V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Sio kwamba Vifaa vya Upimaji havina uwezo wa kumuona virus or bacteria or vijidudu vingine, LA hasha, ila soma hapa chini ujue sababu ya kupima antibodies instead.
1. Virus, bacteria na vijidudu vingine vya magonjwa, vingi ni very microscopic (haviwezi kuonekana kwa macho).

2. Hata vikionekana kwa darubini, bado hauwezi kujua utofauti wa umbo kwa uhakika kwani baadhi hukaribiana kufanana.

Hivyo basi ili kuondoa uwezekano wa kubahatisha, watalaamu hujikita zaidi kupima behaviour ya antibodies zinapokuwa exposed to either virus or bacteria.

Ikumbukwe kwamba antibodies huwa ni zile zile kwa kila aina ya vijidudu (mf virus na bacteria), kinachotofautisha ni namna antibodies hizo zinavyo react kwa kila aina ya vijidudu. Hivyo wataalamu huelekeza nguvu nyingi sana kwenye kupima "how the antibodies react towards the virus in question" kuliko "how the virus look like" ili kuwa na uhakika zaidi na kutoa diagnosis ya uhakika zaidi pasipo kubahatisha a.k.a kuugeuza mwili wako laboratory.

Kama haujanielewa niulize swali.
 
shida yetu ni moja hatutaki kusoma in line na kuelewa. soma kwa makini na utaelewa na pia ukisoma article niliyokutumia mara ya kwanza utajua kuwa tulikuwa na HIV kabla hata yakugundulika.
hii ndio inayowafanya watu waache kwenda kupata tiba hspitalini kuacha kutumia kinga kwakuwasikiliza watu kama hawa. hawachelewi kusema wanatibu kisukari, grave's disease na mengine mengi kwa mayai ya kware.
mtu anakuja tu kuleta uongo na umbea bila utafiti wa aina yoyote.ndio maana nilisema akiendelea hivi anaweza kuwa mpiga ramli baadaye. maarifa hujengwa na tafiti makini. katika utafiti hatuangalii tu tunachopenda kiwa, tunaangalia ukweli ukoje baada ya kutumia njia sahihi
nilikwambili kuhusu HINARI, PUBMED na WHO maana hao ndio wasemaji wakuu wa tafiti zinahusu afya ya binadamu. WHO ndio controller wa mwisho kwenye hizi tafiti zote. HINARI na PUBMEd utaona watafiti walivyofanya na kuweza kuisolate na kupata pure isolates za hao virus.
ukimwi sio hadithi au myth. upo, unaambukiza na unaweza kuzuilika.
kuhusu ARV zinaleta faida kubwa na wengi wamesaudika na hizi dawa na nashauri hata wewe uanze kutumia kama umepimwa una ukimwi. kila dawa ina side effects. shida ya ARV zina madhara kwenye figo na ini na ndio maana mtu anapoanza lazima awe chini ya uangalizi wa madaktari na maabara ili kuona kama ina na figo havizruiki na kuweza kudhibti madhara

narudia tena kukupa ushauri wa bureeee. soma article ya hapo juu na kama ni kubwa soma hii hapa na kama hujaelewa nitafute kwenye simu au karibu in vitro maabara mbezi ya kimara na hata muhimbili unawea kuja tu ili mradi upate elimu stahiki na uwe balozi mzuri wa kuokoa vijana hata kama wewe umeathirika na huamini majibu

