V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

kweli [HASHTAG]#mbishi[/HASHTAG].d,hii ni nondo ya karne!
 
Kaveli maswali yako duh sijui nani atakuja akujibu yote with confidence sijaona hata waziri wa afya hawezi aisee. Ila nimekuelewa bro
 
uzi huu nilikuwa nautafuta sana. . ngoja nipate elimu sasa


Mkuu karibu sana. Pata chakula ya ubongo kwenye uzi huu. Wadau wametema maknowledge ya hatareee.

-Kaveli-
 
Kaveli maswali yako duh sijui nani atakuja akujibu yote with confidence sijaona hata waziri wa afya hawezi aisee. Ila nimekuelewa bro


Mkuu karibu sana. Endelea kuuelewa uzi huu. Kuna mengi ya kujifunza humu.

It was a very intensive discussion kwenye uzi huu, japo baadhi ya concerns zangu hazikujibiwa to the exhaustive level.

-Kaveli-
 
Kaveli sisi waTz tumeshakamatwa fahamu zetu. Watu wanapigia debe ukimwi utadhani ni chakula. Tangu niliposomaga uzi wa Deception nilipata shida sana ikabidi na mimi nianze kutafuta ukweli. Nawaombeni nyie watu wabishi nenda youtube andika hiv/aids deception kisha tafuta documenatry imeandikwa hiv=aids true or deception inachukua muda 1:56:28 kama sijakosea. Huko utakutana na hao wazungu tunaojua kuwaabudu na ni wataalam wa sayansi molecular bioligy wengine ni machemist mabingwa na wengine wameshashinda tuzo fulani katika mambo yao hao ya tiba na ugunduzi. Wanakuelezea siasa iliyochezwa na kina Robert Gallo na Lucy M wakisaidiwa na CDC. Utaelewa kwa nini huyu mwenzetu Deception anasema hivi.

Tatizo tunapenda kujibu kwa kuangalia yanayotuzunguka bali si kwa kujifunza.

Tangu Deception anifungue akili nimeshagundua tunachezewa sana. Maana hata hii kitu inaitwa Global Warming ni ushenzi mwingine hila za watu wachache. Usipokubali kujifunza tukakalia starehe na ubishi bado hatutakua tunalitendea haki jukwaa hili.

Ss mnaombishia Deception walau mm nimewaonesha kwa kujifunza watafuteni hao wanasayansi wasikilizeni hadi mwisho.kisha njoo tena hapa tujadiliane vzr.

Mm naunga mkono kuwa HIV hasababishi ukimwi
 
 
kubishana na mpumbavu ni kuoteza muda, kama mnaamini ukimwi haupo basi vizuri kwenu. endeleeni kupuza ushauri wa kitaalam. yapo mambo ambayo ukianza kubishana na much know wanaokaa kwenye mitandao na kufukiri wameelewa kila kitu kwa kusoma article ambazo hawajui hata maana yake
endeleeni kubisha hamna ukimwi, kesho mtabisha kuwa hakuna malaria na kansa. mtu anayesema hata waziri hawezi kumweleweza au mtaalam yoyote wakati hajui lolote ila anakaa you tube kuangalia videos ambazo yeyote anayetaka umaarufu anaweza kupost. kwa waliosoma masters na phd wanajua credible sources za kupata articles za research kwenye kila field. sintashangaa nikiuliza elimu yako
haya ndio magufuri anataka uhakiki, tuna wajinga wengi sana na mbaya wapumbavu wanaongezeka kila siku

endelea na upumbafu na kuaminisha huo upumbafu kuwa hamna ukimwi na wadanganye wavivu na mabush lawyers wenye kukaa mitandaoni kuangalia article za wikipedia na kufikia kudharau wataalam nawatafiti na wanasayansi na wateknolojia.

naanza kuamini utafiki uliosema sub saharan african iq yao ni ndogo sana. unaanzaje kubishi kitu ambacho kipo na watu wanakufa. unajua postulate za kuprove kuwa ugonjwa upo na unaambukizwa? au unafikiri WHO inaamua tu kuleta ugonjwa. pole nakuonea huruma kabbisa muda unaopoteza kupotosha watu ungeutumia hata kujitolea kufundisha watoto au kufanya usafi au kuufanya ulimwengu salama.
 
