V.A.R katika ligi kuu ya Tanzania bara

V.A.R katika ligi kuu ya Tanzania bara

kufunga VAR kiwanja kimoja ni $150k...tuna mechi nane kwa siku hivyo $1.2m...inawezekana kabisa...Vodacom,Azam,GSM,Mo.Taifa gas nk watoe hiyo pesa TFF waje kuwalipa kidogokidogo
Hapana, ni suala tu la kuongeza video camera uwanjani na kuna software nyingi tu za kuchambua video. Si lazima tuanze na hizo za dola 150,000=. Trust me, muda si mrefu yatakuja makampuni mengine na bei chini kuliko hiyo. Wachina tuokoeni jamani.
 
Changamoto na marefa wanaingia wakitaka matokeo yawe wanavotaka
 
Ni ukweli uliokuwa wazi kwa viwango vibovu vya waamuzi wetu, wanahitaji msaada wa video na kutokana na teknolojia yenyewe inaweza ikawa gharama kidogo.

T.F.F waongee na azam tv, ikiwezekana katika kila mechi ya ligi kuu kuwepo na refa akiwa na tablet, yenye application ya azam tv, mwenye mawasiliano ya moja kwa moja na wale wanaofanya replays katika mechi.

Refa akiona tukio linalohitaji msaada wa video anazungumza yafanyike marudio.

Kama wapo humu ujumbe uwafikie.
Nawalaumu mno Azam media kwa kutoongeza kamera za uwanjani.
Bado washika vibendera wetu tafsiri ua 'offside' inawasumbua, kwa maana nyengine wapo kishabiki zaidi.
 
Mie mwenyewe nawashangaa TFF, kama marefa wa kizungu na ligi zilizoendelea tena wataalam wa kuchezesha hadi world cup, lakini wamekewa VAR itakuwa marefa wetu hawa wanaoona makengeza na kuinua vibendera hovyo huku mwenye filkimbi akifunika penalti hovyoo!
Kama tumeona kwenye mechi za Simba na Yanga au finali za kombe la shirikisho kuna ulazima wa kuongeza idadi ya waamuzi , basi ni dhahiri tunahitaji VAR!
 
Kabisa chief, VAR kwetu inahitajika saana.
 
Nawalaumu mno Azam media kwa kutoongeza kamera za uwanjani.
Bado washika vibendera wetu tafsiri ua 'offside' inawasumbua, kwa maana nyengine wapo kishabiki zaidi.
Waamuzi wetu woote ni chenga..

Hasa hii sheria ya offside ndio tatizo kubwa zaidi kwao.
 
Ni ukweli uliokuwa wazi kwa viwango vibovu vya waamuzi wetu, wanahitaji msaada wa video na kutokana na teknolojia yenyewe inaweza ikawa gharama kidogo.

T.F.F waongee na azam tv, ikiwezekana katika kila mechi ya ligi kuu kuwepo na refa akiwa na tablet, yenye application ya azam tv, mwenye mawasiliano ya moja kwa moja na wale wanaofanya replays katika mechi.

Refa akiona tukio linalohitaji msaada wa video anazungumza yafanyike marudio.

Kama wapo humu ujumbe uwafikie.
Umeona wap hayo mambo ya V tablets.?
 
Kwani ni lazima kila kitu tuige tu, sisi hatuna vichwa tuna mabox au!? Hata km mabox, hatuwezi kufikiria nje ya box..

Mimi sijawahi kuona, we unaonaje V.A.R tablet inawezekana au haiwezekani!? Sio kila jambo mpaka wafanye wazungu.
Sawia mkuu. Inamaana sasa waamuzi wetu wanafanya uzembe kiwanjani kwa kulazimisha hiyo V.A.R.? Ujinga huo 😡😡😡.
 
Hakuna mahala nimesema waamuzi wanalazimisha hiyo VAR,

Uamuzi wao mbovu unatokana na uwezo wao mdogo.
 
Back
Top Bottom