazima kianze kitu fulani. Chochote kinaweza kuanza.

Labda Tenganisha kupenda na Uzuri wa mtu.

Unaweza kupenda kwa sababu unapewa misaada na mtu. Unaweza kupenda kwasababu umeshawishiwa na mtu mdomoni tu. Unaweza kupenda kwa kuangalia uzuri wake. N.k
 
Hahaha na wanasema mwingine anaweza kua mzuri na asiwe na mvuto.... yaan muacheni binaadam aitwe binaadam
 
Unaona mzuri mweusi mwenye sura ya duara

Anaona mzuri mweupe mwenye sura ya duara

Unaona mzuri mrefu mwemba na macho ya brown

Anaona mzuri mrefu mnene na macho ya brown

Hiyo michanganyiko ndio tunasema, uzuri wa kitu ni mtazamo wa mtu na vigezo vyake....mambo ya urembo weka pembeni
 
Haha mkuu umenikomalia asee.

Hakuna formula kwamba ukipenda lazima kianze kitu fulani. Chochote kinaweza kuanza.

Labda Tenganisha kupenda na Uzuri wa mtu.

Unaweza kupenda kwa sababu unapewa misaada na mtu. Unaweza kupenda kwasababu umeshawishiwa na mtu mdomoni tu. Unaweza kupenda kwa kuangalia uzuri wake. N.k

Stick kwenye uzuri mkuu swali lolote context uzuri
 
Kwani ili upende nini kinaanza?
Sio lazima uwe uzuri.... sasa mdogo wangu ni mzuri kuna haja ya mimi kumpenda kimapenzi wakati akiwa sio mzuri nampenda tu na kama ni mzuri ni mzuri hata nisipompenda kimapenzi?
 
Stick kwenye uzuri mkuu swali lolote context uzuri
Mkuu Tuache maana hata vyama vipo vingi kila kimoja na sera zake na wafuasi wake.

[Ila stand yangu ni binadamu wazuri kuzidi na wengine wapo].
 
Sio lazima uwe uzuri.... sasa mdogo wangu ni mzuri kuna haja ya mimi kumpenda kimapenzi wakati akiwa sio mzuri nampenda tu na kama ni mzuri ni mzuri hata nisipompenda kimapenzi?

Kwahiyo wewe ukijaji nasisi tufuate jajimenti yako kwasababu unayemjaji mdogo wako Mkuu?

Wewe mjaji uzuri wake kwa maono na mtazamo wako.....

Na sisi wengine tutamjaji kivyetu...
 
Mkuu Tuache maana hata vyama vipo vingi kila kimoja na sera zake na wafuasi wake.

[Ila stand yangu ni binadamu wazuri kuzidi na wengine wapo].

Hahahaha Mkuu

Zingatia vigezo... Kila jaji anavyake
 
Kwahiyo wewe ukijaji nasisi tufuate jajimenti yako kwasababu unayemjaji mdogo wako Mkuu?

Wewe mjaji uzuri wake kwa maono na mtazamo wako.....

Na sisi wengine tutamjaji kivyetu...
Huo ulikuwa mfano tu mzee huenda hata sina dogo wa kike.

Mie sijamlazimisha mtu aamini navyoamini kuhusu uzuri.

"beauty is the part of universal nature and not in the eyes of beholder". Kuna sura za kulishia watoto wanaozingua kula.
 
Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
Hao wajuu wakipata hela wanaweza kuwa kama huyo mwingine? Na huyo mwingine angekulia mazingira ya hao wengine kuna uwezekano angekuwa mbaya kulio wao
 
Uzuri....neno mzuri l, wazuri...vizuri, kizuri

Ni very complex linamaana kulingana na mtu husika anavooona na kujaji

Akikuambia John mzuri sana....muulize kwanini au nini kinakufanya useme John mzuri

Unaweza kudondoka kwa feedback ya ajabu

....anamwanya mzuriiii

.....anashingo nzuriiii

....anakifua kizuriii

You can be even more confused akisema anafanana na baba saaana....ebo ndio hivyo

Uzuri wa mtu unabaki kuwa utashi na mtazamo wa mtu binafsi kama ndividual kwa vigezo vyake na akili yake inavomtuma sio vinginevo.
 
Uzuri hauna uhusiano na kutokulala kwasababu ya mtu.

mnachanganya uzuri na kumpenda mtu hivi ni vitu viwili tofauti. Watu hatupendi uzuri tunapenda vingine zaidi ya uzuri. Pesa,tabia,status,charm ya mtu,ushawishi unaweza kumpenda mtu kisa kakushawishi mdomoni tu.
Watu wanaweka love affection. Tujijibu bila hisia za kimahusiano
 
Mkuu sasa anayesema John mzuri sana

Ukimuuliza kwanini

Anakwambia anafanana na baba sana.....demeti hiyo ndiyo sababu kusema john mzuri?
 
Watu wanaweka love affection. Tujijibu bila hisia za kimahusiano
Jibu ni kwambaa kuna watu wazuri kuzidi wengine.

Kuhusu kujipendezesha na kujiremba huo ni Urembo. Mtu yeyote anaweza kujiremba akarembeka.

Mzuri hata asijirembe ni mzuri tu.
 
Mchanganuo wangu kuhusu uzuri unaishia hapa

Wakuu endeleeni kudadavua
 
Hao wajuu wakipata hela wanaweza kuwa kama huyo mwingine? Na huyo mwingine angekulia mazingira ya hao wengine kuna uwezekano angekuwa mbaya kulio wao
Hao wakipata hela hawawezi kua kama huyo lakini haina maana kama wao ni wabaya maana kuna wengine wanawaona ma handsome balaa,
na huyo mwingine hata kama angekulia maisha magumu still uzuri wake ungebaki vile vile kwasababu yeye ni mzuri natural japo kuna wengine wanamuona wa kawaida.

Again, uzuri wa mtu/kitu unabaki kwenye macho ya mtazamaji.
 
Back
Top Bottom