Laboratory Diagnosis
Evidence of infection by HIV can be detected in three ways:
(1) virus isolation,
(2) serologic determination of antiviral antibodies, and
(3) measurement of viral nucleic acid or antigens.
Virus Isolation
HIV can be cultured from lymphocytes in peripheral blood (and occasionally from specimens from other sites). The numbers of circulating infected cells vary with the stage of disease (Figure 44–5). Higher titers of virus are found in the plasma and in peripheral blood cells of patients with AIDS as compared with asymptomatic individuals. The magnitude of plasma viremia appears to be a better correlate of the clinical stage of HIV infection than the presence of any antibodies (Figure 44–7). The most sensitive virus isolation technique is to cocultivate the test sample with uninfected, mitogen-stimulated peripheral blood mononuclear cells. Primary isolates of HIV grow very slowly compared with laboratory-adapted strains. Viral growth is detected by testing culture supernatant fluids after about 7–14 days for viral reverse transcriptase activity or for virus-specific antigens (p24).
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: font11"]Pattern of HIV antibody responses related to the course of HIV infection. (PBL, peripheral blood lymphocytes; CTL, cytotoxic T lymphocytes.)
(Reproduced, with permission, from Weiss RA: How does HIV cause AIDS? Science 1993;260:1273.)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The vast majority of HIV-1 antibody-positive persons will have virus that can be cultured from their blood cells. However, virus isolation techniques are time-consuming and laborious and are limited to research studies. PCR amplification techniques are more commonly used for detection of virus in clinical specimens.
Serology
Test kits are commercially available for measuring antibodies by enzyme-linked immunoassay (EIA). If properly performed, these tests have a sensitivity and specificity exceeding 98%. When EIA-based antibody tests are used for screening populations with a low prevalence of HIV infections (eg, blood donors), a positive test in a serum sample must be confirmed by a repeat test. If the repeat EIA test is reactive, a confirmation test is performed to rule out false-positive EIA results. The most widely used confirmation assay is the Western blot technique, in which antibodies to HIV proteins of specific molecular weights can be detected. Antibodies to viral core protein p24 or envelope glycoproteins gp41, gp120, or gp160 are most commonly detected.
The response pattern against specific viral antigens changes over time as patients progress to AIDS. Antibodies to the envelope glycoproteins (gp41, gp120, gp160) are maintained, but those directed against the Gag proteins (p17, p24, p55) decline. The decline of anti-p24 may herald the beginning of clinical signs and other immunologic markers of progression (Figure 44–7).
Simple, rapid tests for detecting HIV antibodies are available for use in laboratories ill-equipped to perform EIA tests and in settings where test results are desired with little delay. The simple tests can be performed on blood or oral fluid and are based on principles such as particle agglutination or immunodot reactions. The most recent developments are rapid tests that can detect HIV antibodies in whole blood specimens that require no processing. These tests can be performed outside the traditional laboratory setting.
Home testing kits are available. The procedure involves placing drops of blood from a finger prick on a specially treated card. The card is then mailed to a licensed laboratory for testing.
The mean time to seroconversion after HIV infection is 3–4 weeks. Most individuals will have detectable antibodies within 6–12 weeks after infection, whereas virtually all will be positive within 6 months. HIV infection for longer than 6 months without a detectable antibody response is very uncommon.
Detection of Viral Nucleic Acid or Antigens
Amplification assays such as the RT-PCR, DNA PCR, and bDNA tests are commonly used to detect viral RNA in clinical specimens. The RT-PCR assay uses an enzymatic method to amplify HIV RNA; the bDNA assay amplifies viral RNA by sequential oligonucleotide hybridization steps. The tests can be quantitative when reference standards are used; appropriate positive and negative controls must be included with each test. These molecular-based tests are very sensitive and form the basis for plasma viral load determinations. HIV sequence heterogeneity may limit the sensitivity of these assays to detect HIV infections. The HIV RNA levels are important predictive markers of disease progression and valuable tools with which to monitor the effectiveness of antiviral therapies.
Early diagnosis of HIV infection in infants born to infected mothers can be accomplished using plasma HIV-1 RNA tests. The presence of maternal antibodies makes serologic tests uninformative.
Low levels of circulating HIV-1 p24 antigen can be detected in the plasma by EIA soon after infection. The antigen often becomes undetectable after antibodies develop (because the p24 protein is complexed with p24 antibodies) but may reappear late in the course of infection, indicating a poor prognosis.

