Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dear All
This subject is a bit complex but as an expert in the field of HIV testing since 1986 nitajaribu kurahisisha kidogo
1 detection of HIV antibodies is one of the methods to diagnose infection. The other test detect HIV antigen (p24). These tests are very sensitive and specific although some may give false positive or false negative results
2. Using PCR. Method one can also diagnose HIV infection. This is done for children below 18 months because of possible presence of maternal antibodies
3. HIV. Viral load and CD4 are used to monitor the disease but not diagnosis.
As a mater of principle antibodies produced by viral of bacterial infections are specific
Umejidunga lini hyo sindano ya mtu mwenye HIV????
Angalia huenda ukawa window period
hebu elezea watu wanakufaje katika hali ya kudhoofika saana, kwa kitu kama mindset tu, na kumbuka wanaokufa kwa hali hiyo ni pamoja na wale wasiopima.
'There is no way to test for HIV'/Hakuna njia yoyote inayoweza kupima HIV.HIV jina ambalo watu wawili tu wamekaa na kuamua kulipachika kundi fulani la 'genetic materials' jina hilo.Mpaka sasa tunapozungumza,HIV hakuwahi kunyofolewa kutoka kwenye damu ya mtu yeyote yule(HIV has never been isolate/purified,I can rather say that HIV is a belief but not fact).
Kwa kuwa HIV hakuwahi kuonekana hivyo huwezi kupata kipimo chake,na ndio maana HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo.Baadhi ya hali hizo ni malaria,TB,Hepatitis,IV drug use,kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50,pia mimba huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo.Ndio maana nasema 'there is no way to test for HIV'.
Kitu kimoja ambacho watu wanaokumbatia HIV/AIDS hypothesis kinawapa jeuri ni kuhusu vipimo vyao feki ku detect antibodies ambazo wao wanasema ni specific kwa HIV.Lakini hawawezi kuelezea kwanini/kwa vipi hizo antibodies haziwezi kumkinga mtu dhidi ya huyo HIV(feki).
The basic fact in science/ukweli wa msingi kabisa usiopingika wa kisayansi:Kama mwili wako umetoa antibodies/kinga dhidi ya kirusi kwa mfano,basi mwili wako utakuwa tayari umeokolewa kutoka kwenye madhara ya kirusi hicho,huu ukweli hata mtoto wa shule ya msingi anaujua.Hakuna kirusi yoyote duniani ambaye amesababisha ugonjwa baada ya antibodies/kinga kujitokeza,virusi husababisha ugonjwa kabla ya kinga na si baada ya kinga,hii ndio sayansi ya kweli.Lakini ukweli huu wa kisayansi umekiukwa kabisa katika suala hili la HIV/AIDS.
Uki test antibody +ve maana yake tayari mwili umeshatoa kinga dhini ya vijidudu/virusi.Hivyo,huwezi kupata ugonjwa baada ya kinga kujitokeza kwa kuwa kinga hu neutralize virusi.Lakini kwenye HIV/AIDS unapo test HIV+ baada ya kushangilia na kupongezwa,unalia na kuitiwa washauri nasaha.Why would everybody get AIDS after antibody immunity?No body ever explained it,I say no body.NIH,CDC,WHO ca never explain it.
Antibodies is the basis of all vaccines,so why you are now in trouble after testing antibody +ve to HIV?
Pia kuhusu CD4 count na viral load.Mambo yote haya ni nonsence kama utaujua ukweli kuhusu HIV.Kwa kuwa HIV(feki) hasababishi AIDS,hivyo dhana nzima ya CD4 count na viral load inakosa maana.HIV(feki) haui CD4 cells kama inavyofahamika na wengi.Ndio maana kuna watu rundo mtaani hawatumii ARVs na wame test HIV+ zaidi ya miaka 10 iliyopita na wana CD4 za kutosha.
Unajua kama fikra za watu ziko kiimani zaidi,hata kama wataona kwa macho yao mambo yanayopingana na fikra zao si rahisi kukubalina nayo,sanasana watasema ni uchawi tu.Hizi fikra walizonazo wengi kuhusu suala la HIV/AIDS ni zao la kitengo cha MIND CONTROL cha inteligensia ya USA.Kitengo hiki pia ndicho kinachofanya wengi wajue kwamba Global warming husababishwa na hewa ya ukaa ilihali sivyo,wamarekani waliwahi kufika mwezini wakati si kweli,democracy is real but is not,bangi haramu wakati sivyo hivyo,cancer haina tiba wakati tiba ipo,na mambo mengine lukuki.
