V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

mkuu uzi unaendelea kama kawa.

Katika hili jambo, naona kila mtu anafikia conclusion yake binafsi. Ukitaka a compromised 'consensus' on HIV and/or AIDS, utasubiri sana mkuu.

Soma, elewa, elimika.

-Kaveli-
Pamoja mkuu nimekuelewa, ila katika logic ya kawaida panapokuwa na majibizano ya hoja baina ya pande mbili mara nyingi waga kunakuwa na conclusion ndomana nikaulizia, ila kwa issue yenyewe ilivyo sensitive kupata conclusion ni kazi, shukrani kwenu hakika tumeambulia mengi kupitia huu Uzi.
 

Your very right Kaveli, first of all it's still a lab trial and it will take some years for this to be tested on animals before being introduced to human beings, however as you mentioned earlier such news give people internal locust, there is nothing greater in life than having a hope.
We have to protect ourselves always, and this is not for young people only, I have seen middle aged women after marriage break down now starting dating again, because you are in menopause stage does not mean you are immune to STD's.
 


dada Sky Eclat , you are brilliant lady! Yep, that's correct. Some women, their sex drive gets higher during menopause.

As long as sexual desire is inevitable to anyone regardless of age (young, youths, matured), then 'risk-consciousness and protection' should be our primary center of attention.

Given the fact that sex is the key driver to STIs, the world has to realize that Safe Sex should be a 'must' part of the package throughout our sex life.

The presence of known STDs should serve as a 'wake-up' call in our communities. But instead, people are being overwhelmed by sexual urge for the short-time pleasure. Despite all the health risks and alerts, people are still running 'bare-foot' in the jungle. lol

Yep dada'ake, as people continue to wave the web of HOPE, they become Warriors of Survival !

Notwithstanding the above lines, my paramount hope is that queen Sky Eclat will soon take me to the 'Sky with paradise'. lol

-Kaveli-
 

Mr Kaveli naona bado unaundeleza uzi tu.
 
Mr Kaveli naona bado unaundeleza uzi tu.


Mkuu Kigonzile, habari za masiku mengi.

Wadau wanazidi kuufukunyua uzi huu Mkuu.

Cha ajabu, wengine wanauliza maswali yale yale ambayo yameshajibiwa na kujadiliwa sana humu. Sijuwi ni uvivu wa kusoma ama ni pure lazy mind. lol
 
Mkuu Kigonzile, habari za masiku mengi.

Wadau wanazidi kuufukunyua uzi huu Mkuu.

Cha ajabu, wengine wanauliza maswali yale yale ambayo yameshajibiwa na kujadiliwa sana humu. Sijuwi ni uvivu wa kusoma ama ni pure lazy mind. lol

Yes! ni kweli mkuu. Wadau wengine walikuwa busy kwenye forums nyinginezo tu, si unajua suala la afya watu hawalipi kipaumbele sana thats why waafrika tunaugua magonjwa mengi ya ajabu, mara kisukari, mara upungufu wa nguvu za kiume, mara kansa, mara figo imefeli. We are suffering due to lack of knowledge.
 
Mkuu nimekuPM
 
Mkuu nimekuPM...
 
Ubaya unachanganya lugha bila sababu za msingi
 
Dah, nimeufuatilia uzi huu toka mwanzo tangu juzi sijagusa forum yoyote humu niko na uzi huu tu. Kwa kweli kuna kitu kipya sana kwangu nimekipata. Kwa vile sasa nimechoka na ni usiku, nimejipanga kesho kuuendeleza uzi huu kwa kitu kipya kabisa. Shukrani kwa wachangiaji wote.
 
Habari wakuu!
Poleni na majukumu ya kila siku, kama nilivyosema kwenye kabandiko kangu kalichopita kuhusiana na uzi huu.
Habari ya HIV-AIDS yaweza kuwa si kweli. Nipo upande ya Denialists. Nina sababu nyingi kuwa upande huo, ila kabla sijaanza kudadavua ningependa kujiweka sawa kuwa mimi sio mtaalamu kwenye hii field ya medicine.
Nasikitika sana mostly MedicineDoctors wamejaa viburi na kujiona katika wataalamu wa fani mbali mbali wao ndo wasomi sana na wengine hawajui kitu, wengi wamepumbazwa na ujinga wa kukaririshwa 'uchawi' huo na wao hawajitambui.
Mtu kama mtu unatakiwa ujue vitu mbali mbali kuhusu haya maisha. Lazima ujue vitu mali mbali kama dini, mambo ya afya, siasa, uchumi, unajimu, sayansi , historia nk ili usije tumbukia kwenye "mitego" ya fani uliyojichukulia.
Hii thread nitaizungumzia kwa uzoefu niliupata kwenye field ya Dianetics, Scientology, Human Anatomy, Spiritualism (Holy and Evil) na my life experience. Naweza pia nisipangilie point zangu vizuri mtanisamehe.

