V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Duh! Kwaiyo mkuu hawa wanao tupima huku mitaani hawavioni virusi mpaka hospitali kubwa mfano muhimbili bugando?

Habari ndiyo hiyo, pigia msitari.

Hata huko hospital kubwa, HAKUNA kipimo cha kumuona HIV live in isolation. Hakuna!

Vipimo vyote vilivyopo havipimi HIV directly, bali vinapima 'antibodies fulani' ambazo zinapambana na 'proteins' fulani zinazodaiwa zinatoka kwa HIV. Kwamba, vipimo vinaangalia tu uwepo wa hizo 'antibodies fulani' mwilini. Kwaiyo vipimo vikionesha uwepo wa hizo antibodies mwilini, basi hicho ndo kigezo cha uwepo wa HIV mwilini.

In short ni kwamba: regardless mtu anaumwa au haumwi, vipimo vinatarget Antibodies fulani. Antibodies hizo zinakuwa released by immune system ili kupambana na HIV. So, antibodies 'fulani' ndiyo benchmark/indicator ya uwepo wa HIV. Kwahiyo vipimo vikisoma POSITIVE, maana yake ni tayari unazo hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa una HIV. Vipimo vikisoma NEGATIVE, maana yake havijaona hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa hauna HIV.

Hivyo basi, vipimo havipimi (havitarget) HIV moja kwa moja. Vipimo vinapima (vinatarget) antibodies tu fulani ambazo zimechukuliwa kuwa ndiyo 'ishara' ya 'uwepo wa HIV' mwilini.

Kwahiyo, vipimo vya HIV... havipimi HIV mwenyewe kabisa kwa kumuona, bali vinapima 'ishara' tu za uwepo wa kirusi huyo mwilini. Vimetengenezwa hivyo!

Waweza kuwa na swali, kwamba: Kwanini sasa hivyo vipimo hawakuvitengeneza katika uwezo wa kumuona kabisa HIV mwenyewe moja kwa moja???!!! Kwenye swali hili huwa wana majibu mawili: (1) HIV ni mjanja mjanja sana ana akili nyingi, anabadilika badilika; (2) Ni gharama sana kutengeneza vipimo vyenye uwezo wa kumuona/kumpima HIV mwenyewe kabisa directly.

Pia ni muhimu kukufahamisha kwamba, mbali na uwepo wa huyo HIV mwilini, kuna other factors zinazoweza kusababisha mwili uka-release hizo antibodies fulani. Baadhi ya factors hizo ni: MIMBA, MALARIA KALI, n.k. This is why vipimo vya HIV ni kama 'ramli' hivi... leo waweza pima POSITIVE, kesho ukapima NEGATIVE... kituo X ukapima NEGATIVE, at the same moment kituo Y ukapima POSITIVE... mke akapima NEGATIVE, mume akapima POSITIVE... mama akapima POSITIVE, mtoto akapima NEGATIVE!

Soma vizuri uzi huu mwanzo mwisho utajifunza mengi. Soma uzi huu criticallycritically with free mind... chambua pumba na mchele. Za kuambiwa changanya na zako.

N.B: MLINZI nambari moja wa Afya yako, ni WEWE MWENYEWE BINAFSI.

-Kaveli-
 
He he heee,yaani hata hilo neno 'window period' umekaririshwa,hii ndio kasumba chafu nayotaka kuiondoa kutoka kwa walio wengi.Watu wanadhani wanafikiria kwa akili/uwezo wao wenyewe kumbe wanafikiria kwa kutumia akili za kupandikizwa na wengine.

Tujitahidi kujikwamua kutoka kwenye vifungo vya kufikiri ambavyo wamiliki wa viwanda vya madawa wametuweka,watu hawajui kama kuna watu wanaofikiri kwa niaba yao.Hawajui pia kwamba maneno wanayotamka sio ya kwao bali ni ya wengine ambao ndio wameshikilia akilia zao.Hii ndio kazi ya kitengo cha mindcontrol.Mind control ni kitengo kinachofanya kazi kwa utaalam na siri kubwa sana,huwezi kuona kirahisi jinsi kitengo hiki kinavyofanya kazi,sasa hivi athari zake zimeshajitokeza katika sekta nyingi sana ikiwemo hii ya afya.