nakuomba tena nakusihi usidanganye umma maana haya mambo yanaweza kumpata ndugu yako, mwanao, na wewe mwenyewe. usiwadanganye watu kabisa na nakuwa na wasi wasi kuwa wanawake wote unaotoka nao hutumii kinga maana huamini kama tatizo lipo na kama una HIV tayari unaendelea kuambukiza watu.
nashauri serikali kuwaangalia sana watu kama nyie maana mnauwa taifa na krudisha nyuma jitihada zote za kukabiliana na ukimwi na vvu
 

Naona unajaribu kunichallenge kwa hoja nyepesi. Hapa tunaongelea ukimwi unaosababishwa na virus vya HIV. Hii ndiyo basis ya discussion yetu. Na hata tukiongelea vipimo ni vile vinavyoweza kutambua uwepo wa virus huyu kwenye damu. Ndio maana correct term ni HIV - AIDS. Kwa hyo kwenye post zangu ukikuta nimeandika ukimwi, specifically nazungumzia HIV - AIDS, sio upungufu wa kinga wa aina nyingine yoyote.
Pia, umetoa mfano wa TB na uambukizaji wake. Swali, wawili wenye kinga ndogo ya mwili (Lakini hawana HIV mwilini) na dalili sawa za TB, wakienda kupima na vipimo vikaonyesha Wana active TB infection, wataambiwa Wana TB au ukimwi? (kwa maana ya HIV-AIDS)
. Sijui umeelewa concept behind hii scenario niliyokupa, kuhusu diagnosis??!
Finally, hoja zako ume-raise kutokana na utafiti ama hoja ya watu wachache sana. Wanasayansi unao-refer wewe basically ni wawili ama watatu. Pia, ktk medical scientific community hoja hizi hazija-gain acceptance na support, both kinadharia na statistically.

Science, and specifically medical science is a very broad field. Kila siku kuna new findings na inventions zinazoendelea kusaidia towards the perfection of the art and science of Medicine katika kusaidia kuimprove afya za watu.

Hakuna kitu kibaya kama conspiracy theories, hasa unapokuwa unaongelea kitu sensitive kama afya na uhai wa watu. Narudia, kila mtu ana fani yake. You have the right to argue ila shida huna msingi wa human medicine, uelewa wangu na wako ni tofauti sana. Ninaposema HIV ni kubwa kwako niko serious, don't just give-in to your ego. Hebu basi Anza ku-apply hizi theories zako kwa ndugu zako na watu wako wa karibu,, kabla hujafikia hatua ya kujaribu kuwaangamiza wengi waliomo humu. Have sympathy kidogo.

Ishu kwamba sijui ulijichoma damu sio kweli, wewe hujafikia kuwa mwendawazimu kiasi hiko!! Au labda ni mwendawazimu? Unajua magonjwa mangapi unaweza kupata kwa kufanya stupid move kama hyo? Au na hayo magonjwa ni hoax, hayapo? Unachojaribu kufanya ni kutafuta credibility, hata kwa kusema uongo ulio dhahiri ikibidi.

Usicheze na maisha ya watu, you are no scientist. Unang'ang'ania kwamba elimu zetu tumekaririshwa kutoka "magharibi", kwani wewe reference zako unafanya kutoka wapi?
 



Mkuu hakuna ambaye anasema UKIMWI haupo. Upungufu Wa Kinga Mwilini (UKIMWI) upo ila sababu ya UKIMWI si HIV. Hapo ndiyo turning point.
 
zipi aina nyingi za ukimwi. ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini.
ukimwi unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine

hapa maada kubwa kubwa sio upungufu wa kinga maada kubwa ni HIV ambayo inasababisha upungufu wa kinga kwa asilimia 98 ya wangonjwa wote wenye upungufu wa kinga.
kiingereza kimetofautisha vizuri sana haya. upungufu wa kinga mwilini unasababushwa na vvu huitwa acquired immono-deficiency syndromes na upungufu wa kinga wa kawaida nje ya ukimwi huitwa immuno defficiency. pia kwenye vitabu vingi immuno defficiency inajitegemea kama topic na haiunganishwi na AIDS
 

