Vacancy for ladies

Ila kwa upande mwingine me naona ni sawa tu. Kukaa na mtu ambaye haelewi unaongea/unataka nini ni kazi. At least levels ziendane ili kuwe na "common understanding"

Yap!, true.
Halafu 'common understanding' inajenga vizuri urafiki mnapo discuss vitu tofauti kwa kina, as a result, relationship inakuwa deep pia.
 
Naona siku hizi wakaka wanadai full resume kama ya kazi, kutafuta mwenzi.
Inabidi watu kurudi shule kujiongeza, cos tunakoenda watu watataka waume/wake wenye madigilii kumi kumi kama kigezo.
Akuu namsubiri la7 mwenzangu.
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

espy hebu njoo mchukue mwanao, kanishinda wallah!..lol
Huyo mchukue tusaidiane kidogo.
 
Ni wewe Mentor ama?? na Heaven Salt kaenda wapi?? au umemtangazia mtu
 
Umesahau sehemu ya experience mkuu!
Matangazo ya vacancy hua yanaweka miaka ya experience inayohitajika.
 
hongera mkuu.. swali la kizushi huendag church nini?? au hupendi kujichanganya sana.. zile za harusini, makongamano, etc...

nice ladies huko wapo kibao tena wa ana kwa ana kuliko hawa wa mitandaoni.. japo ni same people ila kukutana nae ana kwa ana ni better than mtandaoni...

sehem rahis sana ya kutega ni harusini, au zile mwakasege semina..

bila kusahau church church na jumuia....

kama upo serious na msako huko ndio sehem sahihi zaid..

nashangaa now days nakutana na wife materials wengi sana kuliko enz za u bachelor.. so vijana ambao mnawinda yaelekea hamuwindi vizuri wadada wenye quality za kuolewa wanakosa waume


 
Hii theory ya church mkuu niliijaribu, kanisa ninalokwenda pensioners kibao, sasa nimeamua kuwa ninakwenda kusali tu, hayo mengine hayawezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…