Ume panic ...! Wasomi pia hudanganya kwsnye baadhi ya tafiti zao.
Kuna tafiti hufanywa na wasomi wKiwa na lengo na kusudio kabla ya kuanza huo utafiti
Kuna mambo ya kitabibu tunayaishi na kuyaenzi sana kwa kisingizio cha kuwa ni tafiti lakini ukweli ni kuwa matokeo ya utafiti na namna yalivyotafsiriwa ni kinyume kabisa na hali haljsi.
Labda wewe utufahMshe kuwa fafit khusu HIV zimekoma ?
Kama hazikoma ni kwa sababu gani ? Mawna kama HIV amekwisha fahamika INA maana kilichlpo ni kutafita silaha ya kumwangamiza au na kutafiti kuhusu tabia zake Tu.
HIV kuwa ni msababishi wa AIDS bado kuna ubishi na Bahati mbaya sana mtafiti yeyote aliyekinyume na Big bother hawezi kupublish utafiti wake na hata khudhuria mijadala na makongamano kwa kuwa ni waxi ataweza kuharibu biashara ya Condoms na ARVs ...
Kwanni tunazungumzia utafiti wa USA pekee na kuona hitimisho lake ndilo la kweli ?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
utafiti kuwa hiv ina sababisha aids hauna upinzani na ulikusha hitimishwa. tafiti zote zilizopo zinalenga chanjo na dawa. uhakika waHIVndio anasababisha AIDS haupo huo kwa sasa. currently tunajaribu kuelewa jinsi ya kupambana na huyo virus kwa njia ya chanjo na madawa ya ya kumuathiri hiv virus interms of replication, transcription, translation of HIV proteins na manipulating receptors for virus
huo ndio ukweli na hakuna ukweli zaidi ya hapo. kumbuka jamii ya hawa virus huwaathiri hata paka ingawa ni genus nyingine ya retro virus.
unaweza kuuliza kwa nini hawakuwa wanaathiri zamani, jibu ni liko na linahitaji uelewa mpana. tujue tu kwamba these lower and simple organism and viruses mutate at a very fast speed. mutation cana make them gain virulence factors au pia lose virulence factors. hii ndio kesi ya ebora, H5N1. there is lot of sayansi here.mimi nimetumia muda mwingi nikisoma hii na naendelea kusoma na kufanya utafiti au kushiriki kwenye tafiti mbali mbali kama chanjo, madawa na upimaji wa viral diseases.
ukimwi upo, utaendelea kuwepo na unaua sana tu. let pray to God awape wanasanyansi uwezo wa kupata chanjo kama ilivyowezekana kwenye magonjwa mengine
 
vipio vipo vitau vikuuu, na vinagawanyika kwenye makundi mawili, vile vinavyofanyika kwenye tafiti na vile vinavyofanyika kwa ajili ya matibabu
kwa ajili ya tafiti mara nyingi unaweza kupanda virus na ukazalisha wengi na kuangalia tabia zao na kujua huyu ni wa aina gani kama unavyoweza kufanya kwenye bacteria
njia ya pili na kumwona kirusi mwenyewe. hii kwa hapa kwetu tuna uwezo wakufanya hii kwenyehospitali nyingi ikiwemo muhimbili, kcmc, mbeyarufaa, bugando na maabara kuu ya taifa. hapa unakuwa unampima kirusi mwenyewe na pia unaangalia kiwango cha virusi ambacho kipo kwa kiasi fulani cha damu

njia ya tatu ni serological testing system, njia hii unaweza kutumia technique nyingi sana na siwezi kuzitaja zote but nitajaribu most commoni, ya kwanza ni ezyme linked immono sorbent assays au elisa, na rapid screening test ambazo tuna serial testing system kwenye nchi yetu. hizi pia hutegemea national algorithm. hapandio tuna hizi test ndogo za kawaida kam determini, sd bioline na unigold. zote hizi zinaweza kutambua kirusi au uwepo wa kirusi chenyewe

njia ya pcr au polymerase chain reaction inatumika kupima na kuona kirusi chenyewe na kwa sababu ya gharama ni hospitali nilizozitaji ndio zinafanya njia hiyo ingawa mpango wa serikali ni kutumia njia hiyo kwenye hospitali zote za wilaya
there is a lot of science here na unahitaji muda mrefu kusoma na kuelewa. ninaweza kusema in short ni kwamba ukimwi upo na virus vya HIV vinasababisha AIDs
 
Duh! Kwaiyo mkuu hawa wanao tupima huku mitaani hawavioni virusi mpaka hospitali kubwa mfano muhimbili bugando?
 


1. Jifunze uandishi mzuri ili msomaji akuelewe.

2. Ahsante kwa ufafanuzi.

-Kaveli-
 
Nakiona kifo tayari... kuna watu wanaonge sijapata kuona aiseeee Yangu macho make nahitaji kujifunza zaidi Na kuelewa so siwezi changia chichote zaid ya kuwapa moyo wale wote wanao jitahidi kutu patia Articles zenye kutujenga.... ila kuna point nimesikia kama ukimwi haupo duuu.... nasubiri mwisho wa hii thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…