Mkuu ukiwa maabara ushawahi muona huyo virus kwenye hizo darubini zenu kama mnavyofanya kwa maralia??
 
mimi nimeshatoa facts, kuna mtu kaelezea human T lymphocyte virus. ushauri wangu kwa mtu huyu ni mmoja tu. nenda kasome stages katika kugundua kitu hasa inapokuja kwa medical research. human T lymphocyte virus wapo na pia wanasababishaupungufu wakinga mwilini na ukisoma immuno defficiecyutakuta jinsi wanavyofanya mpaka kufikia huko.
jamaa alikuwa sahihi kuchanganya HVI Na HTLV kwa sababu end effect inakuwa sawa. pia hata ugonjwa wa ukimwi kabla haujagunduliwa marekani walikuwa wanauchanganya na ugnjwa unasababishwa na fungus. hizo zote ni stages katika medical research. mwisho wa siku walikuja kukubalia kwa ujumla na ukweli wa kisayansi kwamba HIV hayuko sawa na HTLV ingawa end effect inaweza kuwa sawa

pia sikushauri kuwakashfu medical doctors kuwa wanafikiria ndani ya box. wewe ndiye unaye jifanya unajua wakati umelishwa uongo kabisa. kama unataka maarifa njoo uonane na wataalam, mshauriane na sio kueneza uonga na upotoshaji. kwa namna hii bora sheria ya mitandao ifanye kazi yake maana unawapoteza vijana wanaoobalehe waamini HIV haipo
 

Hayo ni matokeo ya utafiti mwaka 84, with a very small sample size, pia ni wakati ambapo concept ya HIV aids ndio ilikuwa ktk it's infancy!! Same applies to all other diseases, ila conspirators mnakomaa na HIV tu. utalinganisha na leo ambapo medicine is so advanced in terms of research na vipimo? Lete matokeo ya tafiti za wakati huu wa modern hiv era tutaelewana. Endelea kuota
 

Okey, Asante sana Mkuu nimekuelewa, kwasasa nipo Safarini nategemea jumanne nirudi Dar basi nitakapofika nitakujulisha.
 
Habari wana Jf,
Nimesoma mengi sana hapa na nlishasikia mengi juu ya concept hii ya HIV/AIDS
Niko na swali moja japo mim si mtaalam hata kidogo juu ya mambo haya magonjwa na tiba
Qn Je kama mtu mwenye Ukimwi akipewa tiba ya magonjwa hayo nyemelezi(Yanavyoitwa japo naanza pata shaka) pekee pasipo kupewa ARV then focus ikabaki kwenye kumpa mgonjwa virutubisho asili kwa ajili ya kupandisha kinga, hili haliwez kuwa suruhisho mbadala kuliko kuwatesa watu na hizi ARV?
 



Mkuu mkuyati OG naaomba unisaidie kidogo, unasema hapa tunaongelea ukimwi unaosababishwa na virus vya HIV. Inamaana unakubali kuna aina ya UKIMWI ambao unasabishwa na factors nyinginezo. Sasa swali linakuja kwanini hizo factors hazipewi uzito na hazizungumzwi, tunaishia kuiblame HIV?

Tests results za Robert Gallo mwaka 1984 zilionyesha hivi;
"Only 44 of 93 AIDS patients tested had the virus (LESS THAN HALF) "
Reference on: Science Vol.224 May 4, 1984

Sasa ukitazama hiyo result ya Gallo hapo inaonesha kwamba kati ya wagonjwa 93 wa UKIMWI ambao walikuwa tested ni wagonjwa 44 tu walikutwa na HIV.

Sasa swali linakuja, wagonjwa 49 waliobaki ambao hawakuwa na HIV kitu gani ambacho kilisababisha ukimwi kwao?
Na kama HIV ndiyo major role kwenye kusababisha UKIMWI, kwanini hao wagonjwa 49 waliobaki hawakuwa na hiyo HIV?
Na kwanini wali conclude kwamba sababu ya UKIMWI ni HIV hali ya kuwa zaidi ya nusu ya wagonjwa ambao walikuwa tested hawakuwa na hiyo HIV?

