V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Mkuu experience yangu na ugonjwa huu kwanza inategemea natural immune system ya mtu.
1. Kuna wanaokaa na ugonjwa miaka kumi baada ya maambukizi ndiyo wanapata dalili zinazopelekea kupima na kuanza dawa

2. Kuna wanaona za kupata dalili miezi mitatu - sita baada ya maambukizi.

Wote huwa na dalili za kujisikia uchovu CD4 zinavyoshuka na afya ina inatoka walianza ARV's

Kuna maendeleo makubwa sana katika tiba ya HIV lakini wataalamu wanasema hata dawa ikipatikana kuna ambae immune system haitakaa I rudi kama ilivyokuwa.
Uko shallow sana kama nchi inajivunia kuwa na mtaalamu kama wewe kwenye sekta ya afya tumeliwa
 
Ivi dada angu ni kweli ukitumia mate katika kipimo cha H I V kama (buffer) ni kweli yanaweza kutoa jibu sahihi maana kuna sehemu nimeona?
Virus vinahesabika kwa wings kwenye damu na sperms. Mate labda kipimo kiwe advance sana
 
Ivi dada angu ni kweli ukitumia mate katika kipimo cha H I V kama (buffer) ni kweli yanaweza kutoa jibu sahihi maana kuna sehemu nimeona?

Mkuu mate kama buffer really? Sidhani hata hiyo test kama inaweza kutembea kwenye ile test kit,

Halafu kwanini utumie mate sababu hasa ni nini?

Walau ungesema utumie hata maji

Lakini angalizo usitimie buffer tofauti na ile uliyoikuta ndani ya box
 
Mkuu mate kama buffer really? Sidhani hata hiyo test kama inaweza kutembea kwenye ile test kit,

Halafu kwanini utumie mate sababu hasa ni nini?

Walau ungesema utumie hata maji

Lakini angalizo usitimie buffer tofauti na ile uliyoikuta ndani ya box
Kuna mtu aliandika hiki kitu kwenye hii hii page ndio nikataka uhakika.
 
Nilichogundua huu ugonjwa unatuua kwa kukosa maarifa tu na madaktari wetu hawa hawakijui hata nini wanafanya wamekariri tu.
 
Sasa we dada naona unatupiga kamba now maambukizi kwa ngono zembe ni michubuko hii ya sperms hii ebu elezea uzuri.
Semen carries free floating virus along side HIV infected leukocytes.
 
'There is no way to test for HIV'/Hakuna njia yoyote inayoweza kupima HIV.HIV jina ambalo watu wawili tu wamekaa na kuamua kulipachika kundi fulani la 'genetic materials' jina hilo.Mpaka sasa tunapozungumza,HIV hakuwahi kunyofolewa kutoka kwenye damu ya mtu yeyote yule(HIV has never been isolate/purified,I can rather say that HIV is a belief but not fact).

Kwa kuwa HIV hakuwahi kuonekana hivyo huwezi kupata kipimo chake,na ndio maana HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo.Baadhi ya hali hizo ni malaria,TB,Hepatitis,IV drug use,kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50,pia mimba huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo.Ndio maana nasema 'there is no way to test for HIV'.

Kitu kimoja ambacho watu wanaokumbatia HIV/AIDS hypothesis kinawapa jeuri ni kuhusu vipimo vyao feki ku detect antibodies ambazo wao wanasema ni specific kwa HIV.Lakini hawawezi kuelezea kwanini/kwa vipi hizo antibodies haziwezi kumkinga mtu dhidi ya huyo HIV(feki).

The basic fact in science/ukweli wa msingi kabisa usiopingika wa kisayansi:Kama mwili wako umetoa antibodies/kinga dhidi ya kirusi kwa mfano,basi mwili wako utakuwa tayari umeokolewa kutoka kwenye madhara ya kirusi hicho,huu ukweli hata mtoto wa shule ya msingi anaujua.Hakuna kirusi yoyote duniani ambaye amesababisha ugonjwa baada ya antibodies/kinga kujitokeza,virusi husababisha ugonjwa kabla ya kinga na si baada ya kinga,hii ndio sayansi ya kweli.Lakini ukweli huu wa kisayansi umekiukwa kabisa katika suala hili la HIV/AIDS.

