Uzuri wa Mama Samia hana Kabila lolote kwa Bara, mambo ya ukabila utawala wake tusahau

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Katika jambo ambalo limelalamikiwa sana lilikua ni suala la ukabila.

Watu wengi walikua na manung'uniko ya chini kwa chini kua kabila moja kubwa hapa nchini ndio lilikua linawaweka sana ndugu zao juu mpaka ilifikia mpwa wa mtu anafanya kazi ngazi nyeti na watu walipohoji wakaambiwa eti wana vigezo.

Hakuna suala la kusema unapendelea kanda flani kimiundombinu, sasahivi mama anaangalia ni wapi kuna tatizo au ni wapi panahitaji kutazamwa kipekee.

Utaanza kumlaumu Mama Samia kuhusu kabila utaanzia wapi? Yaani hii ni kuanzia kwenye chama hadi Serikalini.
 
Very true mkuu mama hana kabila wala ukanda wazanzibar wake wachache hsna hilo atuvushe atengeneze legacy
 
Tatizo watanzania mnapemda kutafuta tatizo hata kama halipo, ikitokea watu wa kabila fulani wakazidi hata watatu, tayari hoja ya ukabila inaingia ndani. Mara nyingine inatokea tu, watu unaowaona wanafaa wametokea upande fulani ya nchi au upande fulani wa dini.
 
Haitokei tu hivyo, acha kudanganya watu.
 
Ni mda wa wazanzibar kupata nafasi za juu za uongozi kwenye serikali ya Muungano. Ukisikia wazanzibar wamejaa Wizara mbali mbali usishangae. Inawezekana ni shida kubwa kiliko kipindi cha Magufuli
 
Na hata zanzibari hana kabila maana yeye ni suriyama wa kiarabu na mmakunduchi
 
Wasukuma wapo wangapi kwenye taasisi nyeti(enzi za jpm)?
 
Ukishakua na akili ya mgando kuwaza utengano kwa namna yoyote ujue utawaza tu, kama sio ukabilia basi utawaza udini, na kama sio udini, utawaza ukanda, this kind of mental slavery inatafuna sana bongo za wengi.
 
Haitokei tu hivyo, acha kudanganya watu.
Kwahiyo ikitokea eneo fulani kuna maduka mengi ya Wachagga itakuwa mtoa leseni wa eneo hilo amewapemdelea?
 
Ni mda wa wazanzibar kupata nafasi za juu za uongozi kwenye serikali ya Muungano. Ukisikia wazanzibar wamejaa Wizara mbali mbali usishangae. Inawezekana ni shida kubwa kiliko kipindi cha Magufuli
hakuna Mzanzibari anaetamni kufanya kazi kwenye wizara za Tanganyika kwani zimejaa udini ,ukabila na ubaguzi na dharau , hata ukiangali Serikali zote zilizopita wanaotoka kusini ni wa kuhesabu hawazidi hata kumi.hatuwezi kwenda kwa kubaguana,ubaguzi ni dhambi.
 
Ukishakua na akili ya mgando kuwaza utengano kwa namna yoyote ujue utawaza tu, kama sio ukabilia basi utawaza udini, na kama sio udini, utawaza ukanda, this kind of mental slavery inatafuna sana bongo za wengi.
Na hiyo tunu ya Ukabila na Ukanda ndo aliotuachia meko na huku akitusi watu kutoka makabila mengine na kuwachukia wazi wazi
 
Makabila ni kwa ajili ya kutaniana tu
 

And mind you,huyo ni yule mwenye ujasir tuh ndiyo katokea mbele na kuongea hivyo,ila amin kwamba wengi wao wanamtazama Sana huyu mama kwamba je waislam itakuaje kwenye uongoz wake??atawapa nafas au hatawapa,yaani wanavyowaza utadhan kuwa waislam hao siyo watanzania au siyo wenye haki katika kupewa nafas yoyote ndan ya Taifa hili,ni watu wa hovyo sana
 
Mie mtu ambaye anajishughulisha kujua makila ya watu huyo teyari mi namuona ni mdini.
 

Ukiwa Frustrated na chuki binafsi huwezi Kosa maelezo na sababu. Hapa bado marehemu anakusumbua. Viongozi wanafanya kwa kuangalia mambo mengi. Angekuwa mama JPM. Leo ungesema mbona wasaidizi wote wa karibu sana Ni wa rangi fulani. Shida Huja Mara Zote kutoka your personal perception or prejudices.
 
Ebana eeh kila mtu ana mtuwe Magu mwenyewe alijaza wakatoliki kila kona kwanza wakatoliki ndio wanatulostishaga tu. Nyerere, Mkapa na Magu wote wakatoliki wanazingua heri kidogo Mkapa Ila ndio waliiba wale balaa.
Mwinyi alikuwa ruksa kauza mpaka.mbuga kwa waarabu, wahindi shemejie, Kikwete Epa , escrow, dowans, unanujua mi ni nani bila kusahau Kubenea, Kibanda na Ulimboka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…