V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Bwana shemeji Kaveli mnaongelea vitu vigumu hivi usiku wote huu!! Au mie peke yangu ndio usiku kwangu!

Kweli ni mada ngumu sana hii, ila ni very interesting kujifunza. Knowledge is power! Nimekumiss sana my ex-shemeji.
 
Kweli ni mada ngumu sana hii, ila ni very interesting kujifunza. Knowledge is power! Nimekumiss sana my ex-shemeji.

Miss you too, ni mada nzuri sana mie naifuatilia tu taratiiibu.
 
Unajua mkuu,walioanzisha nadharia ya HIV/AIDS wanajua wazi mikanganyiko iliyopo kuhusu dhana hii,ndio maana wanakuna vichwa kutunga nadharia nyingine za uongo ili kurubuni akili za watu na kuwafanya wasiwe na mashaka na suala zima la HIV/AIDS.Mifano;

1.Watu waliopima HIV+ kwa miaka mingi sana lakini hawaugui hata kama hawatumii ARVs huitwa CARRIERS.

2.Wanandoa wanaoishi pamoja muda mrefu lakini mmoja ni HIV+ lakini mwingine ni HIV- huitwa DISCORDANT COUPLES.

3.Baada ya kuona watu wenye huyo HIV wanaugua kwa viwango na kasi tofauti katika maeneo tofauti duniani wakaja na nadharia ya HIV-1 na HIV-2.

SWALI:
Je,mimi niliyejidunga damu ya mtu alipima HIV+ na baada ya muda mrefu nilipima HIV- watatumia nadharia gani kujibu huu mkanganyiko?

In RED, kwakweli mkuu hayo pia ni mambo yanayonifanya nitamani kujifunza zaidi kuhusu hii dhana ya HIV/AIDS: issue ya CARRIERS; issue ya DISCORDANT COUPLES; issue ya kuugua kwa viwango tofauti kulingana na eneo/sehemu (HIV type 1 kwa baadhi ya nchi. HIV type 2 kwenye nchi zingine); Issue ya mjamzito HIV+ na hatumii ARVs ila anazaa mtoto HIV-!!

Pia kuna huu mkanganyiko ambao sikuwahi kuusikia before, kwamba kumbe Kuna watu wana CD4 below 50 na wana afya njema kabisa, na kuna watu wana CD4 nyingi tu na wanaugua mara kwa mara???!!! I am very interested on this please. Vile vile, Dr Kary Mullis (mgunduzi wa PCR) yeye mwenyewe anaeleza kwamba CD4 has nothing to do with health of someone, a lot of things can cause CD4 to go down, a lot of things also can cause CD4 to errupt!

Sasa WHY hiki kirusi cha HIV ndo kinabebeshwa mzigo wote wa kuharibu/kushambulia kinga za mwili ilihali kumbe kuna vitu vingine vinavyoweza kusababisha immune kushuka? Hii dhana ya HIV/AIDS ina utata mwingi for real .

In BLUE, umetupia swali kwamba je wewe uliejidunga damu ya mtu alietest HIV+ lakini mpaka leo hii wewe unatest HIV-. Katika hili, wataalamu wa dhana ya HIV/AIDS wanasema kwamba kuna baadhi ya watu (wachache sana) ambao damu zao ni 'naturally' resistant to HIV. Pengine labda na wewe mkuu damu yako ni aina hiyo.
Pia Dr Luc Montaigner (mgunduzi wa HIV) yeye mwenyewe anaeleza kwamba if someone has 'good immunity', the body can get rid of the Virus in few weeks after intection!

CC: mkuyati og
 
Last edited by a moderator:
I feel my brain is expanding. Nimeamua kufuta series nyingi kwenye pc yangi ili niweke haya mambo ya knowledge..

Kwa kweli mambo mengi ni hoax.. Elimu inahitajika mnoooo. Mbona hatuwasikii wagonjwa wengi wa ukimwi nchi za wenzetuu?
 
I feel my brain is expanding. Nimeamua kufuta series nyingi kwenye pc yangi ili niweke haya mambo ya knowledge..

Kwa kweli mambo mengi ni hoax.. Elimu inahitajika mnoooo. Mbona hatuwasikii wagonjwa wengi wa ukimwi nchi za wenzetuu?

mkuu namimi naanza kuamini hivyo, kwamba info nyingi zinakuwa suppressed by mainstream ili public isiujue ukweli. Kuna unsolved controversies nyingi kuhusu HIV/AIDS ambazo kwakweli zinafikirisha akili.
 
dah mtoa mada ni fresh from school? bado anajua vitu vingi alaf creming capacity ni above+6
 
3. Kuna virus wengi sana kutoka kwenye familia kubwa sana, ambao kimsingi wote wanaweza kupimwa kwa kipimo cha viral load. Ila hicho unachokizungumzia hapa ni specific kwa HIV kwa sababu lengo kuu ni kujua wingi wa copy za virusi walio katika mwili wa binadamu..., kuangalia kiwango cha virusi waliopo mwilini kwa maana ya Viral load. Hiyo CD4 test ilikuwa inaangalia masalia ya seli hai za CD4 ambazo ndio kimsingi hushambuliwa zaidi na hao HIV, ...