Pili unapaswa kufahamu kwamba nadharia ya HIV/AIDS imejengwa kuondoa dhana ya kwamba hakuna UKIMWI bila HIV.

Umeuliza Swali, wawili wenye kinga ndogo ya mwili (Lakini hawana HIV mwilini) na dalili sawa za TB, wakienda kupima wataambiwa Wana TB au ukimwi? (kwa maana ya HIV-AIDS).

Kutokana na swali lako hao watu wataambiwa wana TB tu. Kwasababu tafsiri ya UKIMWI kutokana na kituo cha kudhibiti magonjwa marekani(CDC) ni kama ifuatavyo;

  • Kaposi sarkoma + HIV = UKIMWI
  • kaposi sarkoma – VVU = kaposi sarkoma
  • Pneumonia + HIV = UKIMWI
  • Pneumonia – VVU = Pneumonia
  • Dementia (matatizo ya akili) + HIV = UKIMWI
  • Dementia – VVU = Dementia
  • Chembechembe chini ya 200 za seli CD4 + HIV = UKIMWI
  • Chembechembe chini ya 200 za seli CD4 – VVU = hakuna ugonjwa

Kwahiyo ili uonekane una UKIMWI lazima uwe HIV+ na dalili za moja ya hayo magonjwa au uwe na CD4 chini ya 200 pamoja na kuwa tested positive.



Pia Unasema Mkuu hapo ame raise hoja zake kutokana na utafiti wa watu wachache but ukweli huwa unabaki kuwa ukweli tu hata kama walio wengi wakiupinga au kuupindisha au kuuficha from the public.

Dunia inaamini World Trade Center (WTC) ilipigwa na magaidi, lakini si kweli ila kwasababu waliyoipiga ndiyo wameshika media kwenye huu ulimwengu, wameugeuza ukweli na dunia imeamini.

So the truth will stand forever, no matter what.

Dr.Charles Thomasa, Former Harvad Proffesor katika masuala ya baiolojia akishirikiana na scientists wengine walikusanya signatures zaidi ya 100 za scientist mbalimbali kwa mara ya kwanza miaka ya 90 na kuandaa Reappraisal Letter wakiomba independent group of researchers kuprove hii nadharia ya HIV/AIDS walikataliwa, sasa swali linakuja kama tunataka kusolve problema kwanini tunaogopa kuwapa nafasi Denialist???

Ni kweli katika medical scientific community hoja hizi hazija gain acceptance na support kama unavyosema, hili ni kweli na ni kwasababu ya political economic power of the AIDS industry. Hawa watu wameshika media ya ulimwengu na wamefanikiwa kuiaminisha dunia juu ya hii ya nadharia ya kitapeli ya HIV/AIDS.

Ni ukweli uliowazi watu wame invest billions of dollors katika viwanda vya blood test kit, condoms na ARVS, na hapa ndiyo turning point, watu wanaogopa kuharibiwa biashara zao tu.
 

Mkuu tatizo la wengi wetu hatupendi kusoma, so ukimuwekea mtu maandishi hapa ili aelewe vizuri utaambiwa umecopy bandiko refu lisilo na tija!! Nobody wants to read and understand, kila mtu anataka urahisi tu,, wanataka visentensi viwili vitatu ambavyo havina depth kama anavyotoa deception. Nasema tena, HIV ni kubwa sana,, ni ngumu kudiscuss kwa mfumo wa "kuchat" tunaoufanya humu.. Na hamtaielewa bado science yake in depth maana unahitaji base ya sayansi ya afya ya mwili kung'amua kilichopo.

Yaani mtu anakurupuka tu kusema ARV zimesababisha kisukari na kansa, Bila hata kumuona mgonjwa mwenyewe na kupata vipimo. Je kama sukari na kansa vilikuwepo toka mwanzo kabla hajaanza ARV? Ni sayansi gani namna hii kama sio ramli? Sasa hapo nani amekariri??
 

