Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
- Thread starter
- #21
Kiki yake naona imekiki huku mtaani kila nyumba "MAMU" washenzi sana hawa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na viewers kaongeza sana kwenye hiyo video ya mamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiki yake naona imekiki huku mtaani kila nyumba "MAMU" washenzi sana hawa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Meja Kunta ameshiriki kwenye hii kiki ya "kipumbavu" basi ni zaidi ya "boya".Keshampoteza kwenye ramani watu washaamchukia kik ya kipumbavu sana kama meneja mwenyewe alivyo
Kwakweli, ili awe huru na hii kashfa, aipige chini management yake, na asijihusishe nayo kabisa.Kipaji anacho ana sauti ya kipekee habani pua tatizo management yake
Kwakweli mkuu hupendi hizi nguo. Yani kila siku unazipinga[emoji23]Ni meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hapo tuuuu
Afadhali tupo wengi,maana nilihisi nipo mwenyewe tu.Sijui ndio nazeeka jamani mbona hao watu siwafahamu
Kiki kivipi? Maana ye mwenyewe kalala hospitali waliozusha wengine, aliwatuma?
Ni vijana hao wanapenda tu kutumia hivyo vyeo hawana uhusiano navyo wowote.Ni meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kiki kama za domowaliopost huu msiba wa kizushi sijui wataambia nini watu.