V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

Bora aiseee maana Jux alikuwa anajishusha kuwa na demu wa aina yake.
 
Yale yale, kuna jamaa mmoja alisemaga hajawai kupenda wimbo wowote wa Mondi,dakika si nyingi akaanza kuimba wimbo wa Mondi ndio kama wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtu kama humpendi utahangaika na picha yake kweli. Maswali mengine bwana

Mrs Van
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtu kama humpendi utahangaika na picha yake kweli. Maswali mengine bwana

Mrs Van
Usiogope bi dada, kama vipi weka mawasiliano yako hapa ili ukachague gari la ndoto yako showroom leo.
 
Itakuwa siyajui ,,embu nieleweshe nirudi kuangalia video kidogo nichukue mawili matatu ya kulewa

Sent using Jamii Forums mobile app

We huwezi kujua , ndio maana hata profile picha umeiba ya msichana mwenzio, ukitaka kujua mtu yupo high mwangalie machoni, his/her behavior, the way she talk, mengine ukasome tuition sitoi elimu ya utambuzi bure
 
Back
Top Bottom