Mkuu multikasuku , shukrani sana kaka kwa mchango wango mzuri. na nimepata hoja zaidi za msingi kama ifuatavyo:

In RED, hapo maelezo yako yanajikanganya, au labda mimi ndo sijaelewa. Unasema kwamba Viral Load ni kuangalia kiwango cha virusi waliomo mwilini. Hapo hapo tena unasema viral load tunayozungumzia hapa ni 'specific' for HIV tu. Now narudia swali langu: Kwa kuzingatia ukweli kwamba mwilini wanaingia virusi wa aina mbali mbali, Je hicho kipimo cha Viral Load, kinapima/kuonesha kiwango cha virusi wote kwa pamoja in general (without isolating/specifying the type)? mfano: virusi 'wote' waliopo mwilini ni kiasi hiki. AMA kinapima na kuonesha kiwango cha virusi mwilini per type (i.e kinapima na kutoa matokeo in isolation per specific virus type)? mfano: virusi wa Hepatitis B mwilini ni kiwango fulani; virusi wa influenza ni kiwango hiki; virusi vya HIV ni kiwango hiki, n.k.

And if kipimo hicho (viral load) ni specific for HIV only, why kisiitwe ''HIV Load'' ili kumantain hiyo sense of 'specification' ??


In BLUE, umeeleza kuhusu CD4, kwamba CD4 ndo kimsingi hushambuliwa zaidi na hao virusi wa HIV...

HOJA: Ndugu Deception katuhabarisha kwamba Kuna watu wana CD4 below 50 na wana afya njema kabisa, na kuna watu wana CD4 nyingi tu na wanaugua mara kwa mara. Je wewe unalisemeaje hili ??

Vile vile, Dr Kary Mullis (mgunduzi wa PCR) yeye mwenyewe anaeleza kwamba CD4 has nothing to do with health of someone, a lot of things can cause CD4 to go down, a lot of things also can cause CD4 to errupt!
Je wewe unalisemeaje hili ?

Kwa nyongeza, kuhusu ANTIBODIES za HIV:

(a) Kuna madai kwamba kuna baadhi ya magonjwa kama MARALIA kali, TB, Kaswende, n.k huweza pia kuusababisha mwili u-produce hizo 'specific antibodies' against HIV. JE HILI UNALISEMEAJE ?

(b) Kuna madai kwamba MIMBA (ujauzito) yaweza pia kuusababisha mwili u-produce hizo 'specific antibodies' against HIV. JE HILI UNALISEMEAJE ?

(c) Kuna wajawazito ambao wanatest HIV+ na hawatumii ARVs (hawatumii zile dawa za kuzuia maambukizi from mother to child) lakini wanazaa watoto ambao hawana maambukizi (HIV-)! JE HILI WEWE UNALISEMEAJE ?

Tupe knowledge zaidi kiongozi.
 
Huu ugonjwa una controversial kubwa sana na hauwezi kuwa solved mpaka pale dunia itakapoweka political power na commercial interest pembeni. Tuache scientists wapiganishe facts za kisayansi.
Nadharia iliyo kwenye main stream imeshafeli huu mwaka wa 31, sasa why dunia inakataa mawazo mbadala? Na hawa denialist scientists sio watu wa kubeza ni watu wenye CV kubwa tu katika ulimwengu wa sayansi, na wengine wana noble prize kwasababu ya inventions ambazo wamezifanya katika ulimwengu wa sayansi. Sasa why hawapewi nafasi kama tuna nia ya dhati ya kutafuta solution?

Mimi binafsi naamini hawa denialists wakipewa nafasi historia mpya inaenda kuandikwa kwenye ulimwengu wa sayansi, na hicho ndicho hawa waanzilishi wa hypothesis ya HIV/AIDS wanakiogopa, ile expertise yao kuja kuonekana useless ikiwa itathibitika kwenye mainstream kuwa HIV is not the cause of AIDS.
 
He he heee,yaani hata hilo neno 'window period' umekaririshwa,hii ndio kasumba chafu nayotaka kuiondoa kutoka kwa walio wengi.Watu wanadhani wanafikiria kwa akili/uwezo wao wenyewe kumbe wanafikiria kwa kutumia akili za kupandikizwa na wengine.

Tujitahidi kujikwamua kutoka kwenye vifungo vya kufikiri ambavyo wamiliki wa viwanda vya madawa wametuweka,watu hawajui kama kuna watu wanaofikiri kwa niaba yao.Hawajui pia kwamba maneno wanayotamka sio ya kwao bali ni ya wengine ambao ndio wameshikilia akilia zao.Hii ndio kazi ya kitengo cha mindcontrol.Mind control ni kitengo kinachofanya kazi kwa utaalam na siri kubwa sana,huwezi kuona kirahisi jinsi kitengo hiki kinavyofanya kazi,sasa hivi athari zake zimeshajitokeza katika sekta nyingi sana ikiwemo hii ya afya.

Nilijidunga mwaka mmoja uliopita,hadi leo ni HIV-.Hiyo window period yenu ni muda gani?

Mgunduzi wa HIV,Robert Gallo naye amekuja na yake;baada ya kuona kwamba watu wenye HIV hawaumwi hata kama hawatumii ARVs kwa muda mrefu,akasema 'eti' HIV anaweza kuchukua miaka hata 10 kuanza kusababisha ugonjwa.He he heee,HIV/AIDS regime ina vituko sana.Yaani hapa maana yake wanasubiri sababu nyingine zisababishe ugonjwa halafu waanze kumsingizia HIV.Miaka 10 ni mingi sana kwa mtu yeyote kukaa bila kuumwa,hivyo mtu akiumwa tu basi wataanza kusingizia HIV.



