Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
- Thread starter
- #461
Duh! Kwaiyo mkuu hawa wanao tupima huku mitaani hawavioni virusi mpaka hospitali kubwa mfano muhimbili bugando?
Habari ndiyo hiyo, pigia msitari.
Hata huko hospital kubwa, HAKUNA kipimo cha kumuona HIV live in isolation. Hakuna!
Vipimo vyote vilivyopo havipimi HIV directly, bali vinapima 'antibodies fulani' ambazo zinapambana na 'proteins' fulani zinazodaiwa zinatoka kwa HIV. Kwamba, vipimo vinaangalia tu uwepo wa hizo 'antibodies fulani' mwilini. Kwaiyo vipimo vikionesha uwepo wa hizo antibodies mwilini, basi hicho ndo kigezo cha uwepo wa HIV mwilini.
In short ni kwamba: regardless mtu anaumwa au haumwi, vipimo vinatarget Antibodies fulani. Antibodies hizo zinakuwa released by immune system ili kupambana na HIV. So, antibodies 'fulani' ndiyo benchmark/indicator ya uwepo wa HIV. Kwahiyo vipimo vikisoma POSITIVE, maana yake ni tayari unazo hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa una HIV. Vipimo vikisoma NEGATIVE, maana yake havijaona hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa hauna HIV.
Hivyo basi, vipimo havipimi (havitarget) HIV moja kwa moja. Vipimo vinapima (vinatarget) antibodies tu fulani ambazo zimechukuliwa kuwa ndiyo 'ishara' ya 'uwepo wa HIV' mwilini.
Kwahiyo, vipimo vya HIV... havipimi HIV mwenyewe kabisa kwa kumuona, bali vinapima 'ishara' tu za uwepo wa kirusi huyo mwilini. Vimetengenezwa hivyo!
Waweza kuwa na swali, kwamba: Kwanini sasa hivyo vipimo hawakuvitengeneza katika uwezo wa kumuona kabisa HIV mwenyewe moja kwa moja???!!! Kwenye swali hili huwa wana majibu mawili: (1) HIV ni mjanja mjanja sana ana akili nyingi, anabadilika badilika; (2) Ni gharama sana kutengeneza vipimo vyenye uwezo wa kumuona/kumpima HIV mwenyewe kabisa directly.
Pia ni muhimu kukufahamisha kwamba, mbali na uwepo wa huyo HIV mwilini, kuna other factors zinazoweza kusababisha mwili uka-release hizo antibodies fulani. Baadhi ya factors hizo ni: MIMBA, MALARIA KALI, n.k. This is why vipimo vya HIV ni kama 'ramli' hivi... leo waweza pima POSITIVE, kesho ukapima NEGATIVE... kituo X ukapima NEGATIVE, at the same moment kituo Y ukapima POSITIVE... mke akapima NEGATIVE, mume akapima POSITIVE... mama akapima POSITIVE, mtoto akapima NEGATIVE!
Soma vizuri uzi huu mwanzo mwisho utajifunza mengi. Soma uzi huu criticallycritically with free mind... chambua pumba na mchele. Za kuambiwa changanya na zako.
N.B: MLINZI nambari moja wa Afya yako, ni WEWE MWENYEWE BINAFSI.
-Kaveli-