Hiyo ndio nzuri.
Mambo ya kushika ofisi mbili ndio mwanzo wa kiburi na wizi.
Hata rasimu ya Warioba ilikuwa na kipengele hicho cha mawaziri wasitokane na wabunge ila kwa kuwa uwaziri ni kofia ya majizi ya CCM kujificha mmeitupia kapuni.
Watawala wanatakiwa kujua wenye maamuzi ni wananchi , wananchi walilichoka hilo baraza hivyo acha likapumzike mtaani.
View attachment 3040426
Mwisho tu hao mawaziri wakiteuliwa Kenya wanapitia kwanza vetting halafu approval ya bunge ila Tanzania Samia akiamka hata kesho anaweza mteua Bambo kuwa mbunge kwenye zile slot 10 kisha akamteua kuwa waziri na watanganyika wasifanye chochote.
View attachment 3040426