GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Na walioipendekeza hiyo Katiba ni hao wananchi.Wana uhuru wa kukubali au kukataa uteuzi.
Halafu, think big. Lengo la katiba nzuri ni kwa wananchi na nchi kwa ujumla sio kwa maslahi binafsi ya wanaochaguliwa au kuteuliwa.
Siyo inafuga tu, inahamasisha pia!Katiba yetu inafuga wezi wa mali ya umma..
Na Tz je?ndio maana kenya rushwa haziishi
Ipo kwa maslahi ya watawala na Chama chao!Katiba ya tanzania ni mbovu hata ya kenya ni mbovu .....hii ya tz siyo mbovu tu bali ni adui wa haki na maendeleo kwa taifa
Hata akiamua kumteua Mrundi mna la kufanya?Hiyo ndio nzuri.
Mambo ya kushika ofisi mbili ndio mwanzo wa kiburi na wizi.
Hata rasimu ya Warioba ilikuwa na kipengele hicho cha mawaziri wasitokane na wabunge ila kwa kuwa uwaziri ni kofia ya majizi ya CCM kujificha mmeitupia kapuni.
Watawala wanatakiwa kujua wenye maamuzi ni wananchi , wananchi walilichoka hilo baraza hivyo acha likapumzike mtaani.View attachment 3040426
Mwisho tu hao mawaziri wakiteuliwa Kenya wanapitia kwanza vetting halafu approval ya bunge ila Tanzania Samia akiamka hata kesho anaweza mteua Bambo kuwa mbunge kwenye zile slot 10 kisha akamteua kuwa waziri na watanganyika wasifanye chochote.View attachment 3040426
Mbona yupo tayari tena juu juu kabisa chumbani anatumia card ya nne?Hata akiamua kumteua Mrundi mna la kufanya?
Huyu jamaa ni bomuSasa umeandika nini
Mwacheni Biteko achape kazi! Wewe unaamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni vizembe kiasi hicho? Siyo karne hii!Mbona yupo tayari tena juu juu kabisa chumba anatumia card ya nne?
Kama hukumuelewa CDF kuna siku mtamuelewa.
Murkomen na Duale wataenda Kula pesa zao DubaiKatiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
raia wa kawaida na raia asie wa kawaida?ππKatiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