Nilijidunga mwaka mmoja uliopita,hadi leo ni HIV-.Hiyo window period yenu ni muda gani?

Mgunduzi wa HIV,Robert Gallo naye amekuja na yake;baada ya kuona kwamba watu wenye HIV hawaumwi hata kama hawatumii ARVs kwa muda mrefu,akasema 'eti' HIV anaweza kuchukua miaka hata 10 kuanza kusababisha ugonjwa.He he heee,HIV/AIDS regime ina vituko sana.Yaani hapa maana yake wanasubiri sababu nyingine zisababishe ugonjwa halafu waanze kumsingizia HIV.Miaka 10 ni mingi sana kwa mtu yeyote kukaa bila kuumwa,hivyo mtu akiumwa tu basi wataanza kusingizia HIV.
Mimi I know nothing kuhusu hiv lakini kama namwelewa huyu jamaa
 
Habari ndiyo hiyo, pigia msitari.

Hata huko hospital kubwa, HAKUNA kipimo cha kumuona HIV live in isolation. Hakuna!

Vipimo vyote vilivyopo havipimi HIV directly, bali vinapima 'antibodies fulani' ambazo zinapambana na 'proteins' fulani zinazodaiwa zinatoka kwa HIV. Kwamba, vipimo vinaangalia tu uwepo wa hizo 'antibodies fulani' mwilini. Kwaiyo vipimo vikionesha uwepo wa hizo antibodies mwilini, basi hicho ndo kigezo cha uwepo wa HIV mwilini.

In short ni kwamba: regardless mtu anaumwa au haumwi, vipimo vinatarget Antibodies fulani. Antibodies hizo zinakuwa released by immune system ili kupambana na HIV. So, antibodies 'fulani' ndiyo benchmark/indicator ya uwepo wa HIV. Kwahiyo vipimo vikisoma POSITIVE, maana yake ni tayari unazo hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa una HIV. Vipimo vikisoma NEGATIVE, maana yake havijaona hizo antibodies mwilini, kisha inachukuliwa kuwa hauna HIV.

Hivyo basi, vipimo havipimi (havitarget) HIV moja kwa moja. Vipimo vinapima (vinatarget) antibodies tu fulani ambazo zimechukuliwa kuwa ndiyo 'ishara' ya 'uwepo wa HIV' mwilini.

Kwahiyo, vipimo vya HIV... havipimi HIV mwenyewe kabisa kwa kumuona, bali vinapima 'ishara' tu za uwepo wa kirusi huyo mwilini. Vimetengenezwa hivyo!

Waweza kuwa na swali, kwamba: Kwanini sasa hivyo vipimo hawakuvitengeneza katika uwezo wa kumuona kabisa HIV mwenyewe moja kwa moja???!!! Kwenye swali hili huwa wana majibu mawili: (1) HIV ni mjanja mjanja sana ana akili nyingi, anabadilika badilika; (2) Ni gharama sana kutengeneza vipimo vyenye uwezo wa kumuona/kumpima HIV mwenyewe kabisa directly.

Pia ni muhimu kukufahamisha kwamba, mbali na uwepo wa huyo HIV mwilini, kuna other factors zinazoweza kusababisha mwili uka-release hizo antibodies fulani. Baadhi ya factors hizo ni: MIMBA, MALARIA KALI, n.k. This is why vipimo vya HIV ni kama 'ramli' hivi... leo waweza pima POSITIVE, kesho ukapima NEGATIVE... kituo X ukapima NEGATIVE, at the same moment kituo Y ukapima POSITIVE... mke akapima NEGATIVE, mume akapima POSITIVE... mama akapima POSITIVE, mtoto akapima NEGATIVE!

Soma vizuri uzi huu mwanzo mwisho utajifunza mengi. Soma uzi huu criticallycritically with free mind... chambua pumba na mchele. Za kuambiwa changanya na zako.

N.B: MLINZI nambari moja wa Afya yako, ni WEWE MWENYEWE BINAFSI.