Mleta mada nakushukuru sana kwa kutuchokoza.
1.The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu...
Kama mimi napotosha watu,naomba uniambie kama mgunduzi wa kipimo mnachokitegemea ulichotaja hapo juu,yaani PCR kama na yeye anapotosha pia.Sikiliza kwa makini anachosema Profesa huyu kwenye link hapo chini halafu sema wapi amepotosha.Hii ni video iliyomrekodi Prof.Kary Bank Mullis yeye mwenyewe akizungumzia uongo tuliomezeshwa kuhusu HIV/AIDS,kumbuka kwamba huyu ni profesa wa biochemistry na Nobel prize winner baada ya ugunduzi wake na ana akili zake timamu wakati anasema maneno haya.Sasa sikiliza mwenyewe kwa makini hapa chini halafu tuambie wapi kapotosha;
https://www.youtube.com/watch?v=uPYFjDSG0JU ....Nobel prize winner Kary Mullis challenges the AIDS myth.
2.Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....
SI KWELI.Kama unachosema ni kweli tuletee electromigraphs za huyo HIV kutoka popote pale duniani ambapo aliwahi kuonekana kwa njia hiyo.Labda wewe utakuwa unazungumzia cellular debris au typical type-C particles halafu umedanganyika kama ni HIV.Tuletee electromicrographs zake hapa ili wote tumuone huyo HIV anafananaje.Mimi nina hamu ya kumuona picha yake,maana nilikuwa nasikia hadithi zake tu tangu alipotangazwa mwaka 1984 na kale kawaziri kafupi pamoja na yule fisadi wa medical science Robert Gallo.
3.Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV....
SI KWELI.Kama ingekuwa kweli kusingekuwa na rundo la watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.Mimi nilijidunga kwa makusudi damu ya mtu alipima HIV+ lakini nina test HIV- hadi leo hii.Ukijua ukweli huu ni raha sana,mimi najua raha yake ndio maana nataka wengine pia wajue,sasa watu kama wewe aidha hamjui ukweli au hamtaki kujua ukweli kwa sababu za kimaslahi.Ukitaka tunaweza kuonana kwa siri halafu nijidunge damu inayosadikika ina huyo HIV,na nina uhakika 100% nita test negative,kama hujaelewa hapo basi utakuwa umeshindikana.
4.The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini...
Ungesema hivi; 'The deception about HIV ni kubwa kuliko uongo wowote katika sayansi kuwahi kutokea.'
5.Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee....
Ungesema hivi;'Uongo kuhusu HIV/AIDS ni serious case ambayo kila mtu anatakiwa ajifunge mkanda kujisomea/kudadisi ili ajikwamue kutoka kwenye uongo huu.'
Ukitaka kujua ukweli wa hiki ninachosema,basi msikilize MGUNDUZI ORIGINAL wa huyo HIV mnayemkumbatia anavyosema hapa chini.Sasa msikilize kwa makini Prof.Luc Montagnier ambaye ndiye mgunduzi wa huyo HIV anavyosema halafu tuambie kama kasema kweli au kapotosha.Hapa ndipo nitakapojua wewe ni mtu wa aina gani.
Sikiliza kwa makini kwenye link hii hapa chini;
https://www.youtube.com/watch?v=ET0cgvo7UnM ....AIDS can be cured with proper nutrition-Prof Luc Montagnier.
6.Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu..
Hizi ndio fikra za walio wengi,kwamba kama mtu kasomea lugha basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu sheria,au kama kasomea sheria basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu medicine.Fani haina mwenyewe,yeyote anayetaka kujua na ana uwezo wa kujua jambo/fani yoyote ile atajua tu bila kujali hapo mwanzo alikuwa na fani gani,usiwe na ubinafsi usio na maana.Haya ndio mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo.
