Vacancy for ladies

Haa tangazo limeshanikata stimu.

Tangazo tu lipo kwa lugha ya kizungu,je mawasiliano ya kila siku!?si kutesana tu kwa vidonda vya ulimi.(kujing'ata mubashara)
Imebidi nirudi juu kusoma tena....wala nilikuwa sijui kama kaandika kiingereza!
 
Kila la kheri mkuu ila uwe makni na watu humu...Wengine watakuja kukusanifu tu
 
Wasiwasi wangu hili sharti litawakosesha wengi vigezo! Wanaotafuta wana ID mpya tu.


PS: Wanasheria wana msemo, "There is always an exception to the general rule."

Kama upo unasoma hapa na unajihisi unafaa kuwa na mimi na kuna baadhi ya vigezo hujafikia usisite kuja na kuelezea hisia zako.
 
Dictionary muhimu lakini ung'eng'e wewe unauweza nimeshakusikia mahali ukiutumia vizuri tu si kama yule anayehofia kwenda nchi za nje kwa kujua atabofoa.
Duh mkuu muache jamaa apumzike...hadi huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…