-Kaveli-
Mkuu hapo kwenye vipimo ni utata mtupu...toka nisome huu uzi niliapa kutoenda tena kupima!! Kikubwa najitahidi kufuata kanuni za afya basi..
 
Asante sana mkuu kaveli. Huu uzi nimeufatilia tangia mwanzo mpaka sasa bado naufatilia. Kitu ambacho nilichokigudua watu wengi humu hawaezi kuchambua pumba na mchele unachosema ni kweli kabisa huu ugonjwa ukiuangalia kwa makini unaona kuna husanii umetumika kuwalubuni watu. Asante kaveli. Asante deception. Mungu awabaliki sana. Hii elimu niliyoipata ntajitaidi niwaeleweshe wengine. Watakao kubali sawa. Watakao kataa sitawalazisha ila ukweli nimewambia.
 
Soma vizuri uelewe
vimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto
 
utafiti kuwa hiv ina sababisha aids hauna upinzani na ulikusha hitimishwa. tafiti zote zilizopo zinalenga chanjo na dawa. uhakika waHIVndio anasababisha AIDS haupo huo kwa sasa. currently tunajaribu kuelewa jinsi ya kupambana na huyo virus kwa njia ya chanjo na madawa ya ya kumuathiri hiv virus interms of replication, transcription, translation of HIV proteins na manipulating receptors for virus
huo ndio ukweli na hakuna ukweli zaidi ya hapo. kumbuka jamii ya hawa virus huwaathiri hata paka ingawa ni genus nyingine ya retro virus.
unaweza kuuliza kwa nini hawakuwa wanaathiri zamani, jibu ni liko na linahitaji uelewa mpana. tujue tu kwamba these lower and simple organism and viruses mutate at a very fast speed. mutation cana make them gain virulence factors au pia lose virulence factors. hii ndio kesi ya ebora, H5N1. there is lot of sayansi here.mimi nimetumia muda mwingi nikisoma hii na naendelea kusoma na kufanya utafiti au kushiriki kwenye tafiti mbali mbali kama chanjo, madawa na upimaji wa viral diseases.
ukimwi upo, utaendelea kuwepo na unaua sana tu. let pray to God awape wanasanyansi uwezo wa kupata chanjo kama ilivyowezekana kwenye magonjwa mengine
Moja ya ratizo ambalo wengine tunalina ni hilo hitimsho la kirusi cha HIV kuhuzika na AIDS.
Kwa kweli tnakubaliana kuwepo kwa AIDS na madhara yake tumeyaona na wengine tumeyaishi kwenye jamii na familia zetu.
Lakini ukweli utabaki kuwa kama HIV siye msabanishi na yaonesha hivyo. Tiba itakayopatjkana ni ile ya kuhangaika na matokeo pasipo kuguza chanzo kama ilivyo kwenye magonjwa kama Kisukari na BP
Ni muhimu kuacha mawazo kinzani atolewe ili doubts ziwe cleared na questions ziwe answered kwa faida ya jamii yote.
What if HIV ni kiini macho ,? Kuhusika na AIDS ? Hapo ndipo pa kuanzia ...

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo kwenye vipimo ni utata mtupu...toka nisome huu uzi niliapa kutoenda tena kupima!! Kikubwa najitahidi kufuata kanuni za afya basi..
malafyale vipimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto
 
Wakuu,
With due respect ta all of you.

Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi HIV-Testing Kits as regards to HIV diagnosis in human bodies. Napenda sana kujifunza vitu mbali mbali, hususani issues zinazo-impact afya zetu wanadamu.

To whoever mwenye uelewa, naomba mnieleweshe (na kwa faida ya wengine pia) kwenye mambo yafuatayo ili kujifunza:

a) Je vifaa vyote vya kupimia HIV, vinatumia ''ANTIBODIES'' pekee ili kudetect HIV infections ktk mwili? Yaani is 'ANTIBODIES'' only the determinant/agent for confirmation of HIV presence in the body?

b) If YES to the (a) above, why hivyo vifaa haviwezi kudetect the HIV directly? i.e. why hivyo vipimo (HIV-Testing) haviwezi kutrace (to isolate) the Virus itself, rather than basing on the antibodies? OR ni kwa sababu kwamba all virus-related infections can be only detected by basing on antibodies only?

