frank lion
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 120
Nasikia anakisambaza sana kwa wanaija uko mi siwezi vumiliaThis lady bana she is of her kind... her potential is just beyond the usual. Having a relationship with her kind needs a man with a different perception n doesn't think like the majority
Itakuwa siyajui ,,embu nieleweshe nirudi kuangalia video kidogo nichukue mawili matatu ya kulewaWewe mambo ya kulewa unayajua wapi mama
Vipi bi dada,unampenda sana Priyanka chopra ................(naona unatumia picha yake)[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrs Van
Hapana simpendiVipi bi dada,unampenda sana Priyanka chopra ................(naona unatumia picha yake)
Yale yale, kuna jamaa mmoja alisemaga hajawai kupenda wimbo wowote wa Mondi,dakika si nyingi akaanza kuimba wimbo wa Mondi ndio kama wewe.Hapana simpendi
Mrs Van
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtu kama humpendi utahangaika na picha yake kweli. Maswali mengine bwanaYale yale, kuna jamaa mmoja alisemaga hajawai kupenda wimbo wowote wa Mondi,dakika si nyingi akaanza kuimba wimbo wa Mondi ndio kama wewe.
Usiogope bi dada, kama vipi weka mawasiliano yako hapa ili ukachague gari la ndoto yako showroom leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtu kama humpendi utahangaika na picha yake kweli. Maswali mengine bwana
Mrs Van
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiogope bi dada, kama vipi weka mawasiliano yako hapa ili ukachague gari la ndoto yako showroom leo.
Ameshagongwa atulie tu huyo
Itakuwa siyajui ,,embu nieleweshe nirudi kuangalia video kidogo nichukue mawili matatu ya kulewa
Sent using Jamii Forums mobile app
That's not my business.... I enjoy her music and potential then life goes on.
Mkuu akili zako unazijua mwenyeweUsiya direct mawazo sana huko Mkuu. Hata kina Sa 100 angeliwa na Yohana kama ndo ivyo
Labda anampa TigopesaMapenzi kweli upofu ...jux alimpendea nn sijui ....mbona kuna wasichana warembo sana
wanadai kitumbua cha moto afu pangaboy la kutoshaLabda anampa Tigopesa
Yule kwa muonekano tu anaonekana ana bwawawanadai kitumbua cha moto afu pangaboy la kutosha