Uki test antibody +ve maana yake tayari mwili umeshatoa kinga dhini ya vijidudu/virusi.Hivyo,huwezi kupata ugonjwa baada ya kinga kujitokeza kwa kuwa kinga hu neutralize virusi.Lakini kwenye HIV/AIDS unapo test HIV+ baada ya kushangilia na kupongezwa,unalia na kuitiwa washauri nasaha.Why would everybody get AIDS after antibody immunity?No body ever explained it,I say no body.NIH,CDC,WHO ca never explain it.

Antibodies is the basis of all vaccines,so why you are now in trouble after testing antibody +ve to HIV?

Pia kuhusu CD4 count na viral load.Mambo yote haya ni nonsence kama utaujua ukweli kuhusu HIV.Kwa kuwa HIV(feki) hasababishi AIDS,hivyo dhana nzima ya CD4 count na viral load inakosa maana.HIV(feki) haui CD4 cells kama inavyofahamika na wengi.Ndio maana kuna watu rundo mtaani hawatumii ARVs na wame test HIV+ zaidi ya miaka 10 iliyopita na wana CD4 za kutosha.

Unajua kama fikra za watu ziko kiimani zaidi,hata kama wataona kwa macho yao mambo yanayopingana na fikra zao si rahisi kukubalina nayo,sanasana watasema ni uchawi tu.Hizi fikra walizonazo wengi kuhusu suala la HIV/AIDS ni zao la kitengo cha MIND CONTROL cha inteligensia ya USA.Kitengo hiki pia ndicho kinachofanya wengi wajue kwamba Global warming husababishwa na hewa ya ukaa ilihali sivyo,wamarekani waliwahi kufika mwezini wakati si kweli,democracy is real but is not,bangi haramu wakati sivyo hivyo,cancer haina tiba wakati tiba ipo,na mambo mengine lukuki.

Mleta mada nakushukuru sana kwa kutuchokoza.
Mkuu kama unatumia pombe agiza captain morgan hapo nakuja kulipia.... Najiuliza tu hv hii Tanzania yetu inatambua nafasi za watu wenye uelewa mpana wa mambo kama we[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Big Up camanda kwa darasa hili
 
1.The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu...

Kama mimi napotosha watu,naomba uniambie kama mgunduzi wa kipimo mnachokitegemea ulichotaja hapo juu,yaani PCR kama na yeye anapotosha pia.Sikiliza kwa makini anachosema Profesa huyu kwenye link hapo chini halafu sema wapi amepotosha.Hii ni video iliyomrekodi Prof.Kary Bank Mullis yeye mwenyewe akizungumzia uongo tuliomezeshwa kuhusu HIV/AIDS,kumbuka kwamba huyu ni profesa wa biochemistry na Nobel prize winner baada ya ugunduzi wake na ana akili zake timamu wakati anasema maneno haya.Sasa sikiliza mwenyewe kwa makini hapa chini halafu tuambie wapi kapotosha;

....Nobel prize winner Kary Mullis challenges the AIDS myth.

2.Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....

SI KWELI.Kama unachosema ni kweli tuletee electromigraphs za huyo HIV kutoka popote pale duniani ambapo aliwahi kuonekana kwa njia hiyo.Labda wewe utakuwa unazungumzia cellular debris au typical type-C particles halafu umedanganyika kama ni HIV.Tuletee electromicrographs zake hapa ili wote tumuone huyo HIV anafananaje.Mimi nina hamu ya kumuona picha yake,maana nilikuwa nasikia hadithi zake tu tangu alipotangazwa mwaka 1984 na kale kawaziri kafupi pamoja na yule fisadi wa medical science Robert Gallo.

3.Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV....

