Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Kuna watu wana maneno!!

Leo nilikutana na mmoja kavaa shati jekundu linang'aaa na tai nyeupe, kiatu kina rangi nyeusi na nyeupe. Nikaukumbuka huu uzi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo lazm anatokea iringa su mby au shy
 
Hahaha nimecheka sana. Kuna uhusiano gani kati ya ulokole na nguo za kung'aa?

INASEMEKANA hawajui siku wala saa ya kurudi Bwana kuja kuwachukuwa kwenda peponi, hivyo ni lazima wajihami na kuwa tayari muda wote. Na kama unavyojua vioja vya TANESCO, wanaweza kata umeme siku ya kuruka. Lakini kwa mngΒ΄ao ule, hata gizani Bwana wao atawaona.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmmh
 
chenza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…