V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Kwa swali a) sijalielewa but nitakupa jibu mtambuka.
Kuna vipimo vingi vya HIV, kuna ya kumpima virus RNA kabisa, mfano ni hicho cha kufanyia viral load. Hata hizo za antigen/antibody zipo tofauti tofauti. So Kama ni kipimo cha antibody, ni lazima mwili utengeneze antibody ili kipimo kijue kuwa unao. Ndio maana window period kuwepo, kipindi ambapo mwenye maambukizi anaonekana negative. Sababu ni Kwamba muda huo antibody haijafikia detectable level.
If you want to isolate virus then you will be forced to use another machine inayofanya PCR, hii hudetect RNA za virusi kwa process ndefu kidogo stepwise.
 
For qn f) nitakuelekeza kwa kifupi.
Kipimo Hutoa majibu ya virus copies per certain milliliter of blood, it's an estimate of viral copies in each milliliter of blood. Not each virus copy is counted individually.
Now each virus ana sequence yake, na structure yake, so itatafuta sequence ya HIV virus tuu. Kuna aina nyingi za virus DNA viruses, RNA viruses, na hata hao DNA and RNA kuna wenye strand 2 na wenye strand moja. Each virus ana sequence yake. Na huyo HIV anapopimwa anapitia steps kibao ambapo utapata copy ya HIV tuu in the end.
It's kind of complicated but you can ask kama hujaelewa sehemu
 
Bado jibu haliridhishi hata kidogo.. kama virus ya hiv haijawahi kuwa isolated.. una ushahidi gani kama RNA kutokana na PCR ni ya virus? Cell zote za viumbe hai ziko na RNAs, including cells za binadam..huu ni uongo mwingine ambao hauna hata chembe ya logic..
Kajipange upya
 

Usijifiche kwenye complexity ya process.. elezea step by step.. maana hapo lazima tu utabambwa..

So far genome ya hiv haijulikani.. na hata protocol ya kufanya isolation na purification haipo. Ikiwa virus wa polio walipogundulika waliweza kuwafanyia utambuzi na isolation na purification na hatimaye ikatafitiwa chanjo.. tatizo ni nini hadi hiv asifanyiwe kama polio? Halafu viruses kama walivyo pathogens wengine.. lazima wasababishe specific ailment.. unakuwa hujatumia logic kudanganya ukisema hiv anasababisha magonjwa 29+.. magonjwa ambayo kwanza yamekuwepo enzi na enzi hata kabla ya hiv kujulikana..

Njii hii buana!
 
Me wazaz wangu wote walikufa na HIV aids afu tena kwa kuteseka ile miaka ya tisini, alafu leo mnasema ni "hoax".....mwanichanganya!!!!!!
Ndo hivyo.. ni hoax.. pole sana mkuu kwa kufiwa na wazazi. Unaweza kueleza specific ni ugonjwa upi uliwaua? Hapa namaanisha magonjwa kama diarrhea.. TB.. malaria or diabetes au cancer?

Ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kwamba mwili wa binadam ukishambuliwa na ugonjwa, basi mwili wenyewe hutokeza viashiria (markers) kuwa kuna tatizo. Katika hali ya kushambuliwa kwa mwili.. mtu anaenda hospital.. badala ya kupima specific ailment wanapima hiv.. kwa hiyo tatizo ka msingi linakuwa misdiagnosed.. anapewa arv badala ya dawa ya tatizo husika. Eventually huyo victim lazima aage dunia.

Siyo siri kwamba mifumo ya huduma za afya ili collapse hadi mwisho kwa nchi hizi maskini maana bill ya afya ilizidi mapato ya nchi na mwananchi mmoja mmoja. Magonjwa mengi tena ya kutisha yakakosa wataalam, vifaa tiba, elimu na dawa stahiki..tena kwa muda mrefu kwa hiyo miaka ya tisini ndo impact ikaanza kuonekana wazi. Kufa kufaana ndo maana wajanja wakaingilia kati kupiga pesa.. na walipiga kweli kweli
 

I said sequence and who told you it cannot be isolated alikudanganya. It is not stable when isolated
 
Pole sana mkuu kwa hiyo sintofaham. Yaani ni hatari sana. Ona sasa wameshamuumiza mama wa watu na ma arvs. Na bado kuna wapuuzi wanaendeleza uharamia wa kudai hiv is real ili kuendelea kutesa watu. Kiukweli mtu ukiambiwa una hiv lazima ufe kwa kihoro.. lazima ukate tamaa ya kuishi.. na lazima upate msongo wa mawazo maana unajihisi uko peke yako humu duniani. Mwishowe hata uchumi wako unayumba.

Kama panya, nguruwe, mjamzito, mtoto, na mzee wa miaka 80 wakipimwa kipimo kinaweza kusema vyote hivyo vina hiv.. kwa nini tusiseme story ya hiv ni hoax?
 
I said sequence and who told you it cannot be isolated alikudanganya. It is not stable when isolated
Hahaaa.. it has never been isolated.. and so there is no evidence of its genome whatsoever.. your theory remains a myth..

Sorry
 
Sequence ya RNA ya virus na normal RNA ni tofauti
Hiyo research ulifanyia wapi? Weka paper uliyo publish ikitueleza utafiti wako hapa.. else ni porojo za kusimuliwa
 
Hahaaa.. ukitaka kufaham story nzima ni vema ukajuwa biochemistry angalau ya level ya MSc. Vinginevyo utaishia kutwambia western blot na blaa blaa kama hizo
 

Unajua Maana ya undetectable level of HIV?
Nadhani Tuanzie hapo
 
Uliwadanganya wenzio kinoma noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…