Unayo yaongea niliwahi msikia Thabo Mbeki akizungumza
sikuelewa....ina maana wanao lazwa muhimbili hawana UKIMWI?
au UKIMWI ni nini?
 
Mkuu multikasuku , shukrani sana kaka kwa mchango wango mzuri. na nimepata hoja zaidi za msingi kama ifuatavyo:

In RED, hapo maelezo yako yanajikanganya, au labda mimi ndo sijaelewa. Unasema kwamba Viral Load ni kuangalia kiwango cha virusi waliomo mwilini. Hapo hapo tena unasema viral load tunayozungumzia hapa ni 'specific' for HIV tu. Now narudia swali langu: Kwa kuzingatia ukweli kwamba mwilini wanaingia virusi wa aina mbali mbali, Je hicho kipimo cha Viral Load, kinapima/kuonesha kiwango cha virusi wote kwa pamoja in general (without isolating/specifying the type)? mfano: virusi 'wote' waliopo mwilini ni kiasi hiki. AMA kinapima na kuonesha kiwango cha virusi mwilini per type (i.e kinapima na kutoa matokeo in isolation per specific virus type)? mfano: virusi wa Hepatitis B mwilini ni kiwango fulani; virusi wa influenza ni kiwango hiki; virusi vya HIV ni kiwango hiki, n.k.

And if kipimo hicho (viral load) ni specific for HIV only, why kisiitwe ''HIV Load'' ili kumantain hiyo sense of 'specification' ??


In BLUE, umeeleza kuhusu CD4, kwamba CD4 ndo kimsingi hushambuliwa zaidi na hao virusi wa HIV...

HOJA: Ndugu Deception katuhabarisha kwamba Kuna watu wana CD4 below 50 na wana afya njema kabisa, na kuna watu wana CD4 nyingi tu na wanaugua mara kwa mara. Je wewe unalisemeaje hili ??

Vile vile, Dr Kary Mullis (mgunduzi wa PCR) yeye mwenyewe anaeleza kwamba CD4 has nothing to do with health of someone, a lot of things can cause CD4 to go down, a lot of things also can cause CD4 to errupt!
Je wewe unalisemeaje hili ?

Kwa nyongeza, kuhusu ANTIBODIES za HIV:

(a) Kuna madai kwamba kuna baadhi ya magonjwa kama MARALIA kali, TB, Kaswende, n.k huweza pia kuusababisha mwili u-produce hizo 'specific antibodies' against HIV. JE HILI UNALISEMEAJE ?

(b) Kuna madai kwamba MIMBA (ujauzito) yaweza pia kuusababisha mwili u-produce hizo 'specific antibodies' against HIV. JE HILI UNALISEMEAJE ?

(c) Kuna wajawazito ambao wanatest HIV+ na hawatumii ARVs (hawatumii zile dawa za kuzuia maambukizi from mother to child) lakini wanazaa watoto ambao hawana maambukizi (HIV-)! JE HILI WEWE UNALISEMEAJE ?

Tupe knowledge zaidi kiongozi.

Maelezo yake mbona yamejitosheleza!! Kiusahihi, kipimo hiki kinaitwa HIV-viral load, specific kwa hiv virus. Kama una jina tofauti lete hapa Tujadili.

Pili, kuhusu kuwepo conditions ambazo ukipima antibody test itakupa false positive hii hoja haina mashiko sana. Antibody test ina zaidi ya 99% specificity, hyo less than one percent ni test error ambayo mda mwingine hutokea. It's simply science, and science hii hii unayoitumia ku-raise concern na hoja zako,, inakubali ubora wa kipimo hiki kwa hoja za kisayansi (statistics applied). Kukuongezea elimu, antibodies may cross interact na effect ya hii ni mara nyingine kutoa false positive results kwa some tests (refer Ile 1% ambayo rapid antibody test inasoma false positive). Hii ni rare phenomena as far as hiv test is concerned. Ila ili kutoa utata huu, ndio maana ukipima kipimo cha kwanza ukoanekana uko positive, utapima kipimo kingine ambavyo kiko more superior ili ku-confirm majibu. (ref. Determine'''bioline'''unigold'''western blot'''hiv DNA pcr'''electron microscope.)

Tatu, ishu ya cd4 hamsini na afya bora haina mashiko. Kwanza, kinga ya mwili haiinvolve cd4 peke yake. Ila kwakuwa hiv primarily hu-infect na kuathiri seli zenye CD4 receptors, na coordination ya immune system partly inategemea cd4 positive cells (mind you, sijasema hiv positive cells, cd4 positive cells ni zile celli zinazobeba "cd4" receptor), njia moja ya kupima a failing immune system ni kujua level za cd4 cells. Ni complex science, ila najua hapa watu watasema term "complex" nimetumia kuwatisha na kuzuia wasitafute kujua zaidi(ila ndio maana watu wanasomea mambo tofauti, sio kitu cha kufikiri na kutoa conclusion kwa nadharia ambazo scientifically hazihold) Lakini pia, lete data hapa kwa mfano ktk watu 100000 wenye cd4 chini ya 50 kwa muda kiasi,wangapi Wana afya zao madhubuti? Utashangaa, ni less than 1%. Hii ndio basis ya scientific studies.