c) Uelewa wangu mdogo ni kwamba Human Beings tuna natural Immunity Systems kwenye miili yetu, and the primary role of such natural immunity ni kuproduce 'antibodies' to fight-off a disease infection(s) that enters the body. The strength of such Immunity varies from person to person, due to nutrition factors; life style; etc. Pia nafahamu kwamba wanadamu tuna a lot of viruses and bacteria kwenye miili yetu, though hatuugui. Mfano, niliwahi kusoma a medical Article kwamba almost kila mtu ana bacteria wa TB mwilini mwake, whenever your body Immunity becomes weak, ndo hapo unaanza kuugua TB. So all viruses or bacterias or whatever harm in the body... they do primarily depend on vulnerability of the body Immunity. Nadhania hivyo.

Now the question is: Immunity huwa inaproduce izo 'antibodies' to ALL disease infectios that enter the body?? i.e. does the Immunity System react and produce antibodies to ANY/ALL infections? OR kuna baadhi tu ya diseases/infections ambazo ndo Immunity ina-react na kutoa antibodies??

d) If the body Immunity reacts and/or produces the 'antibodies' to ANY/ALL disease infections, do the 'antibodies' differ from infection to infection? Yaani mfano: antibodies for Ebola infections are different from antibodies for HIV infections??

e) If NO to the (d) above, then it means that the allegedly produced 'antibodies' are of ONE TYPE (ONE STRUCTURE) WITH SAME FEATURES, WITH SAME PARTICLES, for ANY/ALL disease infections in the body. Now... WHY is HIV-diagnosis being based on 'antibodies' only, while other disease infections are also an avenue for the 'same antibodies' in the body???

(f) Pia kuna hizi medical terminologies: CD4 COUNT; na ''VIRAL LOAD''.
Navyoelewa mimi, viral load ni kile kiasi cha viruses mwilini, yani kiwango cha virusi kwenye damu. SWALI: Hicho kipimo cha viral load, je kinapima na kutoa matokeo ya kiwango cha virusi wote kwa ujumla (bila kujali aina ya kirusi) waliopo kwenye damu? ama kinapima na kutoa matokeo in isolation kwa kila aina ya kirusi kwenye damu??

Karibuni waungwana. Let's double-click our folders of thinking and share knowledge.

I humbly submit, and thanks in advance for reading.
N.B: I stand to be corrected!
Yaani mtu akishatumia lugha mbili kwa pamoja kwakujivuna tu huwa sisomi tena maandishi yake.Tumia lugha moja kwa usahihi utaeleweka vizuri
 
[Q
vipimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto
nyie mnaweza kuongea mengi na kudanganyana huku. HIV ni msababishi wa acquired immuno deficiency syndromes and not states. ushahidi uko wazi ukimzoovisha kirusi huwa mtu anapona kwa krudi kwenye hai ya kawaida. ni rahisi kubishia mambo kama hujajua kirusi ni nini na maisha ya kirusi yakoje. hii ndio sababu huwa inakuwa ngumu watu kuja na kuelewa mara moja ukiwambia ukimwi upo. ili uuelewe vizuri ukimwi a vvu lazima uelewe virology na immunology ya binadamu. HIV anaishi kwenye CD4+Tcells na macrophages especially dendritic cells. upumgufu wa kinga hutokea maana CD4+Tcells is involved in antigent presentation. zinapokuwa chache kwa kuathirika na kuuawa na virus inaamanisha uwezo wa mwili wako kuona ugojwa wowote unakuwa haupo. hapo ndio tunasema uko na acquired immuno deficiency syndromes.
UOTE="H1N1, post: 18846003, member: 16303"]Moja ya ratizo ambalo wengine tunalina ni hilo hitimsho la kirusi cha HIV kuhuzika na AIDS.
Kwa kweli tnakubaliana kuwepo kwa AIDS na madhara yake tumeyaona na wengine tumeyaishi kwenye jamii na familia zetu.
Lakini ukweli utabaki kuwa kama HIV siye msabanishi na yaonesha hivyo. Tiba itakayopatjkana ni ile ya kuhangaika na matokeo pasipo kuguza chanzo kama ilivyo kwenye magonjwa kama Kisukari na BP
Ni muhimu kuacha mawazo kinzani atolewe ili doubts ziwe cleared na questions ziwe answered kwa faida ya jamii yote.
What if HIV ni kiini macho ,? Kuhusika na AIDS ? Hapo ndipo pa kuanzia ...

