ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 482
Wala sio uongo hata wanaosema wanakupa utajiri sio kwamba wanakupa dawa bila kuwa na kazi ya kufanya, utajiri hauwezi kuja bila kujituma hata ukeshe huko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndumba inashika vizuri kwa mtu mwenye juhudi na pia nyota iwe njema. mfano yupo binamu.
Sent using Jamii Forums mobile app