Nne, rate of transmission of HIV inatofautiana sehemu na sehemu, mf. Ulaya na sub sah Africa, sababu ziko wazi soma utaona (siwezi andika kila kitu)

Lakini pia jiulize , wangapi wanakutwa na ukimwi na hawatumii dawa ila wanaumwa magonjwa yanayoendana na ukimwi na kufa. ARV zimewauwa hapo? Mtu na mkewe wanakufa kwa magonjwa yanayoendana, na wote walikutwa na HIV, hushtuki?

Pia, damu ya mama na mtoto wakati yuko tumboni hazichanganyiki, ukielewa hii utaelewa kwanini sio lazima mama azae mtoto positive. Soma zaidi
 
......Sasa WHY hiki kirusi cha HIV ndo kinabebeshwa mzigo wote wa kuharibu/kushambulia kinga za mwili ilihali kumbe kuna vitu vingine vinavyoweza kusababisha immune kushuka? Hii dhana ya HIV/AIDS ina utata mwingi for real .

In BLUE, umetupia swali kwamba je wewe uliejidunga damu ya mtu alietest HIV+ lakini mpaka leo hii wewe unatest HIV-. Katika hili, wataalamu wa dhana ya HIV/AIDS wanasema kwamba kuna baadhi ya watu (wachache sana) ambao damu zao ni 'naturally' resistant to HIV. Pengine labda na wewe mkuu damu yako ni aina hiyo.
Pia Dr Luc Montaigner (mgunduzi wa HIV) yeye mwenyewe anaeleza kwamba if someone has 'good immunity', the body can get rid of the Virus in few weeks after intection!...

1....kumbe kuna vitu vingine vinavyoweza kusababisha immune kushuka...

Ukishajua hili basi ujue unakaribia kuujua ukweli.Yule ndugu yetu ukimsoma kwa makini,utagundua kuwa hajui kwamba kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha upungufu wa kinga mwilini(UKIMWI),na hii ndio point ya msingi sana aliyoikosa kwenye ubongo wake.

2....
Hii dhana ya HIV/AIDS ina utata mwingi for real .....

Ukijua ukweli hutasema kwamba dhana hii ina utata,bali utasema kwamba dhana hii yote ni ya uongo,haina ukweli hata kidogo.Wewe una msemo usemao,"EXPERIENCE is the best teacher",sasa nakushauri baada ya kuwa nondo humu uingie mtaani na kwenye vituo vya afya mguu kwa mguu ukafanye uchunguzi wako wewe mwenyewe halafu ulinganishe na kile unachokipata humu.

Albert Einstein alisema;"The important thing is to never stop questioning",wewe uko vizuri sana kwenye hili,nakupongeza sana,keep it up,muda si mrefu utavuna matunda yake.

3....
damu zao ni 'naturally' resistant to HIV....

Si kweli,kama ungekuwa jasiri na wewe ukajidunga kama mimi ungegundua kwamba hata wewe pia ni miongoni mwa hao watu.Hata kama kati ya watu 100 tukipata watu 98 kama mimi(pamoja na kwamba vipimo ni feki) bado perception ya watu wanaokumbatia dhana hii isingebadilika.

4.....
if someone has 'good immunity', the body can get rid of the Virus in few weeks...

Haya ni maneno ya Prof.Luc Montagnier yule mgunduzi wa huyo HIV,sasa ni vyema ungemuuliza yule daktari ndugu yetu,Je,kwa maneno haya Luc Montagnier amepotosha au amesema kweli?
 
mkuu asante kwa kumfafanulia zaidi, kimsingi tusipoteze muda mwingi kujaribu kutazama controversies ambazo zilishaonesha ni uongo kitambo kidogo, huu ugonjwa upo, na una madhara period!

kuongezea kidogo tu ni kuwa kuna seli nyingi tofauti zinazoipambanua kinga ya mwili, HIV anashambulia CD4 kwa namna mbili. Moja ni kuziangamiza kabisa na kusababisha kupungua kwa idadi yake (low CD4 count) ambayo hupelekea hiyo kitu "Upungufu wa kinga mwilini" na njia ya pili ni kwa ku-inactivate function za CD4 hivyo zinakuwa zipo mwilini ila hazifanyi kazi ipasavyo hapa huwa zinaitwa "innocent by-stander". Yani ni kama vijana wa siku hizi unaona mwizi anapigwa halafu wewe hautetei uhai wake na kusimama tu kama mtazamaji.

Hii inapeleke kipimo cha CD4 count ambacho kimetumika kwa muda mrefu hapa nchini na kwingineko kisitoe taswira sahihi ya maendeleo ya matibabu ya mgonjwa. Hivyo ndio maana nilisema kule nyuma kutokana na kupiga hatua kidogo kimaendeleo, kwa sasa serikali yenu ya JMT imeanza kuoffer test ya viral load kwa wagonjwa kama namna ya kumonitor maendeleo ya tiba.

Bottom line, hizo consipiracies ni za uongo, ukitaka kujua ugonjwa upo angalia miaka ya mwanzoni mwa tisini mpaka mwanzo wa 2000 wakati tiba ilikuwa haipatikani, then linganisha na sasa ambapo kuna ARVs.

