DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Tatizo Africa jau, unakumbuka final ya CL kati ya Experience na wale waarabu wenzao[emoji23][emoji23][emoji23] goli la mazabe limepigwa refa anaenda kucheki VAR anakuta imezima kitambo, likatokea timbwili na game ikaishia hapo, na rais wa caf alikuwepo uwanjani4. NmmKwani VAR zinafungwa upya kwa kila game, ama zikifungwa ndio zimefungwa.
Kama ni zinafungwa upya kila game na hizo ndio gharama zake basi ni gharama mnoooo.
Kama zikifungwa ndio mazima, basi tupige $150k mara idadi ya viwanja vinavyotumika ligi kuu