Mkuu mkuyati og na pakamwam naomba mnisaidie katika bandiko langu hilo hapo juu, je nini kifanyike ili kuweza kuokoa maisha ya huyu ndugu yangu. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.Asanteni sana
 
Last edited by a moderator:

Unakiri kuwa medicine ime advance, why 31 years hiyo medicine iliyo advance imeshindwa kuja na vaccine au antibiotics kwa zaidi ya hiyo miongo 3?

Ukitrace history ya medicine magonjwa yote ambayo yalikuwa ni viral epidemiology na ambayo yalikuwa infectious yamekuwa controlled na vaccine na antibiotics tu, why AIDS?.

UKIMWI hausababishwi na kirusi na wala hauambukizwi, thats all. So HIV/AIDS resrarchers wanapiga wrong target na ndiyo maana wamekosa solution kwa zaidi ya miongo 3 sasa. Huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.

Yes! acha niote tu. We endelea kuthink kwa niaba ya watu wa marekani.
 



Kaka, antibody ziko specific for a certain infection...yaani kwa maana kila ugonjwa unakuwa na antibody specific to it..specific antibody to HIV ni tofauti sana na specific antibody to other viral infections


Mkuu tajirijasiri,

Hapo kwenye BLUE: Maelezo yako ni kama yanaelekea ku-affirm jambo fulani japo umekuwa 'vuguvugu' hivi. Je are you trying to conclude kwamba 'HAIWEZEKANI' kuvipima virusi by isolation (kuviona kabsa kwa kipimo) due to those factors ulizozitaja??

Hapo kwenye RED: Kuhusu ANTIBODIES, ebu angalia hizo quotes za watalaamu wenzio ( mkuyati og, diclofenac, multikasuku, ngota wa nzambe). Wao wanasema kwamba ANTIBODIES do differ in types & functions kwa kila aina ya infection mwilini, i.e. kila infection inapata antibodies wa aina yake!

Wewe unasema ANTIBODIES ni zile zile (one/same type) kwa kila aina ya infection, but 'reaction/behaviour' ndo hutofautiana per infection.

Mkuu tajirijasiri, hapo nishike lipi, niache lipi ???

Naona mkanganyiko unaendelea from learned brothers. Anyway, ngoja tuendelee kujifunza haya mambo. Nimeanza kupata knowledge kubwa sana kwenye huu mjadala.
 
Last edited by a moderator:

Huwa nasema mara nyingi kwamba,ili watu wajue ukweli huu inabidi wawe na uelewa wa mambo makuu 4 ambayo uongo wa HIV/AIDS umejikita.Kati ya mambo hayo 4 mojawapo ni historia ya HIV/AIDS.

Wewe umeelezea vizuri sana kipande cha historia hiyo,na haya ndio mambo ambayo watu hawayajui na ndio maana watu wanakuwa wagumu sana kuelewa.Ma MD wengi wamejifungia na notes zao za darasani,hawataki kabisa kusoma nje ya notes na majarida yao,kweli huwezi kumfundisha mtu kuwa na uwezo wa kufikiri,uwezo wa kufikiri unakuja wenyewe tu 'automatically'.

Safi sana mkuu kwa kazi hii.
 
Wewe sio wa kwanza kuwa ktk denial, we nako walianza zamani. Pia, acha uongo kwamba ulijidunga damu ya mtu positive, face it bro,, you don't have the guts!!

Mwanzo ulimjibu vizuri hadi nikapenda, nikasema Mzee Deception leo kapata size wake. Sasa umeharibu. Nilitegemea umpinge huyo mgunduzi wa hiyo PCR au useme hiyo youtube ni fake au sababu zingine za kisayansi.
Anyway kwa vile nyie madaktari wetu mmeshindwa mimi nitabaki na msimamo kuwa kuna kitu NOT YET KNOWN TO SCIENCE kinatusababishia UKIMWI. Hata nikiita pepo la UKIMWI sawa tu, maana limeua ndugu zangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…