Lastly kwa taarifa iliyokuwa proved kisayansi, unapopunguza kiwango cha HIV mwilini kwa mama unapunguza kabisa uwezekano wa maambukizi kwa mtoto. Hii ndio maana kwa sasa hakuna discussion mama mjamzito mwenye maambukizo anashauriwa aanze ARVs bila kujali stage aliyopo. Ugonjwa huu kwa namna ya kipekee uko tofauti tofauti kwa watu, kuna wanaoambukizwa leo na ndani ya miaka miwili wanakuwa tayari na dalili zote za AIDS, then kuna wanaochelewa na mwisho kabisa kuna ambao inaweza hata ichukue miaka kumi bila matibabu yoyote ndio wakaonekana na AIDS. Tatizo nyie mnachukua insidence moja ya mama mjamzito aliye test positive bila kujua yuko katika group ipi kati ya haya niliyoyataja, then unataka kujenga hoja ya kugeneralize. Ni mbaya kabisa kurisk infection moja itokee kwa mtoto wakati dawa zipo, na ndio maana kwa sasa ukiwa tu positive and pregnant ni matibabu tu MAANA HAMNA NAMNA NYINGINE KWA KWELI.

Ni hayo tu kwa sasa, UGONJWA UPO, WAHIMIZE WENZIO WAPIME, WAZINGATIE USHAURI NA KUJILINDA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA, UKIMWI UPO!
 
Huu ugonjwa una controversial kubwa sana na hauwezi kuwa solved mpaka pale dunia itakapoweka political power na commercial interest pembeni. Tuache scientists wapiganishe facts za kisayansi.
Nadharia iliyo kwenye main stream imeshafeli huu mwaka wa 31, sasa why dunia inakataa mawazo mbadala? Na hawa denialist scientists sio watu wa kubeza ni watu wenye CV kubwa tu katika ulimwengu wa sayansi, na wengine wana noble prize kwasababu ya inventions ambazo wamezifanya katika ulimwengu wa sayansi. Sasa why hawapewi nafasi kama tuna nia ya dhati ya kutafuta solution?

Mimi binafsi naamini hawa denialists wakipewa nafasi historia mpya inaenda kuandikwa kwenye ulimwengu wa sayansi, na hicho ndicho hawa waanzilishi wa hypothesis ya HIV/AIDS wanakiogopa, ile expertise yao kuja kuonekana useless ikiwa itathibitika kwenye mainstream kuwa HIV is not the cause of AIDS.

1.Huu ugonjwa una controversial kubwa sana na hauwezi kuwa solved mpaka pale dunia itakapoweka political power na commercial interest pembeni.

Exactly,uko sahihi kabisa.

2.Nadharia iliyo kwenye main stream imeshafeli huu mwaka wa 31..

Uko sahihi kabisa.

3....why dunia inakataa mawazo mbadala?

Sikutegemea kama ungeuliza swali hili.Hili ni swali dogo lakini limebeba mantiki kubwa sana ndani yake.Wewe tayari umeshajua ukweli.

4...Na hawa denialist scientists sio watu wa kubeza ni watu wenye CV kubwa tu katika ulimwengu wa sayansi, na wengine wana noble prize kwasababu ya inventions ambazo wamezifanya katika ulimwengu wa sayansi...

Sijui ni kwanini watu hawajiulizi mambo kama haya,mpaka sasa tungekuwa tumeshaondokana na ujinga huu kama tungejiuliza maswali kama haya mapema.Hivi watu hawaoni kweli?Labda niwasaidie.Baadhi ya watu wanaopinga nadharia ya HIV/AIDS ni Prof.Peter Duesberg na Prof.Kary Bank Mullis,ningeomba wale msiowafahamu watu hawa muanze kuwafuatilia kwenye mitandao ili muwajue ni watu wa aina gani.

5.Sasa why hawapewi nafasi kama tuna nia ya dhati ya kutafuta solution?

Da!,wewe unajua sana,sijui darasani ulikuwaje,haya maswali yanaonekana kabisa kwamba wewe ni mtu mwenye ubongo uliokomaa.Yaani maswali unayouliza peke yake yameshatoa majibu sahihi kabla hayajajibiwa.Kuna maswali fulani huwa yanatoa majibu hata kabla yenyewe hayajajibiwa,maswali yenyewe ndio kama haya.

6.Mimi binafsi naamini hawa denialists wakipewa nafasi historia mpya inaenda kuandikwa kwenye ulimwengu wa sayansi, na hicho ndicho hawa waanzilishi wa hypothesis ya HIV/AIDS wanakiogopa..

Wewe unajua sana.

7.ile expertise yao kuja kuonekana useless ikiwa itathibitika kwenye mainstream kuwa HIV is not the cause of AIDS..

Exactly,wewe unajua.Sasa nikwambie kitu hapa;

Ukifuatilia vizuri kuhusu kwanini Thabo Mbeki alikuwa kiburi/anajiamini alipokuwa anapinga kuhusu nadharia hii,utakutana na mambo yafuatayo ambayo huwa hayawekwi kwenye public;

a/.Mshauri muhimu wa afya wa Thabo mbeki alikuwa anaitwa Prof.Peter Duesberg.Umeona eehn?

b/.Thabo Mbeki alipokutana na G.Bush(wakati ule),Bush alimwambia ukweli kwamba;"Hata sisi tunajua kwamba HIV hasababishi AIDS,lakini hatuwezi kuwaambia watu ambao tayari wameshaamini kwamba HIV anasababisha AIDS kwasababu kutakuwa na maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea duniani kutuwajibisha,sisi tusingependa hilo litokee"

Sasa Mbeki hakuweza kuweka ukweli huu moyoni.
 
