Mkuu hizo definition zimekuwa zikichange several times ili kucheza na mind za watu wasoijua science ili kuficha utapeli wao. Definition yao ya kwanza wame publish 1982.
Ok! Tembelea hapa; uone hii
AIDS, Case Definition of - TheBody.com
Pili , Sasa huo muda unaosema ambao virus anafanya mambo yake na kushusha kinga ya mwili ndiyo umebase kwenye imagination zaidi kuliko scientific fact. Yaani miaka inavyozidi kusogea na hiyo duration time na incubation period inaongezeka pia, leo unaweza kuwa na HIV na ukaishi miaka 30 mbele. Huu ni ulaghai na ku buy time tu, nothing more.
Wewe ni medical expert, kipindi ambacho virus anahitaji kujidurufu na kufanya infection huwa akizidi mwezi, why mtu awe infected 1990 aje kuugua Ukimwi mwaka 2015?
Kama HIV ingekuwa ina play role kusababisha ukimwi ilipaswa dalili za ugonjwa zianze kuonekana ndani ya siku kadhaa, juma au kipindi kisichozidi mwezi. Na hiyo ndiyo fact ya kisayansi ambayo imekuwepo kwa karne na karne, sasa why hii fact ipinduliwe juu chini kwenye ugonjwa wa ukimwi au ndiyo Advanced Science hiyo unayosema?
Tatu, naona unaenda kwenye imagination zaidi kuliko scientific fact, wewe unaangalia uhusuano (correlation ) kati ya HIV na wagonjwa wa ukimwi, uhusiano (correlation) hauwezi kuwa kithibitisho cha usababisho (causation).
Kuwepo kwa HIV kwa waathirika wa UKIMWI si uthibitisho tena kuwa HIV ni sababu ya UKIMWI. Kuna scientific paper nyingi zimeandikwa, hakuna hata scientific document ambayo inathibitisha kwamba HIV is the cause of AIDS na jinsi gani inabreak down mfumo mzima wa kinga ya binadamu . Hakuna document kama hiyo.
Hivyo mahusiano kati ya HIV na AIDS hayako proved scientifically. Na ndiyo maana wakina Peter Duesberg waliomba independent group of researchers kuprove hiyo hypothesis ila walikataliwa bila kuwa na sababu za msingi.
Sasa swali linakuja hawa ambao hawana HIV na lakini wana dalili za ugonjwa wa UKIMWI , ukimwi kwao umesababishwa na kitu gani?? Hapa ndiyo tunapoona tofauti ya UKIMWI kati ya AFRIKA na nchi za magharibi.
Ukimwi hausabishwi na kirusi na wala hauambukizwi na ndiyo maana hata statistics za huu ugonjwa ziko tofauti sana kati ya Afrika na nchi zilizoendelea.
Ugonjwa ambao unasabishwa na virus na ambao hunaambukizwa huwa unasaamba kwa kiwango kinachowiana duniani kote kuanzia katika upande wa kijiografia mpaka jinsia. But UKIMWI haupo hivyo kwenye hii dunia. Na ndiyo maana kuna waafrika wanaamini wazungu wameleta UKIMWI kuwaangamiza watu weusi, kwasababu huu ugonjwa unawaangamiza waafrika kuliko watu wa bara lolote kwenye hii dunia.
Mwisho, Kwahiyo ukweli usingumzwe kwasababu ya kurudisha mapambano ya HIV nyuma?
Ni watu wangapi wemepoteza maisha kwasababu ya Misdiagnosis? Watu hawawezi kukaa kimya dhidi huu uhalifu
.haya ni mauaji ya kukusudia.