Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utani na kaka zake Heaven Sent wewe.
Iringa wanashoneshaga na Mapazia
Mkuu kumbe mwenyeji duuh niliwakuta kule na Makambako aiseeehahhahhhhhhgaa unawasema wakazi wa kijiji ki1 kinaitwa LUHUNGA😂😂😂😂😂
Mkuu kumbe mwenyeji duuh niliwakuta kule na Makambako aiseee
Nikimshushia mabanzi mtasema wanyaki wababe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm nimeishi nao miaka dahari unaweza jiuliza hv huyu mzima?[emoji23][emoji23][emoji23] hao bado wapo iringa na mbeya utacheka ufe..trauza ukiangalia haraka ova sketi !panaaa...alafu kitambaa kinang'aa zaman nilikua na picha kbs dah [emoji23][emoji23][emoji23]sinazo...
Una utani na kaka zake Heaven Sent wewe.
😂😂😂😂😂wanyaki hoyeeNikimshushia mabanzi mtasema wanyaki wababe
mbavu zangu jmn 😂😂Na simu zao kwa sasa.-wanaume ni hizi redio zenye simu,inapiga choir na mahubiri ya nabii kama yote kwa nguvu.
Wanawake-wana tecno na itel zilizopasuka screen.
[emoji1581][emoji1581][emoji1322]♂️[emoji1322]♂️[emoji1322]♂️
Mama kavaa gauni sare na shati la baba,mama kabeba kapochi ka kawaida huku baba ana briefcase ya kiaina wanakwenda kanisani
pls nihurumiene jmn mbavu zangu mimu JackHahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea
Sent using Jamii Forums mobile app
pls nihurumiene jmn mbavu zangu mimu Jack
Hivi ni lazima wavae masuti mazito kuhubiri au kutembea juani?
hawa si wasabato,wale wanyarwandaView attachment 986106
walokole wa kawaida
Ukiwaona kwa mbali unaweza hisi upinde wa mvua
😂😂😂 khaahahahahaa alafu wanasweat balA koti la suti.limejikunjaaaa hapo kalifua kwa sabuni ya jamaa😂😂
😂😂😂 na rose mhando
Oyeeeeeeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanyaki hoyee