Yaani hata mashuleni kuna kasumba kama hizi,utaona mtu anang'ang'ania PCM halafu lugha hajui,au geografia hajui,sasa ndio nini?Watu kama hawa ukiwapeleka kwenye mazingira tofauti hawawezi wakaendana na mazingira hayo.Sasa nakufundisha kwamba binadamu yeyote anatakiwa kuwa generalist,yaani awe na elimu angalau kidogo kuhusu kila sekta ya elimu kama vile Biology,chemistry,geography,mathematics,language,economics,Money science,politics,history nk.
Sasa nimekuwekea video mbili peke yake kwa kuanzia,kama unataka scientific papers pia utapata,lakini hebu tuanzie hapo kwenye hizo video.Tuchambue video kwanza.
Wewe sio wa kwanza kuwa ktk denial, we nako walianza zamani. Pia, acha uongo kwamba ulijidunga damu ya mtu positive, face it bro,, you don't have the guts!!
Soma hii makala hapa chini utaelewa,...
Ila we jamaa Deception hoja zako zinamashiko usije tufanya watu tukapiga kavukavu
Hutaki kujibu hoja zangu za msingi,badala yake una copy na ku paste mzigo wa maandishi ambayo hayako kimpangilio na yana ukakasi kuyasoma.Ni afadhali ungetoa link watu wafuatilie wenyewe.Kwa akili yako unadhani hayo mimi siyajui,mambo hayo nilishayajua muda mrefu sana huko nyuma,wewe unastuka leo hii.
Pia hata huna uelewa wa western medical system ilivyo,ndio maana nilikwambia wewe bado sana.Walioandika hayo mambo ni hao hao wenyewe,wewe hujui hilo,sasa toka lini mtu akaikashifu kazi yake mwenyewe?
Huna hata dira na hujui uzungumze nini,hoja za msingi hutaki kujibu.OK,wewe unawapinga HIV/AIDS denialists,sasa mimi nimekubandikia link mojawapo inayoonesha pro HIV/AIDS,Prof Luc Montagnier akisema mambo ambayo ni tofauti kabisa na ninyi madaktari wengine mnavyosema,nikakuuliza,Je,mgunduzi huyu naye amepotosha?Kama kapotosha tuambie ukweli ni upi?Ninyi wote mnategemea basics za HIV/AIDS kutoka kwa huyu mgunduzi,sasa tuambie kama amepotosha kwenye ile video.
Maswali haya muhimu unayakimbia na badala yake unashusha mzigo wenye ukakasi kuusoma huku ukijiona kama ni mjanja sana kumbe hamna kitu.Lakini sikushangai kwa kuwa hata darasani ndivyo mlivyokuwa,mnapenda sana ku copy kazi za wengine,mitihani pia mlikuwa mnaibia.Ndio maana huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwa hoja.
Usikimbie hoja za msingi,jibu hoja kama wewe kweli unajua,usituwekee rundo la maandishi ya ku copy hapa,andika unachokijua kwa kiswahili ili kila mtu akuelewe una hoja gani.
Halafu unaposema mimi sikujidunga hiyo damu,mimi ni muongo,Je,una uhakika kama kweli mimi ni muongo?Ulishawahi kuniona?Nilikupa nafasi tukutane ili uone kwa macho yako mwenyewe nikifanya hivyo,Je,uliitumia hiyo nafasi kuthibitisha kama mimi ni muongo?Vita kati yangu na ninyi mnaonufaika kwa kudhulumu uhai wa wengine wasioelewa haitaisha hadi muda wangu wa kuishi hapa duniani utakapokwisha.Mnanuka dhambi na hamna hata chembe ya huruma,mnawalisha watu ARVs maisha yao yote,mnategemea nini?Mtu akifa mnasema HIV ndio amehusika,hivi hamjiulizi mtu kula dawa zenye sumu kila siku maisha yake yote anapata athari gani?Ubongo wenu una matatizo sana ninyi.
Mkiambiwa ARVs zina madhara makubwa na ndio yanayoua,eti mnasema "si wote wanaopata madhara hayo",hivi unafanya uchunguzi wako wewe?au unakurupuka tu kupinga.Sasa nakupa homework,fanya uchunguzi wako kwenye vituo vya afya kwa wale wote waliolazwa hospitali wanaotumia ARVs utaona wana matatizo yafuatayo;
1.Moyo, 2.Ini, 3.Figo, 4.Cancer yoyote ile, 5.Matatizo ya damu/anaemia, 6.Kisukari. Matatizo mengine madogomadogo ni; Nywele kuwa dhaifu/kunyonyoka,ngozi kufubaa/kuota vipele/vidonda/kuwasha,kuvimba vitezi shingoni nk.
