RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Inabidi usubiri hadi October ndio uta-qualify!Kama naona huko PM kulivyo furika, werevaa ngoja nisubiri kafoleni kapungue nijaribu bahati yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi usubiri hadi October ndio uta-qualify!Kama naona huko PM kulivyo furika, werevaa ngoja nisubiri kafoleni kapungue nijaribu bahati yangu.
Imebidi nirudi juu kusoma tena....wala nilikuwa sijui kama kaandika kiingereza!Haa tangazo limeshanikata stimu.
Tangazo tu lipo kwa lugha ya kizungu,je mawasiliano ya kila siku!?si kutesana tu kwa vidonda vya ulimi.(kujing'ata mubashara)
Utanielewa tu, wewe hutaki tuunganishe nanihii[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sijakuelewa
Mkuu tumeambiwa twende hatakama vigezo havijatimia, usinikatishe tamaa.Inabidi usubiri hadi October ndio uta-qualify!
Mie na wewe?Utanielewa tu, wewe hutaki tuunganishe nanihii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pole sana mama maana hii U turn ilofanyika hapa mie ningekuwa sentiro kabisa now.Mpendwa nipo hospital nna drip ya glucose nikipata nafuu nitarudi hapa
Wewe si ulishapata jamani!! Au unatafuta mchepuko[emoji134] [emoji134]Mkuu naomba ni-copy and paste tangazo! Tangazo limeenda shule.
Unajifanya hujui ulimshawashi mdogo wako akaniacha?!Wewe si ulishapata jamani!! Au unatafuta mchepuko[emoji134] [emoji134]
Si kwasababu aliingilia interest za dada yake.Unajifanya hujui ulimshawashi mdogo wako akaniacha?!
Wasiwasi wangu hili sharti litawakosesha wengi vigezo! Wanaotafuta wana ID mpya tu.- Sharti la ziada: kama ni member wa JF basi awe member walau kwa mwaka mmoja.
Wasiwasi wangu hili sharti litawakosesha wengi vigezo! Wanaotafuta wana ID mpya tu.
Nani anitafsirie hiyo lugha jamani?Hiyo kazi ni ya kampuni gani?
Duh mkuu muache jamaa apumzike...hadi huku!Dictionary muhimu lakini ung'eng'e wewe unauweza nimeshakusikia mahali ukiutumia vizuri tu si kama yule anayehofia kwenda nchi za nje kwa kujua atabofoa.
Ila kama unakaribia hio avatar kwa uzuri nadhani hata vigezo vingine vikipungua uta-qualify!Mkuu tumeambiwa twende hatakama vigezo havijatimia, usinikatishe tamaa.
Duh mkuu muache jamaa apumzike...hadi huku!
Ni ombi na nitashukuru sana ukininunulia dictionaryDictionary muhimu lakini ung'eng'e wewe unauweza nimeshakusikia mahali ukiutumia vizuri tu si kama yule anayehofia kwenda nchi za nje kwa kujua atabofoa.