SI KWELI.Kama ingekuwa kweli kusingekuwa na rundo la watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.Mimi nilijidunga kwa makusudi damu ya mtu alipima HIV+ lakini nina test HIV- hadi leo hii.Ukijua ukweli huu ni raha sana,mimi najua raha yake ndio maana nataka wengine pia wajue,sasa watu kama wewe aidha hamjui ukweli au hamtaki kujua ukweli kwa sababu za kimaslahi.Ukitaka tunaweza kuonana kwa siri halafu nijidunge damu inayosadikika ina huyo HIV,na nina uhakika 100% nita test negative,kama hujaelewa hapo basi utakuwa umeshindikana.

4.The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini...

Ungesema hivi; 'The deception about HIV ni kubwa kuliko uongo wowote katika sayansi kuwahi kutokea.'

5.Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee....

Ungesema hivi;'Uongo kuhusu HIV/AIDS ni serious case ambayo kila mtu anatakiwa ajifunge mkanda kujisomea/kudadisi ili ajikwamue kutoka kwenye uongo huu.'

Ukitaka kujua ukweli wa hiki ninachosema,basi msikilize MGUNDUZI ORIGINAL wa huyo HIV mnayemkumbatia anavyosema hapa chini.Sasa msikilize kwa makini Prof.Luc Montagnier ambaye ndiye mgunduzi wa huyo HIV anavyosema halafu tuambie kama kasema kweli au kapotosha.Hapa ndipo nitakapojua wewe ni mtu wa aina gani.

Sikiliza kwa makini kwenye link hii hapa chini;

....AIDS can be cured with proper nutrition-Prof Luc Montagnier.


6.Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu..

Hizi ndio fikra za walio wengi,kwamba kama mtu kasomea lugha basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu sheria,au kama kasomea sheria basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu medicine.Fani haina mwenyewe,yeyote anayetaka kujua na ana uwezo wa kujua jambo/fani yoyote ile atajua tu bila kujali hapo mwanzo alikuwa na fani gani,usiwe na ubinafsi usio na maana.Haya ndio mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo.Yaani hata mashuleni kuna kasumba kama hizi,utaona mtu anang'ang'ania PCM halafu lugha hajui,au geografia hajui,sasa ndio nini?Watu kama hawa ukiwapeleka kwenye mazingira tofauti hawawezi wakaendana na mazingira hayo.Sasa nakufundisha kwamba binadamu yeyote anatakiwa kuwa generalist,yaani awe na elimu angalau kidogo kuhusu kila sekta ya elimu kama vile Biology,chemistry,geography,mathematics,language,economics,Money science,politics,history nk.

Sasa nimekuwekea video mbili peke yake kwa kuanzia,kama unataka scientific papers pia utapata,lakini hebu tuanzie hapo kwenye hizo video.Tuchambue video kwanza.

Thanx jamii forums maana hata sisi vilaza tunakuwa purofesheno kwa kupitia hizi siledi za ma'intelekichuo
 
Virus vinahesabika kwa wings kwenye damu na sperms. Mate labda kipimo kiwe advance sana
Nadhani hukuwa ume mwelewa vzr swal lake ngja niku saidie kidogo rafiki. Kwnye hizi rapid test kuna KIT na Buffer( maji yake) ambayo husaidia damu kukimbia kwenye kipimo chake. Buffer ni maji ambayo PH yake iko 7.0-72 siyo acid wala base. Sasa swali la mdau ni kwamba je unaweza tumia mate badala ya iyo buffer.. kwangu ni ndio maana mate PH yake iko katikat syo acid wala base na ndio maana enzymes wako... unaweza ukaweka mate kama hauna buffer.. pia unaweza tumia maji ya klmnjro, ya mvua, ata physiological saline kama DNS, NS( drip)
haa mym.
 
