Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Baada kuona hii thread picha yote imeenda kwa bon mwaitege

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂kuna mwska huby aliniletea cd ya bon..ile ya mama😂😂😂 nikamuomba airudishe ..zile nguo km ghost..misuti mirefuuuu...koti km KIMONO😂😂😂..ht km una mkojo😂😂 unarudi
 
Mkuu kumbe mwenyeji duuh niliwakuta kule na Makambako aiseee

😂😂😂😂 mbavu zangu mm jaman...nakifaham huko koteeee😂😂suti zao rangi za kijani,chenza,njano..alafu suti zao wanazifua km nguo zingine..si unajua suti ikifuliwa na maji inajikunja lile koti😂😂😂...yaan lazima ukae kwa kucheka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm nimeishi nao miaka dahari unaweza jiuliza hv huyu mzima?[emoji23][emoji23][emoji23] hao bado wapo iringa na mbeya utacheka ufe..trauza ukiangalia haraka ova sketi !panaaa...alafu kitambaa kinang'aa zaman nilikua na picha kbs dah [emoji23][emoji23][emoji23]sinazo...
Nikimshushia mabanzi mtasema wanyaki wababe
Una utani na kaka zake Heaven Sent wewe.
 
mba
Na simu zao kwa sasa.-wanaume ni hizi redio zenye simu,inapiga choir na mahubiri ya nabii kama yote kwa nguvu.

Wanawake-wana tecno na itel zilizopasuka screen.

[emoji1581][emoji1581][emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️
mbavu zangu jmn 😂😂
 
Mama kavaa gauni sare na shati la baba,mama kabeba kapochi ka kawaida huku baba ana briefcase ya kiaina wanakwenda kanisani


hahaha ktk kitu kilinishinda kushonesha sare na mume😂😂😀 uwii nitacheka kufa mm
 
Back
Top Bottom