makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #41
Ni mawazo yako tu.Ulikua umebeti simba wakachana mkeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mawazo yako tu.Ulikua umebeti simba wakachana mkeka
Hahaa...Mapungufu ya marefa wetu ni ya makusudi mfano goli refa anasema ipigwe kona
Unataka kuwakorofisha ndugu zangu wa jangwani pale...Yanga have been winning largely by bribing referees. I have a concrete evidence on this matter.
Chief! Hapa kama sijakuelewa vile.Ni wakati muafaka wa kuanzisha VAR maana maana yake Ni kuweka screen au tablet.
Hapana, ni suala tu la kuongeza video camera uwanjani na kuna software nyingi tu za kuchambua video. Si lazima tuanze na hizo za dola 150,000=. Trust me, muda si mrefu yatakuja makampuni mengine na bei chini kuliko hiyo. Wachina tuokoeni jamani.kufunga VAR kiwanja kimoja ni $150k...tuna mechi nane kwa siku hivyo $1.2m...inawezekana kabisa...Vodacom,Azam,GSM,Mo.Taifa gas nk watoe hiyo pesa TFF waje kuwalipa kidogokidogo
Nawalaumu mno Azam media kwa kutoongeza kamera za uwanjani.Ni ukweli uliokuwa wazi kwa viwango vibovu vya waamuzi wetu, wanahitaji msaada wa video na kutokana na teknolojia yenyewe inaweza ikawa gharama kidogo.
T.F.F waongee na azam tv, ikiwezekana katika kila mechi ya ligi kuu kuwepo na refa akiwa na tablet, yenye application ya azam tv, mwenye mawasiliano ya moja kwa moja na wale wanaofanya replays katika mechi.
Refa akiona tukio linalohitaji msaada wa video anazungumza yafanyike marudio.
Kama wapo humu ujumbe uwafikie.
Kabisa chief, VAR kwetu inahitajika saana.Mie mwenyewe nawashangaa TFF, kama marefa wa kizungu na ligi zilizoendelea tena wataalam wa kuchezesha hadi world cup, lakini wamekewa VAR itakuwa marefa wetu hawa wanaoona makengeza na kuinua vibendera hovyo huku mwenye filkimbi akifunika penalti hovyoo!
Kama tumeona kwenye mechi za Simba na Yanga au finali za kombe la shirikisho kuna ulazima wa kuongeza idadi ya waamuzi , basi ni dhahiri tunahitaji VAR!
Waamuzi wetu woote ni chenga..Nawalaumu mno Azam media kwa kutoongeza kamera za uwanjani.
Bado washika vibendera wetu tafsiri ua 'offside' inawasumbua, kwa maana nyengine wapo kishabiki zaidi.
Umeona wap hayo mambo ya V tablets.?Ni ukweli uliokuwa wazi kwa viwango vibovu vya waamuzi wetu, wanahitaji msaada wa video na kutokana na teknolojia yenyewe inaweza ikawa gharama kidogo.
T.F.F waongee na azam tv, ikiwezekana katika kila mechi ya ligi kuu kuwepo na refa akiwa na tablet, yenye application ya azam tv, mwenye mawasiliano ya moja kwa moja na wale wanaofanya replays katika mechi.
Refa akiona tukio linalohitaji msaada wa video anazungumza yafanyike marudio.
Kama wapo humu ujumbe uwafikie.
Kwani ni lazima kila kitu tuige tu, sisi hatuna vichwa tuna mabox au!? Hata km mabox, hatuwezi kufikiria nje ya box..Umeona wap hayo mambo ya V tablets.?
Sio simba tu, yanga, na klabu nyingine zote zinakutana na kadhia hii, aidha wafaidike na ubovu wa waamuzi au waumie.Bora maana tumechoka na utapeli wa simba
Sawia mkuu. Inamaana sasa waamuzi wetu wanafanya uzembe kiwanjani kwa kulazimisha hiyo V.A.R.? Ujinga huo 😡😡😡.Kwani ni lazima kila kitu tuige tu, sisi hatuna vichwa tuna mabox au!? Hata km mabox, hatuwezi kufikiria nje ya box..
Mimi sijawahi kuona, we unaonaje V.A.R tablet inawezekana au haiwezekani!? Sio kila jambo mpaka wafanye wazungu.
Hakuna mahala nimesema waamuzi wanalazimisha hiyo VAR,Sawia mkuu. Inamaana sasa waamuzi wetu wanafanya uzembe kiwanjani kwa kulazimisha hiyo V.A.R.? Ujinga huo 😡😡😡.