Nadhani hukuwa ume mwelewa vzr swal lake ngja niku saidie kidogo rafiki. Kwnye hizi rapid test kuna KIT na Buffer( maji yake) ambayo husaidia damu kukimbia kwenye kipimo chake. Buffer ni maji ambayo PH yake iko 7.0-72 siyo acid wala base. Sasa swali la mdau ni kwamba je unaweza tumia mate badala ya iyo buffer.. kwangu ni ndio maana mate PH yake iko katikat syo acid wala base na ndio maana enzymes wako... unaweza ukaweka mate kama hauna buffer.. pia unaweza tumia maji ya klmnjro, ya mvua, ata physiological saline kama DNS, NS( drip)
haa mym.

NS unaweza kutumia ila habari ya mate noooooo
 
Mate yanapima maana unapima wanapima antibody
Siyo kwel mkuu huu ni upotoshaji. Hawa virus tuna detect only antbody zao ambazo huwa kwenye serum na plasma hizi sehemu ya damu baada ya kuchujwa au kuwekwa antcoagulant ndo zna patkana. Nafkiri hamna fluid nyngne kwnye mwli inayoweza kuwa na antbody nying kiasi chaku wezesha contol line kwenye rapid test kusoma.

Ku thibitisha ili kama unayo Test kit ya HIV yyte eka microlitter kadhaa za mate contorl line ikisoma hiyo ita maanisha kipmo kinaweza soma mate, isipo soma basi utapata jibu.

NOTE: Bongo tuna detect only antigen kwa rapid test... na DNA kwa PCR lakn mdudu mwenyewe hatuwez muona maana ni intracellular.
 
He he hee,ndio maana nilisema kwamba,HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine,hata kama mtu ataona haya ninasema yana ukweli bado atarudi kulekule kwenye imani yake kwamba HIV causes AIDS,HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na HIV hana dawa ya kumtoa mwilini.

Wewe unazungumzia kufanya ngono mara moja moja tu,Je,unajua kwamba kuna ndoa nyingi sana(hata hapo jirani yenu inaweza kuwepo) mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- na wameishi miaka mingi na wamezaa watoto katika hali hiyohiyo na watoto nao ni HIV-?Sasa kama hawa wako hivi,itakuwa wewe unayefanya mara moja moja tu?Fanya uchunguzi wako utaliona hili.

Siku utakapoanza kudadisi tu,ndipo utakapoanza kujitoa kwenye kifungo hiki taratibu.Asikwambie mtu,kuujua ukweli huu ni raha sana,unakuwa huru na hutakuwa na woga tena pindi wewe au ndugu yako yeyote atakapokuwa anaumwa umwa,utajua nini cha kufanya.Lakini kama hujui,utakuwa mtumwa na wazo lako la kwanza ni kufikiria kwenda kupima HIV,hapo ndipo utakapojipa tiketi ya kula ARVs ambazo ndio kitanzi chako.
Daah umenigusa na hili bandiko miaka kama saba iliyopita nliwahi kuwa ktk mahusiano na binti flan, ktk mahusiano yetu huyu binti alipata ujauzito na alipoanza kwenda klinik aliambiwa aende na mwenza wake kwaajili ya vipimo vya pamoja vya H. I. V, chakushangaza na kusikitisha mwenzangu alikutwa ni HIV positive na mimi nlikuwa HIV negative, nliumia nkamlaum mwenzangu labda katoka nje ikafikia hatua nlmwambia mwenza kuwa yawezekana hata mimba aliyobeba sio yangu, alipojifungua mtoto alichukuliwa damu ktk kisigino cha mguu akapimwa na akakutwa ni negative nkampima na DNA nkakuta ni mwanangu,nkaingia ktk sintofahamu, nliendelea kuwa ktk mahusiano na kufuata ushaur tuliopewa ili mwenzangu asijihic mpweke, maisha yakaendelea huku anameza ARV's nami navaa kinga mwaka jana mwezi wa saba nlitaka mtoto mwngne hvyo kama kawaida tulienda klinik kwa ushaur, cbakushangaza mke wangu alipopimwa alikutwa negative, kizungumkuti kwangu had kwa manesi.... Daah nna mengi ya kusema lkn leo naona mkuu Deception amejaribu kunitoa tongotongo na ukakasi ktk utumwa wa fkra
Cc:
Deception
 
Back
Top Bottom