Unayo yaongea niliwahi msikia Thabo Mbeki akizungumza
sikuelewa....ina maana wanao lazwa muhimbili hawana UKIMWI?
au UKIMWI ni nini?

Watu hawaugui ukimwi.Ukimwi ni upungufu tu wa kinga ya mwili,hakuna mtu yeyote ayelazwa kwa kuwa na ukimwi,watu hulazwa kwa magonjwa mbalimbali kama vile matatizo ya in,figo,moyo,damu,kisukari,cancer nk.Kwa maana hii huwezi kuuweka ukimwi katika kundi la magonjwa.

Na hili ndilo tatizo la watu wengi,watu huchanganya sana,hawawezi kutofautisha kati ya ukimwi na VVU,wanaona vyote ni sawa tu.Mambo kama haya madogomadogo ndio yanatufanya tushindwe kuelewa nadharia mbadala kuhusu HIV/AIDS.
 
Hutaki kujibu hoja zangu za msingi,badala yake una copy na ku paste mzigo wa maandishi ambayo hayako kimpangilio na yana ukakasi kuyasoma.Ni afadhali ungetoa link watu wafuatilie wenyewe.Kwa akili yako unadhani hayo mimi siyajui,mambo hayo nilishayajua muda mrefu sana huko nyuma,wewe unastuka leo hii.

Pia hata huna uelewa wa western medical system ilivyo,ndio maana nilikwambia wewe bado sana.Walioandika hayo mambo ni hao hao wenyewe,wewe hujui hilo,sasa toka lini mtu akaikashifu kazi yake mwenyewe?

Huna hata dira na hujui uzungumze nini,hoja za msingi hutaki kujibu.OK,wewe unawapinga HIV/AIDS denialists,sasa mimi nimekubandikia link mojawapo inayoonesha pro HIV/AIDS,Prof Luc Montagnier akisema mambo ambayo ni tofauti kabisa na ninyi madaktari wengine mnavyosema,nikakuuliza,Je,mgunduzi huyu naye amepotosha?Kama kapotosha tuambie ukweli ni upi?Ninyi wote mnategemea basics za HIV/AIDS kutoka kwa huyu mgunduzi,sasa tuambie kama amepotosha kwenye ile video.

Maswali haya muhimu unayakimbia na badala yake unashusha mzigo wenye ukakasi kuusoma huku ukijiona kama ni mjanja sana kumbe hamna kitu.Lakini sikushangai kwa kuwa hata darasani ndivyo mlivyokuwa,mnapenda sana ku copy kazi za wengine,mitihani pia mlikuwa mnaibia.Ndio maana huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwa hoja.

Usikimbie hoja za msingi,jibu hoja kama wewe kweli unajua,usituwekee rundo la maandishi ya ku copy hapa,andika unachokijua kwa kiswahili ili kila mtu akuelewe una hoja gani.

Halafu unaposema mimi sikujidunga hiyo damu,mimi ni muongo,Je,una uhakika kama kweli mimi ni muongo?Ulishawahi kuniona?Nilikupa nafasi tukutane ili uone kwa macho yako mwenyewe nikifanya hivyo,Je,uliitumia hiyo nafasi kuthibitisha kama mimi ni muongo?Vita kati yangu na ninyi mnaonufaika kwa kudhulumu uhai wa wengine wasioelewa haitaisha hadi muda wangu wa kuishi hapa duniani utakapokwisha.Mnanuka dhambi na hamna hata chembe ya huruma,mnawalisha watu ARVs maisha yao yote,mnategemea nini?Mtu akifa mnasema HIV ndio amehusika,hivi hamjiulizi mtu kula dawa zenye sumu kila siku maisha yake yote anapata athari gani?Ubongo wenu una matatizo sana ninyi.

Mkiambiwa ARVs zina madhara makubwa na ndio yanayoua,eti mnasema "si wote wanaopata madhara hayo",hivi unafanya uchunguzi wako wewe?au unakurupuka tu kupinga.Sasa nakupa homework,fanya uchunguzi wako kwenye vituo vya afya kwa wale wote waliolazwa hospitali wanaotumia ARVs utaona wana matatizo yafuatayo;

1.Moyo, 2.Ini, 3.Figo, 4.Cancer yoyote ile, 5.Matatizo ya damu/anaemia, 6.Kisukari. Matatizo mengine madogomadogo ni; Nywele kuwa dhaifu/kunyonyoka,ngozi kufubaa/kuota vipele/vidonda/kuwasha,kuvimba vitezi shingoni nk.

Haya yote ni madhara ya ARVs na ndio yanayowaua,hakuna hata tatizo moja hapo juu linalosababishwa na HIV.


Don't take my words,just do your own research,fanya uchunguzi wako wewe mwenyewe na uje hapa tena kutoa marejesho.

Watu hamna elimu ya kutosha halafu mnakurupuka kupinga tu.

