Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Kuna watu wana maneno!!

Leo nilikutana na mmoja kavaa shati jekundu linang'aaa na tai nyeupe, kiatu kina rangi nyeusi na nyeupe. Nikaukumbuka huu uzi.

😂😂😂😂 huyo lazm anatokea iringa su mby au shy
 
Hahaha nimecheka sana. Kuna uhusiano gani kati ya ulokole na nguo za kung'aa?[/QUO

INASEMEKANA hawajui siku wala saa ya kurudi Bwana kuja kuwachukuwa kwenda peponi, hivyo ni lazima wajihami na kuwa tayari muda wote. Na kama unavyojua vioja vya TANESCO, wanaweza kata umeme siku ya kuruka. Lakini kwa mng´ao ule, hata gizani Bwana wao atawaona.
Hahaha nimecheka sana. Kuna uhusiano gani kati ya ulokole na nguo za kung'aa?

INASEMEKANA hawajui siku wala saa ya kurudi Bwana kuja kuwachukuwa kwenda peponi, hivyo ni lazima wajihami na kuwa tayari muda wote. Na kama unavyojua vioja vya TANESCO, wanaweza kata umeme siku ya kuruka. Lakini kwa mng´ao ule, hata gizani Bwana wao atawaona.
 
INASEMEKANA hawajui siku wala saa ya kurudi Bwana kuja kuwachukuwa kwenda peponi, hivyo ni lazima wajihami na kuwa tayari muda wote. Na kama unavyojua vioja vya TANESCO, wanaweza kata umeme siku ya kuruka. Lakini kwa mng´ao ule, hata gizani Bwana wao atawaona.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
INASEMEKANA hawajui siku wala saa ya kurudi Bwana kuja kuwachukuwa kwenda peponi, hivyo ni lazima wajihami na kuwa tayari muda wote. Na kama unavyojua vioja vya TANESCO, wanaweza kata umeme siku ya kuruka. Lakini kwa mng´ao ule, hata gizani Bwana wao atawaona.
Mmmh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mm jaman...nakifaham huko koteeee[emoji23][emoji23]suti zao rangi za kijani,chenza,njano..alafu suti zao wanazifua km nguo zingine..si unajua suti ikifuliwa na maji inajikunja lile koti[emoji23][emoji23][emoji23]...yaan lazima ukae kwa kucheka
chenza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom