Uzuri wa Katiba ya Kenya uko Wapi? Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri anajiuzulu Ubunge na akitumbuliwa Uwaziri anarudi mtaani!

Uzuri wa Katiba ya Kenya uko Wapi? Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri anajiuzulu Ubunge na akitumbuliwa Uwaziri anarudi mtaani!

Wana uhuru wa kukubali au kukataa uteuzi.

Halafu, think big. Lengo la katiba nzuri ni kwa wananchi na nchi kwa ujumla sio kwa maslahi binafsi ya wanaochaguliwa au kuteuliwa.
Na walioipendekeza hiyo Katiba ni hao wananchi.
 
Hiyo ndio nzuri.

Mambo ya kushika ofisi mbili ndio mwanzo wa kiburi na wizi.

Hata rasimu ya Warioba ilikuwa na kipengele hicho cha mawaziri wasitokane na wabunge ila kwa kuwa uwaziri ni kofia ya majizi ya CCM kujificha mmeitupia kapuni.

Watawala wanatakiwa kujua wenye maamuzi ni wananchi , wananchi walilichoka hilo baraza hivyo acha likapumzike mtaani.
IMG-20240711-WA0004.jpg

Mwisho tu hao mawaziri wakiteuliwa Kenya wanapitia kwanza vetting halafu approval ya bunge ila Tanzania Samia akiamka hata kesho anaweza mteua Bambo kuwa mbunge kwenye zile slot 10 kisha akamteua kuwa waziri na watanganyika wasifanye chochote.
IMG-20240711-WA0004.jpg
 
Hiyo ndio nzuri.

Mambo ya kushika ofisi mbili ndio mwanzo wa kiburi na wizi.

Hata rasimu ya Warioba ilikuwa na kipengele hicho cha mawaziri wasitokane na wabunge ila kwa kuwa uwaziri ni kofia ya majizi ya CCM kujificha mmeitupia kapuni.

Watawala wanatakiwa kujua wenye maamuzi ni wananchi , wananchi walilichoka hilo baraza hivyo acha likapumzike mtaani.View attachment 3040426

Mwisho tu hao mawaziri wakiteuliwa Kenya wanapitia kwanza vetting halafu approval ya bunge ila Tanzania Samia akiamka hata kesho anaweza mteua Bambo kuwa mbunge kwenye zile slot 10 kisha akamteua kuwa waziri na watanganyika wasifanye chochote.View attachment 3040426
Hata akiamua kumteua Mrundi mna la kufanya?
 
Mbona yupo tayari tena juu juu kabisa chumba anatumia card ya nne?

Kama hukumuelewa CDF kuna siku mtamuelewa.
Mwacheni Biteko achape kazi! Wewe unaamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni vizembe kiasi hicho? Siyo karne hii!
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Murkomen na Duale wataenda Kula pesa zao Dubai
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
raia wa kawaida na raia asie wa kawaida?😆😆

ulivyoandika ni kama kuwa raia wa kawaida ni dhambi au ni kitu kibaya🙌
 
Back
Top Bottom