uko sawa kabisa, kwnza ukumbuke tunachomkcredit mullis ni mchango wake kwenye pcr technique, pcr technique kama ilivyo haina uhusiano wa moja kwa moja na kuona HIV tu. pcr is for amplifying a specific segment of a gene or DNA sequence. hakuwa peke yake na hii technique ilianza kabla ya carl mullis....
......pia koch's postulate ya disease inahusika na imekuwa proven beyond doubt kuwa HIV is the sore cause of HIV na mimi nimeona na sio kuambiwa.... hapo ndo umedanganya mchana kweupe kabisa..
Nijibu maswali yangu hapa tafadhali..
1. Inakuwa vipi inapotokea hiv inaweza kuwa detected kutoka kwenye damu ya panya, nguruwe, mama mja mzito au mzee mwenye tezi dume?
2. Inakuwa vipi hiv anakuwa associated na magonjwa yapatayo 30 or more?
3. Ni lini hiv alishakuwa 'isolated' na genome yake ikasasambuliwa? Ni journal gani, volume gani na issue gani iliwahi ku report hiyo study?
Issue ya Thabo Mbeki ilikuwa valid na bado maswali yake kwa hiv proponents ni valid hadi leo.. unafaham figisu alizopigwa hadi akaondolewa kwenye urais? Unashindwa kuelewa logic ndogo kuwa hiv ni conspiracy.. ambayo msingi wake ni pesa.. watu wanaoelewa dunia wako bize kutafuta pesa.. na wanafahamu pesa ilipo.
Pesa iko kwa wajinga.. na wajinga ndio hupigwa. Jamii za kijinga hazina mbinu wala concept ya kufanya utafiti unaofanya kazi ( research that works) kuweza kutatua changamoto za kiafya katika jamii husika.
Opportunists mara nyingi hutumia fursa hizo kujipatia pesa baada ya kutwist kidogo ukweli. Maana wanajuwa wazi kuwa itaichukuwa jamii ya wajinga miaka hadi 50 kung'amua ukweli. Issue ya hiv haina utofauti. Mfano.. the whole of African continent is sick .. and really sick. Why? Because the continent is undernourished and malnourished.
Wajanja ili wapate pesa na baada ya kuona desparation iliyopo katika population wakaibuka na issue ya hiv (fake) badala ya ku address the MOTHER OF ALL DISEASES.. nutrition. Africa itaendelea kuwa the most diseased contintent until tutakapojifunza somo moja.. kurudi Eden.. produce African.. eat African, drink African. Tukifikia hapo.. hiv money zitakoma maana nchi haitatoa pesa tena kununua killer arvs and condoms..
NB: sina maslahi yoyote katika sakata la hiv.. ikiwemo maslahi ya kibiashara au vinginevyo, ispokuwa kutoa ufunuo sahihi kwa jamii yangu ili ifahamu ukweli na iuishi ukweli huo.
Tuendelee kujadili..