Uzushi wenye utata kuhusu diamond platnumz

Itatokea but ikiwa kwa miaka 30 ahead itakuwa good sana
 
Imani na mziki wapi na wapi NA ya dini gani ebooooh?
 
Hakuna muujiza mahali pa wajibu....mchawi au freemason hana nguvu ya kumnyanyua mtu from empty set....na ndo mana wachawi au freemason huwa wanasubiri kwanza mtu apate mafanikio ndo wanakuja..ni uongo tuuu....Diamond analoga sana...
Alisha kuloga?
 
Jamaa inawezekana anauchawi wa kisomi wa freemason kuna account ya marehem chande ile ipo instagram member wote wa freemason wanapostiwa sina hakika sana ila nawaona wcb wote masanja,gwajima,sheta,alikiba, na wenyine wengi
 
Ziagalie tatoo zilizoubamba mwili wake halafu angalia za Rihana na mastaa wengine halafu tafuta common denominator yao hutalikosa jibu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…