#1: Mwili wa binadamu umeumbwa kwa namna ambayo unaweza kupambana na kila aina aina ya ugonjwa, iwe ni unaosababishwa na germs, bacteria, parasites au hata virus.
Kwa nini leo maradhi yameongezeka sana na watu wanakufa sana kwa maradhi kuliko "Natural death"?
Nataka mniamnie ninyi mnaojidai ni wataalaam wa tiba, Mkuyati og, pakamwan nk kwa nini leo duniani maradhi yameongezeka maradufu wakati huo huo kuna a lot of drugs, cutting edge tools katika medicine pamoja na state of the art procedures katika medical science. Tiba ya leo hasa zinazopatikana katika hospitali ndio sehemu kuu zinazosababisha vifo vingi. Naweza kusema kuwa hospitali zetu ndio "machinjio" ya binadamu. Watu wengi leo hii wanaumwa na kujitibia kutokana na side effects za madawa wa(li)(na)yotumia. Naomba tujiulize kwa nini taasisi za afya zote duniani zina alama ya nyoka?
Ni muhimu kujua pia historia ya hizi tiba (nazungumzia hasa pharmaceuticals....yaani medicianal drugs) zilipotokea;
Zamani za wagiriki tiba ilihusiana na uchawi (witchcraft) ambapo tiba ilitumia drugs ili ku induce hallucination and incantation to demon gods. Dawa hizo zilitengenezwa kwa utaalamu wa alchemy (leo hii inatumika chemistry kutengeneza dawa hizo). Nataka tufahamu maana ya maneno haya ili ufahamu nataka kusema nini. Neno "sorceries" linatokana na neno "pharmakeia" kwa kigiriki, ambalo pia neno pharmaceutical(medicinal drugs), na pharmacy (drug store) kwa kiingereza maneno hayo yamepatikana. Hivyo tunapozungumzia "drugs" nina maanisha uchawi ambao unapumbaza mind zetu na kutufanya dhaifu. Biblia imetoa onyo kuhusu uchawi (drugs) huu :
Revelation 18:21,23
" And a might angel took up a stone like a mill stone and cast it into the see, saying, thus with violence shall that great city Babylon be thrown down, and shall be found no more at all....for thy merchant were the great men of the earth, for thy SORCERIES were ALL NATIONS DECEIVED"
Ninachoweza kusema kuhusu hizi dawa ni kuwa " they are nothing more than contemporally WITCHCRAFT garbed in a scientific disguise".
Yule nyoka kama alama ya taasisi za afya ni alama ya fimbo Asclepius ambaye ni mungu wa uponyaji wa kigiriki, enzi hizo watu walifurika kwa Asclepius kupata tiba. Hii imeendele hata leo ambapo madaktari wana kiapo chao kwa mungu huyu. " I swear by Apollo the Physician and the Asclepius and by Hygieia and Panacea and by all gods to bring the following oath to fulfillment."

#2:
Utumiaji wa vyakula vya Nyama kama source ya protin unaleta magonjwa mengi kwenye mwili, ninaposema nyama ninamaanisha nyama nyekundu na nyeupe. Hizi hupelekea damu kuwa na acid iliyozidi na hizvyo kufanya damu kuwa dhaifu kupambana na maradhi. Ukuweli ni kuwa cancer karibia zote zinasababishwa na utumiaji wa nyama, ukweli huu wengi hawapo tayari kuusikia. Mimi niliacha kutumia nyama toka mwaka 1994 na hadi kufikia 1999 hata leo sijawahi kuugua ugonjwa wowote ulionifanya nimeze dawa . Zaidi ya miaka 17 sijaugua Maralia kitu ambacho sio kawaida kwangu, hii naamini ni matokeo ya kuacha nyama. Pia afya italetwa na kufuata kanuni nyingine za lishe bora, mazoezi, maji safi, mwanga wa jua, kujizuia, hewa safi, Kupumzika na matumani kwa mwenyezi Mungu huleta afya ya mwaili ambapo hata Ukimwi hauwezi kukushinda.

Mwisho naomba Deception utuambie wazi dawa ya kuondoa sumu mwilini ni nini ili usaidie watu ambao wamepata elimu hii wajipange kuachana na ARV na wajifunze kanuni hizi za afya, badala ya myu akufuate PM kana kwamba upo kibiashara zaidi.
 
Mkuu sina jina na wanajamii wengine .
Moja kati ya vitu vinavyoondoa sumu mwilini ni Limau na Ndimu.
Unachotakiwa ni kunywa glasi ya maji ya kawaida yaliyokamuliwa ndimu asubuhi kabla hujala chochote.
Unaweza kufanya hivyo kila siku au mara mbili au tatu kwa wiki inategemea na uwezo na muda wako.
 
huu!huu mjadala sijui uliisha vp!! maana naona wataalamu wa afya wakikopi na kupest!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…