Hapo kwenye red nimekuelewa sana Mkuu Deception maana nina mgonjwa ambaye ni HIV+ sasa ni karibu mwaka wa 9 kwakweli hali yake kwasasa ni mbaya sana, hasa kwa mwaka huu imekuwa ni kipindi kigumu sana kwake kwenye mwezi 2 aligundulika kwamba ana TB basi akanywa zile dawa miezi 6 yake kamaliza akaenda kupima ikaonekana TB hamna tena,katika muda wote huo wa dozi alikuwa analalamika sana miguu inawaka moto na ganzi inamtesa sana pia kuchoka mno hasa baada ya kumeza dawa, tulipoenda hospital aliambiwa ni reaction za dawa za TB hivyo akimaliza ataendelea kama kawaida.

Basi baada ya muda mfupi baada ya kumaliza dozi kama wiki mbili akawa analia sana miguu,na akawa analalamika kwamba kila akila chakula anasikia moyo unaenda mbio na baada ya muda anatapika,akitapika anasikia ndo kama unafuu kwake, tukampeleka regency wakafanya vipimo vyao weee wakaja na jibu la kwamba ana Sukari ya kupanda, figo ziko safi ,basi ile hali ya kutapika ikaendelea Regency wakasema mpelekeni Muhimbili, tutafika muhimbili nao wakafanya vipimo vyao weee wakaja nao na jibu la kwamba ana Sukari na malaria tiba ikaanza ,mgonjwa bado anatapika na ile hali ya kulalamika kwamba moyo unaenda mbio na tumbo kuvuruga ikaendelea baadaye Doctor akashauri kifanyike kipimo cha OGD majibu yakaja kwamba ana mikwaruzo kwenye mfumo wake wa chakula doze ikaanza,akawa admitted pale Muhimbili tukakaa kama wiki 2 tukatoka na mgonjwa akawa ameacha kutapika kabisa.

Tumekaa nyumbani kama wiki tu hata haijaisha vizuri mgonjwa akaanza kutapika tena,Jamani huko kutapika ni kutapika kweli si mchezo,chochote kinachowekwa mdomoni kinatoka,tukarudi Muhimbili tena tukalazwa tena, Ikawa kwamba maendeleo yake ya Sukari siyo mazuri doctor akasema Hamna jinsi ili kuicontrol Sukari inabidi anzishiwe dozi ya sindano maana dawa ikaonekana kama hazisaidii,so akawa anatumia dawa na sindano moja tu kwa usiku,baada ya hapo Sukari Ikawa imeanza kukaa kawaida,tumekaa pale Muhimbili kama wiki 3,baada ya hizo sindano,dripu na dawa za kuzuia kutapika mgonjwa akaanza kupunguza kutapika baadaye akakata kabisa,tukaruhusiwa kutoka. Tukiwa hapo pia walifanya vipimo vingine vya kucheki CD4 na n.k zikaonekana ziko safi ila ndo wakasema damu inaonekana imepungua pia ina bacteria kwahiyo inaweza kuwa source mojawapo ya kutapika.

Basi tulivyotoka tukasema Ngoja tuendeleee kupambana tutafute na wataalamu wengine tukaenda Kko kwa Dr Abass wakafanya vipimo vyao basi tukaomba sindano aachishwe anywe dawa basi kapewa dawa akaanza kutumia,kisha tukatafuta Specialist mwingine pale Muhimbili kwaajili ya tumbo akasema tupime kipimo kimoja cha H pylol(sijui kama nimepatia spelling) ikapimwa ikaonekana ana huyo mdudu kapewa dozi sasa hatujakaa vizuri ni wiki imeisha tu,mimi nikawa nimesafiri nikapata taarifa mgonjwa kaanza kutapika tena vile vile na hivi sasa kalazwa Muhimbili ana siku ya tatu, hali ya afya yake siyo nzuri kabisa na amedhoofu Mno kabaki mifupa tu kwakweli anatisha sana, dawa zake za ARV bado anazitumia na hayo madozi mengine.kwakweli japokuwa ni gharama sana maana hapo Muhimbili tunatumia Private na ni cash hatujakata tamaa kupigania afya yake japokuwa inachosha sana na hata mgonjwa naye kapoteza matumaini kabisa anaona ni bora afe tu majuzi Kati hapo Muhimbili nusura afanye maamuzi magumu ya kujirusha ghorofani bahati nzuri akawahiwa.

Mkuu Deception naomba tu Ushauri wako labda tufanye nini kumnusuru huyu ndugu yetu,au unaona ni nini kinachomsumbua kulingana na maelezo niliyokupa?. Mume wake alikufa kitambo sana ni kama hiyo miaka 10 na alikufa kwa huo huo ugonjwa. Ushauri wako ni wa muhimu sana Mkuu. Asante
 
Last edited by a moderator:
... Antibody test ina zaidi ya 99% specificity .....

Hii ni rare phenomena as far as hiv test is concerned. Ila ili kutoa utata huu, ndio maana ukipima kipimo cha kwanza ukoanekana uko positive, utapima kipimo kingine ambavyo kiko more superior ili ku-confirm majibu. (ref. Determine'''bioline'''unigold'''western blot'''hiv DNA pcr'''electron microscope.)

...kwakuwa hiv primarily hu-infect na kuathiri seli zenye CD4 receptors
,.....

Lakini pia jiulize , wangapi wanakutwa na ukimwi na hawatumii dawa ila wanaumwa magonjwa yanayoendana na ukimwi na kufa. ARV zimewauwa hapo?

Mtu na mkewe wanakufa kwa magonjwa yanayoendana, na wote walikutwa na HIV, hushtuki?

