Vacancy for ladies

Vacancy for ladies

Sasa mkarimani uligoma kuja hadi nimekosa fursa!!

Sorry kuchelewa sweetie, shughuli tu kidogo.

Lakini wewe na Mentor mlivyo ma best, hashindwi kupiga chini wengine. Labda upeleke maombi hivyo hivyo. Better late than never. 😀
 
Kama ni nafasi ya kazi labda ila ya mke Mentor alishanitosa akadai sina vigezo, ngoja nimuachie dota ajaribu bahati yake.
 
Migumegume ndiyo...! Ndiyo naona inaruka na kukanyagana hapa..!
 
Kama ni nafasi ya kazi labda ila ya mke Mentor alishanitosa akadai sina vigezo, ngoja nimuachie dota ajaribu bahati yake.

Sasa niliposikia ujasiriamali na kilimo nikajua yeeees mambo ndio haya mkwe ndio huyu bwana, kumbe mwanangu ndio akalime tena!!

Huh!, nimecheka. From vacancy for ladies, to Kulima, to parking...lol
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu
Hapa namuwaza mkulima Heaven Sent sipati picha, sijui anahisi ni kulima nguruka!! Maana kwa kula huyu mtoto!!

Kwa kujitoa ufahamu hamjambo.
Nimecheka! 😀
 
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu
Toooba!!
 
Haaahaa!, HS ntakuchapa,...mpaka nimeshangaliwa hapa.

[emoji2] [emoji28] [emoji23]
 
Mmmh ina maana Ras Simba alinidanganya au sijaelewa tu. A purely lady (asiwe tomboy), mwenye experience ya farming ya miaka 18-30, awe presentable (ajue kupresent vizuri) ili afundishe darsa la kilimo, nikasema bi mkubwa ataninoa, anapresent darasani daily. Sifa nyingine zitakujaga tu

Ndio nishaikosa hivyo.

Naona siku hizi wakaka wanadai full resume kama ya kazi, kutafuta mwenzi.
Inabidi watu kurudi shule kujiongeza, cos tunakoenda watu watataka waume/wake wenye madigilii kumi kumi kama kigezo.
 
Ila kwa upande mwingine me naona ni sawa tu. Kukaa na mtu ambaye haelewi unaongea/unataka nini ni kazi. At least levels ziendane ili kuwe na "common understanding"
 
Back
Top Bottom