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
 
Moja ya ratizo ambalo wengine tunalina ni hilo hitimsho la kirusi cha HIV kuhuzika na AIDS.
Kwa kweli tnakubaliana kuwepo kwa AIDS na madhara yake tumeyaona na wengine tumeyaishi kwenye jamii na familia zetu.
Lakini ukweli utabaki kuwa kama HIV siye msabanishi na yaonesha hivyo. Tiba itakayopatjkana ni ile ya kuhangaika na matokeo pasipo kuguza chanzo kama ilivyo kwenye magonjwa kama Kisukari na BP
Ni muhimu kuacha mawazo kinzani atolewe ili doubts ziwe cleared na questions ziwe answered kwa faida ya jamii yote.
What if HIV ni kiini macho ,? Kuhusika na AIDS ? Hapo ndipo pa kuanzia ...

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
vipimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto
nyie mnaweza kuongea mengi na kudanganyana huku. HIV ni msababishi wa acquired immuno deficiency syndromes and not states. ushahidi uko wazi ukimzoovisha kirusi huwa mtu anapona kwa krudi kwenye hai ya kawaida. ni rahisi kubishia mambo kama hujajua kirusi ni nini na maisha ya kirusi yakoje. hii ndio sababu huwa inakuwa ngumu watu kuja na kuelewa mara moja ukiwambia ukimwi upo. ili uuelewe vizuri ukimwi a vvu lazima uelewe virology na immunology ya binadamu. HIV anaishi kwenye CD4+Tcells na macrophages especially dendritic cells. upumgufu wa kinga hutokea maana CD4+Tcells is involved in antigent presentation. zinapokuwa chache kwa kuathirika na kuuawa na virus inaamanisha uwezo wa mwili wako kuona ugojwa wowote unakuwa haupo. hapo ndio tunasema uko na acquired immuno deficiency
 
vimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto

Mkuu unge-m-quote aliyetaka ufafanuzi haya mimi nayajua ndo maana nilimwambia asome vizur comment yako
 
kiswahili bado kichanga sana kwenyeulimwengu wa sayansi na teknolojia
Nani alikufundisha kiswahili ni kichanga kwenye sayansi na teknolojia??
Maneno gani hapo uliyotumia hayapo kwenye kiswahili?
Tuache ujinga wa kufikiri kutumia kingereza ni usomi
 
Yaani mtu akishatumia lugha mbili kwa pamoja kwakujivuna tu huwa sisomi tena maandishi yake.Tumia lugha moja kwa usahihi utaeleweka vizuri

Kwahiyo mtu kutumia 'code mixing' katika lugha ni kujivuna?

Wewe ni mpumbavvu & lofa, niulize kwanini.

-Kaveli-
 
malafyale vipimo vya mtaani viko sahihi na vinaweza kuonyesha HIV antibodies kwa asimilia kubwa sana.nilisema tunatumia national algorithim ambao ni utaratibu maalum wa kupima uliokubalika kitaifa na hupitishwa na maabara kuu ya taifa na watafiti mbali mbali nchini.
hii algorithm ni serial testing ambapo unakuwa na vipimo vya aina mbili ambavyo vinatabia tofauti. ya kwanza ni highly sensitive, yaani sensitivity yake ni 98 to 99%( hii inamaanisha inaweza kuwa sensitive hata kwa unsepecific antibodies, kwa hiyo kuwa positive hakumaanishi mtu ameathirika,) hii ikiwa positive meaning positive SD bioline second generation unatakiwa uandike reactive tu na sio kuripoti majibu. ukimaliza first test unakwenda kwenye second test ambayo iko more specific to HIV 1 na 2. hii huwa tunaita unigold. ni gharama kuzizlisha na unatakiwa kutumia pale tu test 1 ambayo ni sd Bioline inakuwa positive.
kama sd bioline na unigold ni positive zote unatafsiri majibu kama HIV positive Kama moja meaning SD bioline ni positve ni Unigold ni negative unatafsiri majibu kama indeterminate na ruudia tena kipimo, kama yatakuwa hivyo tu majibu, mwambie client arudi baada ya wiki mbili hadi nne.
akirudi baada ya wiki mabili na majibu yakawa hivyo hivyo mpe rufaa ya kwenda kufanya vipimo vya kumwona kirusi kama pcr na mara nyingine elisa ambayo iko hospitali kuu