Pia, damu ya mama na mtoto wakati yuko tumboni hazichanganyiki, ukielewa hii utaelewa kwanini sio lazima mama azae mtoto positive. Soma zaidi

1.Determine'''bioline'''unigold'''western blot'''hiv DNA pcr'''electron microscope...

You are wrong.Hiyo electron microscope usidanganye watu,hakuna kipimo hicho cha HIV,labda kwenye theory zenu za darasani mdanganywa hivyo.Kama kipo tuambie kiko kituo gani cha afya hapa Tanzania twende kukiona.Madaktari wote hawajawahi kumuona HIV katika maisha yao,unafikiri kama HIV kweli yupo wangeshindwa kumuona kwenye hiyo electron microscope?

Hata wewe 'kuwa muwazi', tuambie kama umewahi kumuona HIV hata kwa kutumia hiyo electron microscope.

2.Antibody test ina zaidi ya 99% specificity...

You are wrong.Hizi ni theory za darasani tu,ukienda mtaani au kwenye vituo vya afya sivyo hivyo.

3.kwakuwa hiv primarily hu-infect na kuathiri seli zenye CD4 receptors...

Wrong again! HIV haui hizo seli.

Proof:Nenda mtaani kafanye uchunguzi wako utakutana na watu wamepiwa HIV+ zaidi ya miaka 15 iliyopita,hawatumii ARVs lakini CD4 zao ziko juu sana.Utasema kwamba hawa ni CARRIERS,he he heeee!!!

4.wangapi wanakutwa na ukimwi na hawatumii dawa ila wanaumwa magonjwa yanayoendana na ukimwi na kufa...

Ofcoooourse!!kama kinga yako iko chini ni rahisi kunasa ugonjwa,and ofcooourse!!,kama umepata ugonjwa fulani mfano TB halafu hutumii dawa lazima ufe.Nani anapinga hili.

Ila mimi na hata wewe hatutegemei mtu aumwe TB halafu apewe ARVs huku tukitegemea kwamba atapona.

Isitoshe,wewe mwenyewe hata hujijui kama unashindwa kutofautisha kati ya ukimwi na VVU.Hapa wewe unazungumzia ukimwi na sio VVU.Ukimwi upo lakini hauui,kinachoua ni ugonjwa unaoupata baada ya kinga kupungua,kama utatibiwa ugonjwa wako vizuri utapona na kuendelea na shughuli zako.Lakini VVU hayupo,hivyo basi,dawa za ARVs hazina target.

Halafu pia unanishangaza kwa kuwa hata hujui kwamba kabla ya kutangazwa HIV mwaka 1984,kabla ya hapo ukimwi ulikuwapo,ukimwi ulikuwapo tangu mwanadamu alipoanza kuwapo duniani.Kama nimepotosha hapa sema ili watu wakusikie.

5.Mtu na mkewe wanakufa kwa magonjwa yanayoendana, na wote walikutwa na HIV, hushtuki?

Mimi sishtuki.Wewe hujawahi kufanya uchunguzi wako kwa watu kama hawa,mimi nimefanya.Hutakiwi kuzungumzia vitu juu juu,lete mfano halisi na useme watu hao walikuwa wanaumwa magonjwa gani?walikuwa wanatumia ARVs au la?Style ya maisha yao(mlo,pombe,matumizi ya madawa mengine nk) ilikuwaje?Lete mfano hai ulioshiba data.

Nikupe mfano mmoja:

Kama wewe una TB halafu unalala na mkeo kila siku kitanda kimoja kuna uwezekano mkubwa na mkeo akapata TB.Pia kumbuka kwamba huwezi kupata TB kama kinga yako iko juu(lazima kinga iwe imeshuka,yaani ukimwi).Kama wote wawili hamjapata matibabu sawasawa baada ya muda mtakuwa na dalili zifuatazo;

a/.Mtapungua uzito
b/.mtakonda sana
c/.Mtakuwa mnakohoa sana(kama ni pulmonary TB)
d/.Mtaharisha(kama ni GI TB)
e/.Mtatapika(kama ni GI TB)
f/.Mtakosa nguvu
g/.Mtakosa hamu ya kula
h/.Mtakuwa na homa za mara kwa mara

Kumbuka pia si watu wote wenye TB wanapima HIV+.Pia fahamu kwamba TB ni mojawapo ya sababu inayoweza kufanya vipimo vyenu feki vitoe majibu ya HIV+.Sasa tumia akili yako kudadavua hapo.

NB:
-Huwezi kupata TB mpaka kinga yako iwe chini/ishuke/ipungue(yaani uwe na ukimwi),
-Si watu wote wenye TB wanapimwa na kukutwa HIV+,wapo wengi wanakutwa HIV-,

Ukichambua hizo point mbili hapo juu utakuja kuona kwamba unaweza kuwa na ukimwi hata kama umepimwa HIV-.Sasa kuanzia hapo unaweza kupata dodoso kwamba,kumbe kuwa na ukimwi si lazima uwe na HIV,sasa akili ndio itaanza kufunguka kujua zaidi ni mambo gani zaidi ya huyo HIV yanasababisha kinga kupungua(yaani ukimwi).

6.Pia, damu ya mama na mtoto wakati yuko tumboni hazichanganyiki...

Hapa uko sahihi,hujakosea.Kumbe akili ya kujua unayo,ila hutaki kuitumia.
 
Back
Top Bottom