Haya yote ni madhara ya ARVs na ndio yanayowaua,hakuna hata tatizo moja hapo juu linalosababishwa na HIV.
Don't take my words,just do your own research,fanya uchunguzi wako wewe mwenyewe na uje hapa tena kutoa marejesho.
Watu hamna elimu ya kutosha halafu mnakurupuka kupinga tu.
mkuu ninavyojuwa kwenye alere kama una malaria kali inadetect positve
Dear All
This subject is a bit complex but as an expert in the field of HIV testing since 1986 nitajaribu kurahisisha kidogo
1 detection of HIV antibodies is one of the methods to diagnose infection. The other test detect HIV antigen (p24). These tests are very sensitive and specific although some may give false positive or false negative results
2. Using PCR. Method one can also diagnose HIV infection. This is done for children below 18 months because of possible presence of maternal antibodies
3. HIV. Viral load and CD4 are used to monitor the disease but not diagnosis.
As a mater of principle antibodies produced by viral of bacterial infections are specific
Ila we jamaa Deception hoja zako zinamashiko usije tufanya watu tukapiga kavukavu
He he hee,ndio maana nilisema kwamba,HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine,hata kama mtu ataona haya ninasema yana ukweli bado atarudi kulekule kwenye imani yake kwamba HIV causes AIDS,HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na HIV hana dawa ya kumtoa mwilini.
Wewe unazungumzia kufanya ngono mara moja moja tu,Je,unajua kwamba kuna ndoa nyingi sana(hata hapo jirani yenu inaweza kuwepo) mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- na wameishi miaka mingi na wamezaa watoto katika hali hiyohiyo na watoto nao ni HIV-?Sasa kama hawa wako hivi,itakuwa wewe unayefanya mara moja moja tu?Fanya uchunguzi wako utaliona hili.
Siku utakapoanza kudadisi tu,ndipo utakapoanza kujitoa kwenye kifungo hiki taratibu.Asikwambie mtu,kuujua ukweli huu ni raha sana,unakuwa huru na hutakuwa na woga tena pindi wewe au ndugu yako yeyote atakapokuwa anaumwa umwa,utajua nini cha kufanya.Lakini kama hujui,utakuwa mtumwa na wazo lako la kwanza ni kufikiria kwenda kupima HIV,hapo ndipo utakapojipa tiketi ya kula ARVs ambazo ndio kitanzi chako.
Mkuu, kama ndo hivyo kweli basi hii 'HIV/AIDS' hypothesis ni dudumizi na kizungumkuti kikubwa sana. Kama hicho ulichokisema ni kweli, najaribu ku-imagine ni watu wangapi leo hii wapo under pressure/stress (au under ARVs) baada ya kupewa majibu ya HIV+ yaliyosababishwa na malaria mwilini?!!!! Hii ni hatari aisee
BUT, why 'tips' kama hizi haziwekwi wazi kwenye jamii ?? WHY?
Huwa ni zoezi gumu sana ku-unlearn jambo ambalo umeelekezwa na kuaminishwa kwa miaka mingi since utotoni. Ila kwakweli maelezo/majibu ya mkuu Deception yananifikirisha sana. Kuna kitu kipya kabsa ambacho kimeingia akilini mwangu na kimeanza kunifikirisha sana kuhusu HIV/AIDS. I am now desirous to probe zaidi na zaidi kwenye hili suala.
Knowledge is power!!!
Haha, yo just bluffing in shame!! Poor you!! Nimejaribu kuweka article yote na sio link ili kuweka kumbukumbu ya maneno.
Unakomaa na hyo video, ila kumbuka hata aliyegundua umeme hakuwahi kuuperfect!! Hakuna mwenye haki miliki na scientific findings. People with better knowledge and knowhow will always perfect and outperform you. And that is simply science. Yeye uwezo wake uliishia hapo,, sio kwamba ana hati miliki kuhusu kuelewa kirusi alichogundua.
Hujui basis ya scientific studies wewe. so it's a waste of your, and what is INFINITELY WORSE , A WASTE OF MY TIME.. so, suck it!!