Kwa swali a) sijalielewa but nitakupa jibu mtambuka.
Kuna vipimo vingi vya HIV, kuna ya kumpima virus RNA kabisa, mfano ni hicho cha kufanyia viral load. Hata hizo za antigen/antibody zipo tofauti tofauti. So Kama ni kipimo cha antibody, ni lazima mwili utengeneze antibody ili kipimo kijue kuwa unao. Ndio maana window period kuwepo, kipindi ambapo mwenye maambukizi anaonekana negative. Sababu ni Kwamba muda huo antibody haijafikia detectable level.
If you want to isolate virus then you will be forced to use another machine inayofanya PCR, hii hudetect RNA za virusi kwa process ndefu kidogo stepwise.