evidence from my own experience
HIV is responsible for acquired immuno defieciecy syndrome. HIV is not responsible for immuno deficiency states which may be caused by iproper functioning of immune system component or components

i had a friend niliyempima HIV positive na CD4 23. baada ya kuanza radical antiviral therapy, in six months nimempima CD4 zimefika 650 na tulivyompima HIV kwa method za kawaida meaning rapid tests amekuwa negative. tulimpima wilayani na muhimbili akawa negative. nilipofanya pcr alikuwa positive with very low viral load. hiyo imetokea kwa sababu alipata counseling nzuri na kafuata masharti na sasa apona aids maana CD4+ Tcells zimeshoot to normal range
ushauri wangu kwa wote ukimwi upo na kama unao usijifiche wala kujifariji kwa hawa watu wa mitandaoni wanaosema haupo.mimi nadeal na cases kama hizi nyingi na wanaojielewa wanaishi maisha ya kawaida na kupata watoto

Mkuu doctor,

1. Kwahiyo PCR na ELISA ni vipimo ambavyo vinamuona HIV mwenyewe kabisa live?

2. Mgunduzi wa hicho kipimo cha PCR, Prof Dr. Kary Mullis, anaueleza ulimwengu kwamba HAKUNA uhusiano kati ya HIV na AIDS/UKIMWI. Dr. Mullis anasema HIV sio sababu ya AIDS. Nini maoni yako Mkuu, je prof huyo anapotosha ulimwengu?

-Kaveli-
 
Kwahiyo mtu kutumia 'code mixing' katika lugha ni kujivuna?

Wewe ni mpumbavvu & lofa, niulize kwanini.

-Kaveli-
ha ha haaa....mkuu yani humu kuna watu wana mitazamo ya ajabu sana....halafu nilijiuliza kama huwa hasomi alijuaje kama ulichanganya lugha?....halafu hata kama hasomi,kwani faida au hasara ni ya nani?....aisee raha sana kujichanganya na jamii anuai.
 
Mkuu doctor,

1. Kwahiyo PCR na ELISA ni vipimo ambavyo vinamuona HIV mwenyewe kabisa live?

2. Mgunduzi wa hicho kipimo cha PCR, Prof Dr. Kary Mullis, anaueleza ulimwengu kwamba HAKUNA uhusiano kati ya HIV na AIDS/UKIMWI. Dr. Mullis anasema HIV sio sababu ya AIDS. Nini maoni yako Mkuu, je prof huyo anapotosha ulimwengu?

-Kaveli-
Pia anatakiwa kujibu kama yule mgunduzi wa huyo HIV aliposema kwamba ukiwa na kinga imara hauhitaji kula ARVs,bali kinga yako humwondoa huyo HIV bila kula dawa yoyote....je huyu mgunduzi anapotosha au anasema kweli?....kama anapotosha anatakiwa aseme ni wapi amepotosha,na kama amesema kweli anatakiwa ajibu kwanini wanang'ang'ania kuwalisha watu ma ARVs?.....muulize doctor swali hili pia.
 
Mi nadhani tunachanganya madesa hatusemi ukimwi haupo tunasema hakuna uhusiano wa hiv na aids. Aids inaeeza sababishwa hata nanulaji mbovu matumizi ya madawa kwa muda mrefu au madawa ya kulevya nk.

Pia huna sababu yankutoka povu unapochangia hakuna mpumbavu sijui mjinga. Itakua ni ujinga kurushia watu mawe kwa kuwaita wapumbavu ilhali huwajui. Kama injili ya ukimwi imekuingia vzr basi endeleakuamini
 
Back
Top Bottom