Sasa mkarimani uligoma kuja hadi nimekosa fursa!!..kutakuwa na vacancy tena kweli, hazijaisha sasa?!
Hapa namuwaza mkulima Heaven Sent sipati picha, sijui anahisi ni kulima nguruka!! Maana kwa kula huyu mtoto!!
Sasa mkarimani uligoma kuja hadi nimekosa fursa!!
Sasa niliposikia ujasiriamali na kilimo nikajua yeeees mambo ndio haya mkwe ndio huyu bwana, kumbe mwanangu ndio akalime tena!!Huh!, nimecheka. From vacancy for ladies, to Kulima, to parking...lol
Kama ni nafasi ya kazi labda ila ya mke Mentor alishanitosa akadai sina vigezo, ngoja nimuachie dota ajaribu bahati yake.Sorry kuchelewa sweetie, shughuli tu kidogo.
Lakini wewe na Mentor mlivyo ma best, hashindwi kupiga chini wengine. Labda upeleke maombi hivyo hivyo. Better late than never. 😀
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Douta msamehe
Mi mwenyewe sielewi kwa kweli..Sijui kapata bwana Wa kizaramo
Kama ni nafasi ya kazi labda ila ya mke Mentor alishanitosa akadai sina vigezo, ngoja nimuachie dota ajaribu bahati yake.
Sasa niliposikia ujasiriamali na kilimo nikajua yeeees mambo ndio haya mkwe ndio huyu bwana, kumbe mwanangu ndio akalime tena!!
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tuHuh!, nimecheka. From vacancy for ladies, to Kulima, to parking...lol
Hapa namuwaza mkulima Heaven Sent sipati picha, sijui anahisi ni kulima nguruka!! Maana kwa kula huyu mtoto!!
Kwa kujitoa ufahamu hamjambo.
Nimecheka! 😀
Bado hajatoa list ya tuliokuwa shortlisted?..kutakuwa na vacancy tena kweli, hazijaisha sasa?!
Toooba!!Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu
Toooba!!
Eeeh kwa nini unichape jamani? Huna hivyo vigezo?Haaahaa!, HS ntakuchapa,...mpaka nimeshangaliwa hapa.
[emoji2] [emoji28] [emoji23]
AbeeeeToooba!!
Sasa mkarimani uligoma kuja hadi nimekosa fursa!!
Ndio nishaikosa hivyo.Mh!, ukose fursa wewe, subutu..
Eeeh kwa nini unichape jamani? Huna hivyo vigezo?
Hiyo acumen si inahusu wanaume au?Hiyo entrepreneur mind sasa, na business acumen?!
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu
Ndio nishaikosa hivyo.
Ila kwa upande mwingine me naona ni sawa tu. Kukaa na mtu ambaye haelewi unaongea/unataka nini ni kazi. At least levels ziendane ili kuwe na "common understanding"Naona siku hizi wakaka wanadai full resume kama ya kazi, kutafuta mwenzi.
Inabidi watu kurudi shule kujiongeza, cos tunakoenda watu watataka waume/wake wenye madigilii kumi kumi kama kigezo.